Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana.
Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi?
Turudi kwenye mada.
Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa...
Makamu Mwenyekiti CCM, Katibu mkuu nazani mmekua mkifanya ziara maeneo mbalimbali mkiendelea kuwa kimya kama viongozi wa chama hamuwatendei haki wananchi waliopa ridhaa serikali ya CCM
Hali ni mbaya ,mbaya ,mbaya kwanini ushauri wa Shabibi kuhusu unanuzi wa mafuta haujafanyiwa kazi
Nimesema...
Mbeya. Kutokana na mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali nchini, Makamu Mwenyekiti was Chama Cha Mapinduzi CCM, Abdulrahman Kinana amesema Chama hicho kimejipanga kufanya kikao mwezi ujao kujadili suala hilo.
Kinana amebainisha hayo leo Julai 28, 2022 baada ya kupokewa na wakazi wa Mkoa wa Mbeya...
Nimetoka ofisi moja asubuh kutafuta kazi ya kujitolea wameniambia hakuna imagine kazi ya kufanya bure hakuna vitu bei juu wap tunaelekea hali ni ngumu mno hela haina thaman kabisa soon tutaelewana .
Maandamano makubwa yametokea katika Mji wa Antananarivo Nchini Madagascar yakihusisha mamia ya Wananchi ambao hoja yao kubwa ni maisha kuzidi kuwa magumu wakiilaumu Serikali ya Rais Andry Rajoelina kuhusu hali hiyo.
Polisi wamelazimika kuingilia na kuwashikilia viongozi wawili wa juu wa Chama...
Walimu tuna hali ngumu (walimu)
Na sisi tuna umuhimu (walimu)
Tutazua kitimutimu (walimu)
Hadi wizara ya Elimu (Walimu)
Nimeukumbuka huu wimbo wa wagosi wa kaya jamani
Ile miaka yetu wahenga mama zetu wengi walikuwa wake na mama wa nyumbani. Wengi walifika kuanzia darasa la nane na kuendelea. Enzi za elimu ya mkoloni cookery na needle work yalikuwa masomo compulsory kwa mtoto wa kike.
Mishahara ya wazazi haikuwa mikubwa sana lakini wengi tulibahatika kuishi...
China ndio taifa linalofaidi pakubwa kwa Urusi kwa hili anguko la Urusi, ila pia nao wameanza kuathirika, benki kubwa ya Urusi imesitisha haitofanya miamala inayohusu hela ya Uchina....
Na pia inapata tabu kutumia hela ya India
==================
June 8 (Reuters) - Russian lender Sberbank...
Urusi imefikia hatua za kuomba usaidizi wa wastaafu maana hali imekua balaa, Ukraine japo kataifa kadogo lakini kamehimili na kupangua mapigo yote, na kama kawaida kwa vita vya muda mrefu huhitaji wanajeshi wapumzishwe ili wengine waje kwenye mapambano, sasa imekua vigumu kuwarejesha nyumbani...
Familia ya baba mama na watoto wawili iliamua kusafiri ili kutafuta elimu nzuri ya watoto na maisha bora kwao wenyewe. Walifika Canada na kuanza maisha.
Hali ilikua ngumu, walikaribishwa na rafiki. Kukaribisha watu wanne nyumbani si rahisi hivyo ilibidi watafute kibarua kitakachowawezesha...
Kuna kitu kinakula moyo wangu I finally must vent out.
1. Nimevuna gunia 200 baada ya kulima ekari 20 za mahindi nataka kupeleka sokoni bei ya gunia tshs elfu 30, so nitapata million sita nikiuza yote. Kweli jamani this is too much. The leadership is seriously imposing new tax? Mnashindwa...
Unafiki soo mzuri mimi nimeshaanza kumkumbuka Magufuli. Yule mzee pesa za miradi mikubwa alikuwa anapata wapi? Hakukamua wananchi wa kawaida lakini ameacha alama kabisa. Sikumpenda lakini namkumbuka sana.
Nimenunua umeme wa 2500 nimepewa wa 500.Nyu mba sio yangu na mwenye nyumba hakai hapo...
Habari zenu wadau,
Ngoja niwape story ya ndugu yangu mmoja hivi, ni binadam yangu ambae tulikua tumeshibana sana katika maisha ni mpambanaji wa kufa yaani jamaa alikua ni mtafutaj mno mno.
Alitoka kijijini akawa anaishi kwetu baadae akajipanga akaenda kujitegemea wilaya nyingine kwa jinsi...
Hivi imewahi kukutokea? Una hali ngumu mno...... halafu watu wote waliokuzunguka wanakuona una hela!?!.
Na wanakuchukia sababu wanaamini unawanyima au unawafanyia midhaha. Wakati ukweli ni kwamba unapumulia oxygen.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.