hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Pre GE2025 Lissu ana hali ngumu kuliko hata mbowe

    1. Aliahidi hata kuwa legelege kama Mbowe 2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka barabarani. 3. Hatakubali kufanya maridhiano na ccm bali ni mwendo wa ninja nginja Naona hili dogo la Dr...
  2. W

    Kwanini Wasomali Wana maendeleo ugenini lakini kwao Kuna Hali mbaya zaidi ya Burundi

    Mfano ukiangalia Nairobi wameukamata uchumi kwa kiasi kikubwa sana ukija TZ wapo wachache ila wamejitahidi kwenye maendeleo, hupendelea biashara za malori. Shida inakuja huko kwao kuna hali mbaya, Burundi kuna nafuu, vita vya wao kwa wao haviishi Huduma za kijamii zipo chini sana umasikini...
  3. dosho12

    Hali hii tunaita ni upweke au uhuru

    Kutoka kwenye msemo wa Charles Bukowski "Ukiwa hauna mtu anayekuamsha asubuhi, hakuna anayekusubiri usiku, ukiwa unafanya unachotaka huu tunaita ni upweke au uhuru"
  4. milele amina

    Uchambuzi wa Hali ya Huduma za Afya: Aga Khan Hospital kuhudumia wageni wa mkutano wa Nishati Afria badala ya Muhimbili Hospital

    Aga Khan Hospital, iliyopo Dar es Salaam, imekuwa katika habari kutokana na kuvunjwa kwa mkataba wake na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wa kuwahudumia Watanzania maskini. Hali hii inatia wasiwasi, hasa pale ambapo hospitali hiyo imekuwa ikihudumia wageni katika mkutano wa Nishati Afrika...
  5. R

    Mwanangu Chalamila umerudia tena kunigombanisha na wapiga kura? Hapana mama nimesema ukweli wa hali ilivyo...poa

    Muda mfupi kabla ya kuondolewa kwa Mkuu wa Mkoa wa DAR es salaam nafsi za mteua na mteuliwa zitakuwa zinajiuliza maswali haya mawili Mwanangu Chalamila kwanini umenigombanisha na wananchi ? Hapana mama nilitaka wafahamu ukweli wafanye kazi nakufahamu kwamba huduma ya afya ni gharama kubwa na...
  6. Alvin_255

    Hali ya usalama Mashariki mwa DRC

    Baraza la Usalama la UN limekutana kwa mkutano wake wa dharura leo, Jumapili, Januari 26, 2025 Hapo awali mkutano huo ulipangwa kufanyika kesho Jumatatu, Januari 27, mkutano huo wa dharura sasa unafanyika leo, Jumapili, Januari 26, 2025; Kwa sababu ya kuongeza mapigano kati ya #FARDC na kikundi...
  7. Half american

    Hili la kufungwa barabara limekaaje? Kwa namna hali ilivyokuwa leo kwenye usafiri maeneo ya Posta na Kivukoni mpaka ifike hiyo tarehe 30 tutakuwa hoi

    JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam imetangaza kuwa Barabara tisa Jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa siku sita kuanzia leo Januari 25 hadi Januari 30, 2025 ili kupisha misafara ya viongozi wanaokuja kutoka nchi mbalimbali kuhudhuria mkutano wa Nishati Afrika. Taarifa ya...
  8. J

    Watanzania fuatilieni kinachoendelea DRC. Hali kwa majirani zetu ni mbaya, ya hatari sana

    ..Fuatilia habari hapa. https://www.youtube.com/watch?v=Fs7jEBnCRJU https://www.youtube.com/watch?v=Pr3V84gfU6s
  9. Superficial

    Je, ni manukato (perfume) gani yanafaa zaidi kwa hali ya hewa ya joto sana?

    Ninaishi katika jiji lenye joto kali na halijoto hufikia 35°c kwa urahisi kwa hivyo karibu harufu yoyote ile huhisi kuudhi. Je, ni perfume gani inayoweza kuburudisha hisia hiyo? Kwasababu kwa ninavyofahamu kila perfume hutengenezwa kulingana na hali ya hewa la eneo,sasa juzi nilijichanganya...
  10. Minjingu Jingu

    Nawaza hali ya "Mama Abdul" kwa sasa Baada ya Simba kupata Usukani

    Uje wekwa mdahalo wa Lissu Simba na Mama Abdul tupime IQ zao. Nani ana uelewa. Kisha baada ya hapo tuamue tu nani anafaa bila kutumia gharama kubwa kwenye uchaguzi.
  11. Tuo Tuo

    Kwanini CHADEMA wanadhani Lissu ataleta mabadiliko ili hali kawepo kwenye chama miaka zaidi ya 30?

    Lissu kushika kijiti watu wamefurahi sana lakini pia CHADEMA wanaona kama ndo watashika nchi vile? Nini wanadhan Lissu atakibadilisha kama yule mzee asiye na bla bla wala maneno maneno ameshindwa
  12. KENZY

    Je, kwenye ulimwengu hali ya utupu inawezekana?

    Hello peoples.. Hebu tujisaule hapa kwa kuchanganya maarifa juu ya UTUPU kwenye ulimwengu, swali la msingi ni kuwezekana kwa hali ya utupu, namaanisha hivi mpaka sasa binadamu na teknolojia yake bado hajaweza kufikia hatua ya Kutengeneza utupu (vacuum), kwa asilimia mia!. Ataweza kutoa hewa...
  13. chakutu

    Boni Yai yupo na hali gani ?

    Boni Yai Nyamidevu yupo na hali gani ? Maana mwanzo nilikuwa namkubali kweli
  14. L

    Kwa hali hii ilivyo, Bunge lijalo Naliona kama litakuwa na vurugu nyingi hiv.Maana raisi ameshapitishwa tayari

    Wajuvi hebu tuliangazie macho bunge lijalo,hiv litakuwa na sura gani? Naliona kama litajaa pongezi nyingi sana kwa walioteuliwa,halafu kila kitu kitapita bila kupingwa ikiwa kama hongo.Namuona mpina peke yake ndiyo akiwa anasimamia shoo sababu hana cha kupoteza. We unaona nini?
  15. Faana

    Mchungaji: Hali ya joto inayoendelea nchini kwetu ni kutokana no moto aliowasa Mungu Los Angles US

    Hilo ndilo amesema kiongozi wetu leo kwenye Jumuiya akituonya kuacha dhambi kwasababu nyakati hizi zinafanana na zile za Sodoma na Gomora
  16. K

    KERO Mwanza: Hali ya Barabara Mtaa wa Chenga ni mbaya, Wananchi wakitaka kuiboresha wanazuiwa

    Huku kwetu Mtaa wa Chenga pamoja na maeneo ya jirani ya Kata Nyegezi tumekuwa tukilalamikia changamoto ya barabara ambayo imekuwepo kwa muda mrefu ambayo inasababisha usumbufu mkubwa kwetu ambao tunaitumia. Barabara hiyo ni muhimu na inatumiwa na Wanafunzi kwa asilimia kubwa kwa kuwa ipo karibu...
  17. F

    Mbowe usihangaike na Dr. Slaa huko lupango mwache ahangaike na hali yake mwenyewe

    Dr. Slaa amekuwa mropokaji kama Lissu na pia hana shukrani yoyote kwa Mbowe na CHAMA. Mheshimiwa Mbowe usipoteze muda na fedha zako kwa hawa watu tena waache wajipambanie wenyewe. Umekuwa muungwana mno kwao sasa wanakuona mjinga. Waache wapambane na hali zao!
  18. M

    Putin hali Tete, akimbilia kanisani akitaka askari wake walioko vitani Ukraine waombewe

    Rais wa Urusi ameonekana katika video inayosambaa akimsihi kiongozi wa kanisa la Orthodox nchini Rusia kuibariki misalaba ya makamanda wake walio mstari wa mbele dhidi ya Ukraine futalia video hii
  19. Ritz

    Pre GE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

    Wanaukumbi. Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa. --- “Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata...
Back
Top Bottom