halima

Halima Xudoyberdiyeva (Cyrillic Ҳалима Худойбердиева; pronounced [halima χudɒjberd̪iˈjeβa]; 17 May 1947 – 17 August 2018) was an Uzbek poet whose themes at different times of her career have dealt with Uzbek nationhood and history, liberation movements, and feminism. She was awarded the title People's Poet of Uzbekistan.

View More On Wikipedia.org
  1. William Mshumbusi

    Kama Halima aliahidiwa kazi ya kukopwa miloni 30+ ili akimbie nchi. Hawa wapinzani vinara Lissu na Lema wamepewa kazi ya malipo kiasi gani?

    Kama ni binadamu wa kawaida, mchambuzi mzuri wa siasa na mwanaharakati huwezi Sasa kukosa mashaka juu ya Mwenendo wa Freeman Mbowe tokea awali kabisa. Uwenda anajenga upinzani bandia na wanaharakati hutumika kuwapumbaza tu. Anasema alikuwa tayari kumuajili mdee South je kafanya hivyo kwa Lema...
  2. Monica Mgeni

    Katuni ya MBOWE na Halima MDEE

  3. Roving Journalist

    Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA

    Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa uanachama na Ubunge wao....
  4. K

    Wafuasi wa Halima Mdee na wenzake kwanini mmewatelekeza wenzenu? Mliwadanganya wanawafuasi kama mlivyomdanganya Dkt. Slaa

    Baadhi ya Wabunge 19 walio na mgogoro walikuwa wanakubalika Sana mtaani. Toka wapate Ubunge wameondoka majimboni na kwenye mitandao ya kijamii, wamefifia kwenye bunge na mtaani. Leo Bungeni spika alipotangaza waendelee na Ubunge nikasikia vifijo na nderemo kutoka ccm nikajiuliza siyo Hawa...
  5. Monica Mgeni

    SPIKA: Hauwezi kumfukuza Mbunge ambaye ameshapeleka kesi Mahakamani

    HALIMA NA WENZAKE 18 WANALINDWA NA KIFUNGU HIKI Spika wa Bunge Bunge_tz Dkt. Tulia Ackson ametaja Vifungu vya Sheria vinavyowalinda Wabunge 19 wa Viti Maalum wa ChademaTz kuendelea licha ya kuvuliwa Uanachama
  6. J

    Dkt. Akandunduma: Halima Mdee na wenzake wanapigania Ubunge au Uanachama wao CHADEMA?

    Dr Akandunduma anasema mfumo wa sheria wa Tanzania una mapungufu mengi ndio sababu Katoliki na Bakwata wana Mahakama zao Dokta anasema Halima Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama na Chadema hivyo wanachopigania mahakamani ni kurejeshewa uanachama. Suala la ubunge ni lingine kabisa tena ni...
  7. Replica

    Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  8. J

    Kwanini Kanda ya Ziwa walio CCM ndio wanawatetea sana Halima Mdee na wenzake?

    Kea sasa watetezi wakubwa wa akina Halima Mdee na wenzake ni wanaccm kutoka Kanda ya Ziwa. Bado sijaelewa ni kwanini!!!
  9. Masanja

    Halima Mdee na vijana wengine mlio kwenye siasa, kuna maisha nje ya siasa!

    Swala la Halima linasikitisha na kufundisha pia. Halima wengi tunamfahamu kama shabiki kindakindaki wa CHADEMA tangu akiwa university nilipomfahamia Mimi. Wengi tunayafahamu yaliyotokea kwenye uchaguzi 2020. Ni mjingaa pekee anaweza kusema kwamba hawa Covid 19 waliingia bungeni kwa baraka za...
  10. J

    Ben Kigaila: Nimekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika saa 2:42 asubuhi!

    Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA mh Benson Kigaila amesema amekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika wa Bunge leo saa 2:42 asubuhi Barua amekabidhiwa Katibu muhtasi wa Spika kea dispatch Source: ITV
  11. MamaSamia2025

    Je, Ajira ya Tsh 34m kwa mwezi ilikuwa sawa na rushwa kwa Halima Mdee? Alikuwa sahihi kuikataa?

    Wakuu nimetuliza sana akili na kufikiria kauli ya Mbowe kwamba alimwomba aachie ubunge kwa madai kwamba tayari alishamtafutia ajira ya kulipwa USD 15000 kwa mwezi. Kuna maswali kadhaa nimejiuliza nikaona nilete thread hapa huenda tukapata majibu yaliyojaa facts toka kwa wafuasi wa Chama Cha...
  12. BigTall

    Halima Mdee: Mbowe alikuwa anatafuta huruma tu, hajawahi kuzungumza na Wazazi wangu

    "Freeman Mbowe aliamua kutafuta huruma tu kwa wajumbe wa Baraza Kuu kwa kunitajia wazazi wangu, hajawahi kuzungumza na wazazi wangu hata siku moja kuhusu sakata hili, Nilisikitika, na sikuwa na nafasi ya kujibu," kauli ya Halima Mdee mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kusema...
  13. Q

    Halima Mdee na wenzake watinga Bungeni licha ya CHADEMA kutangaza kuwafukuza rasmi

    Dodoma. Baadhi ya wabunge kati ya 19 waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiingia bungeni tayari kuendelea na shughuli za Bunge jijini Dodoma, leo Ijumaa Mei 13, 2022. Jumatano ya Mei 11, 2022 Baraza Kuu la Chadema lilitupilia mbali rufaa za wabunge hao 19...
  14. M

    Najiuliza nini kilimsibu Halima Mdee mpaka kukisaliti chama

    Najiuliza maswali mengi nashindwa kupata jibu,hivi Halima Mdee nini kilichomsibu,siamini kama ni tamaa za ubunge au kuna kingine cha ziada, huyu alikuwa Mwenyekiti wa Bawacha mtu mkubwa ndani ya chama ,akizunguka Tanzania na nje ya tz kukipigania chama. Hawa wenzake walimpa nini mpaka...
  15. J

    CHADEMA kuwasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika

    Chadema kesho watawasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa Spika wa binge na Msajili wa vyama vya siasa Aidha Halima Mdee na wenzake wanayo haki ya kuiomba mahakama irejee maamuzi ya baraza kuu Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu mama Henga amesema...
  16. F

    Baada ya uamuzi wa jana CHADEMA na Halima wana mtihani mkubwa

    Hii sakata ya Halima na wenzake inatoa fursa kwa Chadema kujisahihisha. Kuna uwezekano mkubwa kuwa Halima aliamua kufanya alichofanya baada ya kuhisi kuwa kuna orodha mbadala ilitayarishwa tofauti na ile ambayo yeye na wenzake waliona kuwa ni ya haki. Wasiwasi huo usingekuwa bure kwa sababu...
  17. Ngongo

    Halima Mdee na wenzake kulamba asali hivi karibuni

    Heshima sana wanajamvi, Baada ya Wabunge 19 kutimuliwa chamani, ahadi yao ya kupewa ulaji mkubwa na heshima kubwa ipo wazi ni suala la muda tu. Ni wazi Halima Mdee ni kiongozi wa kundi la wanawake walioamua kujipeleka Mjengoni pasipo ridhaa ya chama wala baraka za viongozi wakuu. Ni wazi pia...
  18. Q

    Halima usishupaze shingo omba radhi urudi kundini, jifunze kwa Sofia Simba na Membe

    Mifano iko mingi, najua Chadema unaipenda na Chadema inakupenda pia tatizo ni wewe kujiona unauwezo kukizidi chama, viongozi wako unawaita wahuni? Jishushe, bado naiona future yako ndani ya Chadema na si kwingineko. Membe, Lowassa, Kinana, Makamba sr, Nyalandu, Sumaye walijaribu kutofautiana na...
  19. lee Vladimir cleef

    Halima Mdee na Wenzake 18 nawaonya wasijaribu kwenda Mahakamani, "Kibatala na wenzake" bado wapo

    Halima na wenzake wasipoteze muda kutaka kwenda Mahakamani,kwani wanatuhumiwa kughushi sahihi za Viongozi wa chadema Hata kama hawakughushi wao,aliewasaidia kughushi yupo. Kwa hiyo kama wakitaka kwenda Mahakamani Mimi Sina wasiwasi kabisa. Nina Imani na kikosi Cha Askari maaalum kabisa cha...
  20. BigTall

    Mbowe: Halima Mdee na Wenzake waache mambo ya Kihuni

    Kufuatia Baraza Kuu la CHADEMA kutupilia mbali rufaa ya Wabunge 19 wakiongozwa na Halima Mdee, kauli za majibizano baina ya pande mbili zimeendelea kutolewa, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amewaambia waliofukuzwa kuwa waache mambo ya kihuni. Awali Mdee alinukuliwa akisema...
Back
Top Bottom