halima

Halima Xudoyberdiyeva (Cyrillic Ҳалима Худойбердиева; pronounced [halima χudɒjberd̪iˈjeβa]; 17 May 1947 – 17 August 2018) was an Uzbek poet whose themes at different times of her career have dealt with Uzbek nationhood and history, liberation movements, and feminism. She was awarded the title People's Poet of Uzbekistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Ubunge wa Halima Mdee na Wenzake ni Batili

    Hivi ndivyo Gazeti la Nipashe lilivyoripoti Toa maoni yako
  2. Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

    Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji . Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi . ==== Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa...
  3. Taarifa ya awali kuhusu hukumu ya Mahakama Kuu masjala kuu Dar es Salaam, kuhusu Wanachama 19 waliofukuzwa CHADEMA

    Tumepokea hukumu iliyotolewa leo Alhamisi tarehe 14 Desemba, 2023, uamuzi wa Mheshimiwa Jaji Cyprian Phocas Mkeha; 1. Kwamba uamuzi wa kuwafukuza uanachama waliokuwa wanachama wetu 19 uliofanywa na Kamati Kuu ya Chama, umeendelea kusimama (Upo pale pale) na Mahakama imekubaliana kuwa taratibu...
  4. Mabest hawa nawafananisha kama Bonnie & Clyde

    Hawa mabest wameshibana sana kama ilivyokuwa kwa Bonnie & Clyde.
  5. Je, Katibu Mwenezi mpya wa CCM atatokea kwa wahamiaji? Halima Mdee na Nusrat Hanje watajwa

    Upo uvumi kwamba Mrithi wa Sophia Mjema huenda akawa miongoni mwa wale Wabunge wasio na Chama ambao waliapishwa na Ndugai kwenye Gereji ya Bunge. Halima Mdee na Nusrat Hanje wanatajwa kujaza nafasi hiyo (tetesi). Hutakiwi kupuuza jambo hili , kwa vile ni dhahiri kwamba CCM imeishiwa watu, ndio...
  6. Halima Bulembo: Mikopo ya kausha damu inawakausha kwelikweli wanawake na kuwadhalilisha. Asema ukikopa elfu 50 unalipa jumla 85

    Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Halima Bulembo amesema mikopo ya kausha damu pamoja na urahisi wake wake wa kupatikana ina gharama kubwa. Akitolea mfano, amesema mtu akikopa 50,000 anakatwa 5,000 ya fomu, 5,000 nauli ya mkaguzi kuja kukagua mali zako na marejesho ya jumla ya 75,000 hivyo jumla...
  7. D

    Natamani watu kama Spika Tulia, Lissu, Shivji, Mwakyembe, Kabudi, Halima na Masereka waandae kongamano. Tuone jinsi Tulia atakavyowatoa jasho

    Dr. Tulia Ackson kishawaambia mkataba hauna vifungu vyenye kasoro. Lissu anasema vipo vyenye kasoro. Kabudi anasema hakuna vyenye kasoro. Shivji anasema Kuna vyenya kasoro. Masereka anasema Kuna vyenye kasoro. Feleshi anasema hakuna vyenya kasoro. Hao wote ni wanasheria. Sasa sijui nani yuko...
  8. Halima Dendego ni moja ya Wakuu wa Mikoa mizigo

    Leo hii kumekuwa na mgomo mkubwa wa wafanyabiashara wa maduka Iringa. Sababu iliyopelekea kuwa na mgomo mkubwa, ni maamuzi ya kijinga sana ya Mkuu wetu wa Mkoa kutaka kila duka livunjwe vibaraza, yani cap za maduka ziondolewe. Migambo wametumwa usiku kuvunja hivyo vibaraza. Mkuu huyu wa mkoa...
  9. T

    Halima Mdee anastahili tuzo ya heshima ya uzalendo

    Katika mchakato wa kupitisha Mkataba wa Bandari, Halima Mdee alisimama kidete kutetea Maslahi ya taifa katika uwekezaji bandarini. Halima Mdee hakusimama kama Mpinzani au mwana CHADEMAA bali kama Mzalendo, Mtetezi na Mpenda Nchi na Mlinzi wa Rasilimali za Taifa. Mchuano ulikuwa mkali baina ya...
  10. Hili la Halima limenihuzunisha sana. Ina maana Dar na Mikoani kote tumekwa kiasi hiki?

    Inaumiza sana. Yaani hizi tambo zetu humu JF n.k si wa Mikoani wala Dar ambao wamefanikiwa. Sisi tunadharaulika. Yaani tuna wagegeda akina sijui nini flower wana mastress kibao tunaacha watu wa maana huko wanalalamika wapo single na hawajawahi pewa Mimba. Halima mpaka leo ni single na hana...
  11. Halima Mdee: Nipo single na sijafanikiwa kupata mtoto

    Hayo yamewekwa wazi na mbunge wa viti maalum, Halima James Mdee akihojiwa na Wasafi Fm leo asubuhi. My take: Vijana mnakwama wapi? Lishangazi hilo lipo free changamkieni fursa
  12. Halima Mdee: Bawacha vitoto vya juzi

    "....Bawacha wengi wao pale ni vitoto vya juzi kwenye game ambavyo kwa namna vinavyopiga kelele wala sipaswi kuhangaika navyo kwa sababu natambua ngoma ya mtoto huwa kamwe haikeshi." Mheshimiwa Halima Mdee (MB). ========== Dar es Salaam. Wakati Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha)...
  13. T

    Halima Mdee: Wapinzani tunapigana mishale sana ndio maana hatuaminiki kwa wananchi

    Akihojiwa leo na kituo cha redio kuhusu changamoto za upinzani amesema kwamba wapinzani nchini wana changamoto nyingi sana zinazowakosesha kuaminika kwa wananchi licha ya wananchi kuichoka ccm. Amesema wananchi wanshindwa kutuelewa kozi hatuna sera mbadala ukiacha suala la katiba ambalo...
  14. Hoja nzito ya Halima James Mdee kuhusu kilimo, iliyojibiwa kipuuzi na waziri Bashe!!

    Halima James Mdee alitoa hoja nzito sana na yenye mashiko kuhusu wizara ya kilimo kugawa ardhi na gharama ya kusafisha ekari kwa ml 16 . Halima Mdee alikuwa anapinga kwamba ghaRama za kusafisha shamba ekari Moja haiwezi kuwa ml 16..na kwamba hizo ekari zinazotarajiwa kugawiwa kwa vijana...
  15. Q

    Halima Mdee badala ya kujibu hoja ya Mnyika kuhusu Wenyeviti wa PAC na LAAC, yeye amtusi Mnyika na CHADEMA

    “Ni MUHIMU sana KUJIANDAAA kabla ya kufanya CHAMBUZI za CAG. Ukiwa haujajipanga vyema, unaweza jikuta unaongea UPUUZI. Na Mwenye DHAMANA akiongea UJINGA , anaidhalilisha TAASISI aliyopewa DHAMANA kuiongoza. Ushauri wa BURE,CAG ameongea mambo makubwa na mazito. Do your HOMEWORK”. Halima Mdee.
  16. Kwa CHADEMA kuanza kupokea ruzuku, akina Halima Mdee wanasameheka

    Nawasalimu waungwana wote wa JF, Nimesoma mahali kuwa CHADEMA wameanza kupokea ruzuku za kila mwezi zinazotokana na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Ulikuwa ni msimamo wa CHADEMA kuwa uchaguzi mkuu wa 2020 haukuwa halali na ulikuwa uchafuzi na si uchaguzi. Kutokana na kutokuwa halali, ulikuwa ni...
  17. S

    Halima na wenzake 18 kuambatana na Rais Samia mkutano wa BAWACHA?

    Najaribu kufikiri kwa kina kuhusu maamuzi haya mawili. Moja ni uamuzi wa chadema kupokea ruzuku inayotokana na wabunge haramu (covid-19). Tafsiri ya uamuzi huu ni kwamba Sasa chadema inawakubali na kuwatambua rasmi covid-19. Je, Halima Mdee na wenzake wakiomba kuhudhuria kongamano...
  18. Mbowe warudishe Halima na wenzake kundini kwanza

    Mgogoro wa CHADEMA na akina Halima ulipangwa kama mkakati wa kujiua chama cha chadema. Chadema msikubali kunaswa na mtego huo. Warudisheni kundini makamanda wetu akina Halima na wenzake. Hii itaifanya CCM itetemeke na CHADEMA iheshimiwe kimataifa. Kama CCM imewarudisha kundini Lowasa, Sumaye...
  19. Q

    Raia Mwema: Safari ya Halima Mdee na wenzake kuelekea ACT Wazalendo yaiva

    Gazeti la Raia Mwema linaandika, aliyekuwa mwanachama wa Chadema na Mwenyekiti wa BAWACHA na wenzake 18 wanatarajia kujiunga na ACT Wazalendo muda wowote kuanzaia sasa na watazunguka Tanzania nzima kukinadi. Yeye asema, Kwa hiyo tukitambua jambo jema linalofanywa na wenzetu, ni ‘kuinyatia’...
  20. Kumbukumbu ya Mpigania Uhuru na Muaisisi wa TANU Moshi Mjini Kituo Cha Mayatima Cha Halima Selengia (1919 - 2013)

    Marehemu Bi. Halima Selengia aliyefariki dunia mwaka wa 2013 akiwa na umri wa miaka 94 alikuwa kati ya waasisi wa TANU mwaka wa 1954 na mmoja wa wanawake waliokuwa mstari wa Bi. mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Bi. Halima Selengia anaingia katika kundi la akina mam wapigania uhuru...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…