halisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

    Bujibuji Simba Nyanaume a.k a Deebo... mapafu ya Faru mbavu 109
  2. Gharama halisi za kutoa gari bandarini, 2022

    Habari wakuu, Baada ya kupitia threads kadhaa zilizojaribu kuonyesha gharama halisi za kutoa gari bandarini, nimepata 'mawili-matatu' lakini bado kuna vitu vinanitatiza. Mchangiaji wa kwanza ameorodhesha; Shipping lines=150,000 Wharfage =115,000 Port charges =250,000 Plate number =30,000...
  3. G

    Tarehe halisi ya Ijumaa Kuu mwaka huu ni ipi hasa kati ya Aprili 8 na 15?

    Wakuu heshima mbele, Binafsi nilikuwa nataka kujiridhisha kwa usahihi zaidi ijumaa kuu ya mwaka huu na pasaka yake itakuwa tarehe ngapi hasa. Ikizingatia jumatano ya majivu ilianza tarehe 2/3/2022 na kwa mfumo uliozoeleka wa mfungo wa kwaresima huwa ni siku 40 na kwa hesabu hiyo ya siku...
  4. Tuishi maisha yetu halisi tuache maigizo tutaumbuka

    Habari zenu wakuu. Leo nimemua kuandika kidogo baada ya kukaa muda mrefu bila kuandika humu JF. Maisha yetu wengi wetu vijana wa kike na wakiume ni ya kawaida kama sio chini. Ila utakuta sisi ambao tuna pata kidogo lakin tunatumia kingi, nikimaanisha tunafanya saana anasa, hatuna tafakari...
  5. Hivi unaanzaje kuwaza kuoa au kuolewa wakati hujui maana halisi ya ndoa?

    Hi, WanaJF nimeboreka nimekutana na bonge la ufufu, mdada kaniletea kadi ya harusi nikampongeza, ila nikampa swali bwagizi, Best ndio utaolewa je unafahamu maana ya ndoa, naomba majibu nione kama unafuzu ndoa. Katoa majibu mafufu matupu, nikapata fursa tena ya mtarajiwa mwenza nae kaleta...
  6. M

    Serikali: Hatujalipa kuweka tangazo jengo la Burj Khalifa lililopo Dubai

    Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya.. Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai. Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo...
  7. Zifahamu hatua halisi za kutoa gari kwenye Meli na bandarini

    Katika mfululizo wa makala za bandari, leo tunakuletea utaratibu unaotumika kuhudumia shehena ya magari hatua kwa hatua katika bandari za TPA, kuanzia meli inapoingia bandarini, gari linavyoteremshwa kutoka melini na linavyopokewa bandarini, gari linavyotoka bandarini hadi mteja kukabidhiwa gari...
  8. Mo Dewji na safari ya kuwa Mwanahisa halisi wa simba sports club

    Simba sports club ni moja kati ya timu za ligi kuu Tanzania bara ambayo imekuwa ikiendelea na mchakato wa kufanya mabadiliko ya uendeshaji wa timu. Mwekezaji Mo Dewji ambaye ni shabiki na mwanachama wa timu hiyo aliyeamua kununua 49% ya hisa za klabu ili mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji...
  9. P

    Happy birthday Tundu Lissu

    Heri ya kuzaliwa kwako Mh. Tundu Antipas Lissu. (Kawimbo) Happy Birthday to youuu, Happy Birthday to youuu Happy Birthday Deat Lissuuu, Happy Birthday to youuuuuuuuuu! Unapoanza mwaka wako wa 54 Mwenyezi Mungu akujalie afya njema na maisha marefu. You are the HERO! Ule mkono wa Mungu...
  10. Uchambuzi: Kuna Div 1 ya Darasani vs Div 1 ya Mtaani (akili halisi)

    UCHAMBUZI: KUNA DIV 1 YA DARASANI Vs DIV 1 YA MTAANI (AKILI HALISI). Anaandika Robert Heriel. Matokeo yametoka, nawapongeza waliofaulu vizuri, lakini pia Kwa waliofeli nawapa moyo kuwa wasikate tamaa kwani mtanange bado haujaisha, ndio Kwanza vita ndio imeanza. Kwa tuliomaliza nyuma kidogo...
  11. I

    Rais Samia: Wananchi walipe gharama halisi ya kuunganishiwa umeme

    Rais Samia amesema Tanesco hawawezi kuunganisha umeme kwa gharama ya Shs. 27,000/= kwa wananchi wote wa vijijini kwa sababu gharama zinatofautiana kutoka sehemu moja hadi nyingine. Kwa hiyo amesema kuna sehemu watalipa Shs. 27,000/= na sehemu zingine watalipa gharama halisi.
  12. Haya ndiyo maisha halisi ya takriban 70%; bado tunapigana na ujinga, maradhi na umasikini

    Haya ndiyo maisha ya takriban 70% ya Watanzania. Bado tunapigana na maadaui tuliowarithi kwa Wakoloni miaka 60 imiyopita Ujinga, maradhi na umasikini. Mtoto anaezaliwa katika nyumba hii anategemewa akue salama, fikiria changamoto za kudhibiti mbu katika nyumba hii na uepukane na malaria...
  13. Kwa mara ya kwanza niliijua maana halisi ya "Mtoto wa kishua" kupitia huyu dogo. Kuna watoto wamezikuta pesa aisee!

    Nilikuwa nimeripoti chuoni mwaka 2011 kwa mara ya kwanza baada ya kuhihitimu form 6, Nilifikia hostel mnakaa watu wawili kwenye chumba, nilimkuta dogo flani yeye kamaliza form 4, alikuwa ameshaanza form 5 lakini aliachana nayo ili asome chuo. kwa haraka haraka tu nilijua kwamba huyu dogo...
  14. Naomba kujuzwa bei halisi ya Vanilla kwa kilo

    Nataka nitafute masoko ya Vanilla nje ya mipaka ila kabla ya yote ningependa kujua bei ya Vanilla ni TZS ngapi kwa sasa hasa maeno inapotoka iwe Kilimanjaro, Bukoba ama Iringa. Naomba anayejua anishirikishe niweze kujua bei ya kwenye source mashambani huko au kwenye zile AMCOs
  15. T

    Kabla hujawa na matarajio makubwa, ni vizuri ukajiridhisha hali halisi ya uchumi wa nchi unayotaka kuzamia

    Kabla ya kuzamia "dream country" yako America, Asia au Ulaya jiridhishe kwanza na mwenendo wa nchi husika kiuchumi kwa kuangalia kiashiria kimojawapo ambacho ni GDP per capita kwa miaka ya 2019 na 2020 kwa mjibu wa data za Benki ya Dunia. Baadhi ya nchi data zake hakuna. NB: Ndio utaelewa kwa...
  16. C

    Serikali ieleze mnunuzi wa korosho inalipia kiasi gani ili kupata bei halisi

    Katika hali ya wakulima kulalamika juu ya bei ndogo ya kuuzia korosho, mkulima awekwe wazi kuwa kiasi kungine amelipia viatilifu, hili hesabu yake ikae sawa. Mtindo wa kugawa viatilifu bure usirudiwe tena, kwa sababu haziendani na kiasi mkulima halisi anacholipia, pia ugawaji hauzingatii...
  17. Tatizo la wajenga mabanda holela na kujiita Wamachinga Suluhu yake haitapatikana kirahisi

    Kwanza tuweke maana halisi ya Machinga, Machinga kwa asili yake ni mtu anae nadi na kuuza bidhaa zake kwa kutembeza. Ingawa hivi karibuni maana halisi ya Machinga haipo tena. Kimsingi Machinga halisi ukiachana nae dakika 20 uwezi kumpata tena. Maana ya Machinga kwa sasa ni mfanya biashara mdogo...
  18. C

    Unafiki: Mkutano wa TEHAMA Arusha ni time wastage, hali halisi ni mbaya tusidanganyane

    Yaani kuna watu kabisa wanalipana posho KWENYE UTOPOLO KAMA HUU, mnavyozungumzia watu kujiajiri na mtu akiwakuta kwenye makongamano kama haya jinsi mnavyojifanya mnaipenda teknolojia na internet huku mkitoa mifano ya nchi nyingine zinavyopiga hatua na kuzalisha ajira sababu ya internet yenye...
  19. Natamani sana kila member humu wa JamiiForums atumie jina na pamoja na picha yake halisi

    Leo nimetafakari sana juu ya hili jambo, kwa maana wanachama wa humu wa JF wakitumia majina pamoja na picha zao halisi kutaleta faida zifuatazo: 1. Kutaongeza kuheshimiana, endapo kila member humu atatumia jina pamoja na picha yake halisi kutapelekea kuheshimiana kwa kuwa member wengi humu...
  20. Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho

    Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho. Kama wewe unaponda kokoto tani 20, unatafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako kutokana na mapato uliyoyapata kwenye kazi ngumu ya kuponda kokoto. Kwa hiyo kama mpenzi wako anayumbisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…