Ukifatilia familia nyingi zinaishi kwa kutegemea ndugu zao waliopo dar es Salaam.
Hivyo mipango mikakati kwa serikali kuendelea kuwekeza DSM iendelee bila kusita.
Mimi Moja ya wanafuika wa kuwa na ndugu wanaoishi DSM
Asante nipo mkoani kwa sasa mbarikiwe Sana watu DSM
Habari jamiiforum.
Bila kupoteza muda leo tujadili hali hii ngumu ya maisha.
Wakuu.maisha mtaani ni magumu,jiji la Dar es salaam ambalo pengine ndiyo kioo cha hata mikoa mingine linajumuisha watu wengi wenye vipato vya chini mno. Ukiangalia Kwa haraka haraka au ukidanganyikq na stori za...
1. Aliahidi hata kuwa legelege kama Mbowe
2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka barabarani.
3. Hatakubali kufanya maridhiano na ccm bali ni mwendo wa ninja nginja
Naona hili dogo la Dr...
Kuna tangazo linawekwa sana UTV rais Samia anasema kuwa kila anapo safiri wasaidizi wake lazima wabebe kisimbuzi cha Azam.
Sasa ninachojiuliza, inamaana akitoka ikulu ya Dar wasaidizi wake wanabeba wanaenda nacho Kizimkazi, badae wanaunganisha nacho Dodoma, badae wanaenda nacho Mwanza n.k...
Mambo vp wadau??
Ninaomba radhi "in advance" kwa uandishi m-bovu. I'm not a gifted writer.
Kuna mama mmoja yeye ni kabila la Pwani/mzaramo. Ni mama mkaanga Samaki amepanga chumba na sebule huku mtaani kwetu (Kodi Jumla 30,000/= kwa mwezi). Huyu mama muwewe alifariki kama mwaka na nusu hivi...
Intro:
Bila salamu.
Literature Review:
Ni kwamba ni ngumu sana kwa mwanaume kumpata mwanamke mvumilivu wa kila hali, hapa nieleweke ninaposema kila hali hususani hali ngumu za maisha yaan ukata, hali ya kutokuwa na kitu mfukoni, umepigwa ukapigika, umepigwa ukapauka ukafubaa, hali ya kukimbiwa...
Wazazi wengi wa sasa ni wale waliosomesha watoto kishidashida mpaka wakafika walipofika. kwasasa watoto ndio wanawasaidia huko kijijini waliko au wengine wanaishi nao kabisa.
kutokana na sababu hizo, wazazi sasa hawana sauti ya kuwakemea watoto wao, wapo wanaofahamu kua watoto wao wanafanya...
Wakati nusu ya Wairani wakiishi chini ya mstari ufukara, huku hali ya uchumi wa Iran ikiendelea kuzorota na pesa yake ya Rial ikipoteza thamani wakati wananchi wakizidi kugeukia ununuzi wa dhahabu, fedha za kigeni na kuhamisha mitaji nje ya nchi.
Katika mwaka uliopita, Rial ya Iran imepoteza...
Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu.
1: Kuongezeka upotoshaji katika dini
2: Kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha ikiandamana na matumaini finyu au lah kabisa.
3: Maswali yasiyojibika vizuri na majibu...
Kwa heshima kubwa na taadhima nawasalimu katika hali zote
Mimi ni kijana wa miaka 27, elimu yangu ni ya kidato cha sita, niko Dar es salaamn. Nilisoma chuo kikuu, sikufanikiwa kumaliza kwa sababu ya changamoto za kiuchumi.
Ninaomba kazi ili nipate japo pesa ya kula na ya mahali pa kuishi kwani...
Nini matekeo ya wananchi kuandama kupitia vyama vya kisiasi kupinga hali ngumu ya kuichumi kutaka serikali iwape relief ya maisha?
Je, imekuwa na matokeo chanya kwa jamii?
Serikali iliweza sikiliza vilio vya wananchi wanyonge?
Ama vyama vya siasa vilitaka kuona nguvu ya ushawishi walyonayo...
15 FEBRUARY 2024
Kano City, Jimbo la Kano
Nigeria
WATAASI RAIA, HALI NGUMU YA MAISHA KASKAZINI, WAMECHOKA AHADI ZETU VIONGOZI
https://m.youtube.com/watch?v=F_dw0D2tcP0
Watuma ujumbe mzito, raia sasa wagombania makabi ya mpunga badala ya mchele kutokana na ughali wa maisha na kumtahadharisha...
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.
Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada...
Habari zeni wakuu, kwa heshima na taadhima nmeona nilete jambo langu hapa. kwa maana katika harakati za msoto wa kila siku nmeona ni vyema kuleta jambo langu aidha naweza kupata idea ama kupata fursa yeyote kwani niko tayari kujifunza
So ladies and Gents
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23...
Sio kawaida kwa huyu jamaa kukiri kipigo, ukiona mpaka anaisema ujue mle kwenye medani ni kichinjio cha wanajeshi wake...
Putin says Ukrainian attacks have intensified in recent days
Russian president Vladimir Putin said on Thursday that Ukrainian attacks had intensified in recent days...
Sitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni.
Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu na jamaa Fulani ambaye tumefahiana kama mwaka sasa, nikashauriwa nitambulishwe kwenye brotherhood...
Suala la rais na waziri mkuu kuahidi kununua tiketi za kutazama mpira kwenye mechi ya taifa stars, je ni dalili kwamba wananchi wake wana hali ngumu kiuchumi? Nini umuhimu wa kuwa na uwanja wa taifa kama kitega uchumi cha taifa?
Kutokana na hali ya ukame inayoendelea nchini na hivyo kusababisha upungufu wa chakula. Kwenye baadhi ya maeneo baadhi ya wanaume wamekimbia nyumba zao na kuwaacha wanawake na watoto pekee katika familia.
Baadhi ya wanawake Wamekuwa wakijitaftia ridhiki kwa kwa kutembea umbali mrefu kuelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.