Kwa masikitiko makubwa naomba serikali iingilie kati suala la VIVUKO VYA KIGAMBONI kutokana na hali ya uchakavu iliyopo katika VIVUKO hivyo ili kunusuru majanga yanayoweza kutokea.
Tangu hii wiki ianze wananchi wamekuwa wakiteseka sana pale kwa foleni ndefu magari na mlundikano mkubwa kwenye...
Wakati Serikali ikiendelea kuongeza idadi ya hospitali na vituo vya afya nchini, bado changamoto ya uhaba wa vitanda vya kulazia wagonjwa inaendelea kuiandama sekta ya afya, hasa katika vituo vya umma.
Ripoti ya ‘Tanzania in figures 2021’ inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)...
Hii mitandao ya simu kila leo wanapunguza package zao ila kwa bei ile ile. Mfano Vodacom kwa mwezi wa Nov na Oct kwa malipo ya Tshs 50,000 nimekuta wamepunguza 3GB na dk 200. wamepunguzakama ifuatavyo;
~ 50,000 Nov Package unapata :1200minutes 500sms 20GB.
~ 50,000 Oct Package nilipata...
RAIS wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Walace Karia amesema wapo kwenye mazungumzo na kampuni mbalimbali kwa ajili ya udhamini wa Kombe la TFF. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Karia amesema kombe hilo halina mdhamini mkuu na hata kuitwa kombe la Shirikisho Azam ni kutokana na kutokuwa na...
Zaidi ya mataifa 50 ya ulaya yamekutana nchini Ujerumani kujadili namna ya kuipa silaha na kuhakikisha Ukraine anashinda kwenye uvamizi wa dictetor Putin.
Wote wameanzimia kutoa michango ya silaha, fedha, mafunzo, madawa, silaha za kujilinda na makombora.
Hii ni baada ya dicteta Putin...
Upelelezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabiliwa washtakiwa 13, wakiwemo waliyokuwa watumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), bado haujakamilika. Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashitaka matano, likiwemo kuharibu noti 4.6 milioni kwa kuzichanachana na hivyo kuisababishia benki hiyo hasara...
Wakuu, juzi kati nilipita kwa mguu kwenye daraja la Tanzanite.
Nilishtuka sana kuona kuwa daraja lina nyufa kila sehemu.
Sikuamini kama ningeweza kuvuka salama kabla daraja halijatumbukia.
Baada ya kufanya utafiti wa kina nilionelea kuwa lile daraja limejengwa eneo lenye sesmic waves...
Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imeonya kuwa Urusi inaweza kuzidisha mashambulizi dhidi ya miundombinu ya kiraia na vituo vya Serikali katika siku zijazo
Matukio makubwa kaka mji mkuu wa Kyiv yamepigwa marufuku hadi Alhamisi, kabla ya Siku ya Uhuru wa Ukraine kesho, kufuatia onyo la...
Struggle is real my friend, hali ikienda hivi inabidi wafanye kale ka mchezo cha last year kuingiza watu bure siku husika yaani kesho kwa sababu hakuna namna
Utafiti kura za maoni ulifanywa na CNN umeonesha 75% ya Wamarekani wanataka chama cha Democratic kiteue mtu mwingine na sio Rais @JoeBiden uchaguzi wa 2024.
Kura imefanyika wakati ambao kukubalika kwa Biden kumezidi kushuka na watu wengi kutoridhishwa na hali ya nchi na uchumi
Urusi inapambana kudumisha kampeni yake ya kijeshi na Ukraine na inaweza kuwa na uwezo wa kujibu mashambulizi, mkuu wa idara ya kijasusi ya kigeni ya Uingereza amesema.
Mkuu wa MI6 Richard Moore alisema Urusi imeshuhudia"anguko la kihistoria" katika malengo yake ya awali ya kumwondoa rais wa...
Wandugu hali ya maisha ni tete, tuna aangaika huku na kule hakuna pa kukimbilia
- Wazee waliokuwa wanalipwa na TASSAF, sasa inabidi wafanye kazi za kujitolea katika maeneo ya umma kwenye halmashauri husika ili walipwe, no free lunch.
-TANESCO tangu mwezi decemba 2021 hadi leo tarehe 4 julai...
Sina haja ya kubwabwaja sana, matendo na vitendo vinavyotendwa katika hujma mbalimbali humu Tanzania ni vya kusikitisha na kuhuzunisha sana.
Mauaji ya ovyo ovyo, watu kukatwa mapanga mchana kweupe usiku ndio usiseme, na yote hayo hufanywa na watu wa rika mbali mbali na wakati mwengine au...
Vita vya Russia na Ukraine vikiendelea na vikwazo vya nchi za Magharibi vikiwekwa Moscow,mauzo ya gesi ya Russia kwa Ulaya yamepungua sana na kuziacha nchi nyingi za bara hilo zikikumbwa na tatizo la kujidhamini nishati na kuongezeka gharama ya bidhaa hiyo,Shirika la gesi la Gazprom la Russia...
Tajiri wa Urusi, Mmiliki wa Club ya Chelsea awekewa vikwazo, vikwazo hivyo vinahusu mali zote zilizo UK na Club ya Chelsea yahusika
Uuzwaji wa Chelsea umesitishwa kwa muda. Chelsea haitaruhusiwa kuuza, kununua wachezaji.
Chelsea haitaruhusiwa kuongeza mikataba ya wachezaji waliopo.
Chelsea...
Habari za jioni ndugu zangu wapendwa wa mtandao huu wa JF kupitia Jukwaa hili mahsusi la Jamii Health. Naamini tuko hapa kwa ajili ya kuelimishana na kuongeza ufahamu wa mambo mbalimbali kwenye vichwa vyetu - Yote ni katika kukabiliana na changamoto za kila siku za kimaisha. basi bila...
You have used approximate 75% of your 20 SMS. Your SMS balance is 5 SMS.
Halafu hapo awali kifurushi cha buku ulikuwa anapata sms za kumwaga sasa leo hali iko ivo unapata sms mbau.
Kifurushi chenyewe iko hapo.
Una Dak 150 kupiga simu mitandao yote, SMS20 na GB1 kutumika hadi.
Wakulima watalima vipi kipindi hiki mbolea ambayo tulinunua kwa elfu 60 Sasa imefikia elf 95 laki mpaka laki na ishirini.
Sasa najiuliza itakuwaje kama Sasa hivi gunia la mahindi kwa eneo nililopo ni elf 24 wakati Bei ya mbolea ni laki na ishirini.
Kwamba unatakiwa kuuza gunia 5 Za mahindi ili...
Wanajamvi, salaam
Naenda moja kwa moja kwenye point
Hali halisi ya thamani ya pesa yetu inazidi kushuka kwa kasi sanaa ukilinganisha na miaka kadhaa iliopita, ukichukua takwimu za Benki kuu (BOT) kwa haraka tu utaona na kudhibitisha hayo, ukiangalia kwa mwezi July mpaka August 2020 utagundua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.