NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Danstan Kitandula ana wakati mgumu kutetea jimbo lake la Mkinga, Tanga kwa kinachoelezwa ni kukwama utekelezaji wa miradi ya maendeleo aliyoahidi.
Hali hiyo ilibainishwa mwishoni mwa wiki na baadhi ya wananchi waliosema hawaridhishwi na mwenendo wa mbunge...
Dalili ziko wasi kwamba TLS sasa imemshinda Mwabukusi. Kuna mpasuko mkubwa na viongozi wenzake wameanza kumkimbia.
Ukimuona Mwabukusi anavyowananga wengine, unaweza kudhani anaweza hata kujiongoza yeye mwenyewe
====
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) mkoa wa Mwanza...
Habari wakuu,
Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu.
Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno.
Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa.
MKE...
Oct, 11, 2024
"Tunalazimika kupunguza idadi ya wafanyakazi wetu ili kuendana na uhalisi wa hali yetu ya kifedha."
—Kelly Ortberg (Boeing CEO)
Wafanyakazi watakaopunguzwa ni 17,000 ambayo ni sawa na 10% ya wafanyakazi wote. Na hii itaathiri wafanyakazi katika ngazi zote kuanzia executives...
Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya gorofa unaendelea kwa sasa.
Ujenzi huo unafanyika katika Mitaa mbalimbali ya Kariakoo ambapo kipindi...
Kutokana na sababu mbalimbali Hali ya uchumi wetu yamkini si nzuri sana hivyo hata Kama haisemwi lakini kuna mambo yanaakisi hili.Kama taifa yatupasa kushikamana sana na kuhamasisha uzalishaji wa ndani Kwa Kiwango kikubwa ili kuondoa utegemezi wa bidhaa toka nje na matumizi makubwa ya fedha Za...
Habari Wana JF,
Hali ni Tete sana Mradi wa reli ya SGR LOT 5 kutoka Isaka to Mwanza ambao upo chini ya ujenzi wa Kampuni CCECC.
Kwa sasa Mradi umesimama ujenzi sababu hela hakuna ya uendeshaji mradi, wamepunguza wafanyakazi zaidi ya 200 na bado wanaendelea kupunguza.
Aliye karibu na Mama...
Inasikitisha sana kusoma kwamba Zaidi ya Vijijini 23 Wilayani Rufiji vilivyopo kwenye blonde la mto Rufiji Vimekumbwa na Mafuriko Makubwa ya maji kutoka bwawa la umeme la Nyerere.
Vijiji hivyo viko kwenye kata 12 Zenye kaya zaidi ya 1,000 ambapo makazi,mashamba,mazao na Mali nyingine...
Wanaukumbi.
Kwa mujibu wa Leaks Mawasiliano makali na ya dharura yanafanywa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani na baadhi ya nchi za Kiarabu hasa Misri na Qatar ili kushinikiza Hamas kukubali mapatano ya haraka kwa kisingizio cha kuleta misaada Gaza!!
Ukweli ni kwamba suluhu hili liliombwa...
MOMBA: HALITETE, SHULE SHIKIZI MAZINDE; MBUNGE CONDESTER APIGWA BUTWAA
MBUNGE wa Momba Mhe. Condester Sichalwe ameshangazwa kuona shule shikizi Mazinde iliyopo kijiji cha Masanyita kata ya Mpapa Halmashauri ya Momba iliyojengwa mwaka wa fedha 2022-2023 kwa gharama ya shilingi milioni 40 kujaa...
Askari wa Usalama Barabarani wametangaza kufunga barabara jijini Kampala kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha Miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni, Septemba 8, 2023, zitakazofanyika katika Uwanja wa Uhuru na kutarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 100,000 kutoka Nchi mbalimbali
Sherehe...
Kwa wale wafuasi wa magharibi na baadhi ya wachambuzi wanajaribu kuweka mitazamo yao kuhusu hali aliyonayo Russia pale Ukraine
Wengi wamekuwa wakisema Urusi ana hali ngumu na anajaribu kupoteza kila siku, lakini pia tujiulize je vipi kuhusu hali walizonazo zile nchi zinazo toa support kwa...
Ni hatari kweli kweli, watu wanamfata lecturer niongeze hata alama 1 tu lecturer nae anakuja kama wewe umezikosa mimi nitazitoa wapi?
Maombi yenu yanahitajika sana kwa hawa ndugu zetu.
Kama ni maneno yanatosha. Anza kazi mzee wa mdomo.
Tegeta mafuriko, Mbagala Kijiji, Bunju Panyaroad wamekaa wakila timing.
Kigamboni changamoto kibao. Ubungo imelala. Tabata haieweleki life as usual, Mitaa, Mashina hayana viongozi.
Yaani jiwe aliharibu Nchi.
Haijatokea siku nyingine supapawa anavamiwa ndani hadi raina wanakimbia makwao na kuwa wakimbizi.
=======
Authorities in Russia's Belgorod region said a "counter-terrorism operation" was ongoing after a sabotage group from Ukraine crossed the border. DW has the latest.
The governor of...
Mkuu wa kampuni ya masuala ya kijeshi nchini Urusi, Wagner Group, amesema wapiganaji wake wameuzunguka mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine, ambao Urusi imekuwa ikijaribu kuutwaa kwa miezi kadhaa sasa.
Kufikia asubuhi ya Ijumaa (Machi 3), Yevgeny Prigozhin alisema sehemu pekee ambayo haikuwa...
Baada ya wanajeshi na hata wafungwa wa Wagner kufyekwa kama nguruwe, Urusi iko katika hali mbovu sana, sasa kuanza kufuata wanafunzi na kuwalazimisha wajiunge kwenye usaili nao wakafie huko, hilo taifa hivi karibuni litaishiwa wanaume.
=====================
"Russia is preparing to draft...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.