halisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Imani hizi! Je, unajua kanisa linaitwa "Chanzo halisi?

    Leo baada ya kifurushi changu DStv kukata (mpira), nikashawishika kucheki hizi chanel za ndani, ile naweka star tv nakutana na kanisa linajiita "Chanzo halisi" Cha kushangaza wanatumia bibilia ile ile Wanaenda kuhiji kigoma, ndugu msomaji ni kigoma hii hii ya karibu na burundi😂😂 Na huyo...
  2. B

    Papa Francis, Lissu, machampioni halisi wa haki, usawa na uhuru duniani

    Tufike mahali tuvunje ukimya: 1. Kuzitambua jitihada za kupigiwa mfano za watu wengine ni jambo la kistaarabu. 2. Vita vya kupigania haki, usawa, uhuru, demokrasia na maendeleo ni vita vya kudumu. 3. Nani asiyeyapenda au kuyahitaji matano hayo? 4. Manne ya mwanzo ni ya msingi zaidi...
  3. Viongozi wetu ni picha halisi ya jamii yetu

    Ndio inaweza onekana kauli ya kushangaza lakini ndio ukweli halisia kwa asilimia nyingi tu. "Viongozi wetu ndio picha halisi ya jamii yetu" Kwa asilimia kubwa viongozi wetu wanawakilisha tamaduni,malezi,tabia na fikra za watu wa jamii yetu kwa kiwango kikubwa. Vile wafikiriavyo viongozi wetu...
  4. Je, wajua kuwa Palestina siyo Waarabu? Waarabu halisi ni Saudi Arabia? Je, kwanini vita ya israeli na Palestina itaendelea?

    Kwanza kabisa, uzi huu hauna lengo la kukashifu imani au itikadi yoyote na msimamo wa mwandishi haufungamani na upande wowote! ASILI YA ISRAEL, SAUDI ARABIA na PALESTINE, katika dini kuu tatu, yaani Uislamu(Islamic), Ukristo(Christianity) na Uyahudi (Judaism) anatajwa IBRAHIMU au Abrahamu...
  5. Hali ya Biashara ya usafirishaji haramu wa Binadamu nchini Tanzania na Duniani

    Tanzania ni chanzo, mkondo, na nchi kusudio la safari kwa wanaume, wanawake na watoto wanaokabiliwa na ajira za kulazimishwa pamoja na biashara ya ngono. Kasi ya matukio ya biashara haramu ya usafirishaji wa ndani inazidi ile ya matukio au kiwango cha biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu...
  6. Ifahamu maana halisi ya "Mmbea"

    Mmbea ni mtu anayechukua habari za jambo au mtu fulani na kuziongezea chumvi huku akizisambaza kwa watu wengine. Mmbea huna haja ya kumweleza jambo kwa upana wewe mweleze kwa ufupi kwasababu ni mmbea anaujuzi mkubwa sana wa kukamilisha taarifa kutokana na taaluma yake ya maswala ya umbea.
  7. TAFAKURI: Utajisikiaje endapo utaambiwa Wazazi uliohisi wamekuzaa na kukulea kwa miaka mingi si wazazi wako halisi?

    Katika pita pita zangu na tafakuri za hapa na pale kwenye kichwa changu. Nikawaza kuwa itakuwaje endapo Utapata Taarifa kuwa wazazi ulionao/Waliokulea Sio wazazi wako halisi Huenda umekuwa ukijua kuwa ni wazazi wako kwa Takribani miaka 50s, 40s ,30s au hata 20s ya kuishi duniani.. Je...
  8. Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya

    Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya. Hili hapa Suluhisho la kisaikolojia na Afya ya akili katika mahusiano: Msisubiri magomvi ndio muweke vikao vya ndoa, kila ndoa ina misukosuko na migogoro ambayo ni mikubwa, midogo au ya wastani. Vikao vya Mke na Mume...
  9. Chimbuko halisi la migogoro shule ya sekondari Nyiendo

    Kuanzia Mkuu wa shule aliyeifungua Issa Izengo mpaka Mkuu wa shule aliyepokea kijiti chake Erasto Arende, Shule ya Sekondari Nyiendo haikuwahi kuwa kwenye vuguvugu la migogoro mpaka alipoingia mkuu wa shule aliyepo sasa! 1. Philosophy ya kwanza ya mkuu wa shule ni kutopenda kukosolewa na...
  10. Je, ni kweli tunauishi upendo halisi ama ulio kizuizini?

    Kila mtu anaweza kuwa na neno ukimuliza kuhusu upendo. Toka muda watu wamesha tafafuta maana nyingi za neno upendo lakini bado hakuna anayeweza kuongelea upendo kwa maneno na akaumaliza kama jinsi ulivyo. Kila mtu ataongelea matokeo yake kwa jinsi alivyo ishi na uzoefu wake katika mazingira...
  11. Haya ndio maisha halisi ya familia zetu hasa msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka

    Jinsi ya kujitambua kuwa wewe ni paratrooper msimu huu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya 1. Ni pale vikao vya familia vitakapoanza bila kujali uwepo wako na vikaweza kuendelea hata ukisusa. 2. Ni pale utakuwa mtu pekee atakayehitajika wakitaka kuchinja mbuzi au kufanya shughuli yoyote...
  12. L

    Taswira ya Yesu anayehubiriwa ni tofauti na Yesu halisi

    Ukisoma na kutafakari kwa umakini kuhusu Yesu unagundua kwamba alikuwa ni wale watu ambao jamii inawachukulia kwamba wamepinda yani outcast. Hata wale wanafunzi wake aliokuwa akiongozana nao jamii inaonekaan ilikuwa inawachukulia kama watu wasiokuwa na maadili waliopotoka yani waliopinda. Ndio...
  13. Zama zimebadilika, demokrasia nayo ichukue maana halisi kulingana na historia yake

    Tunakumbushwa madarasani pia hata mitandaoni kuwa demokrasia ilianza katika mji ATHENS - Ugiriki ambapo watu wachache wenye busara zao walifanya maamuzi juu ya mustakabali ya mji wao ndiyo maana wengi tunaelezea demokrasia kama ni watu (wachache) wanaongoza walio wengi ila tumewaondoa wanawake...
  14. Hii ndio hali halisi ya Uhaba wa Mafuta Kyela, foleni utadhani zile za maduka ya RTC

    Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari. Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.
  15. L

    Nchi zinazoishutumu China kwa kuweka mtego wa madeni. Je, zilishakaa na kujiuliza tatizo halisi linaanzia wapi?

    Wachina wana wazo moja kwamba ukitaka kuendelea na kukuza uchumi wa nchi basi lazima kuwe na miundo mbinu mizuri na imara. Wazo hili ndilo lililopelekea China kuziacha nyuma nchi nyingi ambazo hapo awali zilikuwa zinaonekana ziko sambamba na nchi hii katika umasikini. Kupitia ujenzi na...
  16. J

    Ukweli Kuhusu Wakazi Halisi wa Nchi Takatifu (the Holy Land)

    Kwanza kabisa niwakumbushe tu Watanzania wote kuwa tumehamia Dar es salaam (kwa mfano) lakini kiukweli tunachimbuko letu kikabila, ambako bado tunahaki ya kurudi na halifulani zikilazimisha tutarudi. Zama hizo kabla ya YESU kuzaliwa na miaka baada ya Yesu kuzaliwa Nchi takatifu ilikaliwa na...
  17. Hii ndio hali halisi ya mambo huko Nachingwea

    Huku viongozi wa Nchi wakiendelea kusafiri na Mamia ya Wapambe kwa gharama za kutisha, huko Kwao Nachingwea hali ndio kama mnavyoiona. Tunashauri kwamba badala ya viongozi kusafiri na Umati wa Chawa wao , ni vema chawa hao wakapunguzwa ili hela itakayookolewa irekebishe umasikini huu.
  18. Je, mwananchi unajua maana halisi ya kodi ya mapato?

    Kodi ya mapato au kwa kizungu income tax ni kodi unayolipa katika Faida ya biashara yako. Je Faida ni ipi kwenye biashara yako? Faida ni yale mapato ambayo unapata baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji. Makadirilio ya kodi ya mapato ni nini? Makadilio ni makisio ya kodi kabla ya Kuanza...
  19. Hakuna mwanamke anaetoboa mbele ya Mwanaume Halisi

    Nawasalimu kwa jina la Dp Ipo hivi hawa wavulana wanaolia lia mbele za wanawake wanatuzalilisha sana, Mwanaume hutakiw kuwa dhaifu mbele ya kiumbe cha kike hata awe na uzuri wa aina gani Hutakiwi kumuhofia hata kidogo hakikisha tu upo smart mwilini na akili mfukoni pia ila sio muhimu...
  20. Tatu Bila ya TMK Wanaume Halisi Vs Dar mpaka Moro ya TMK Wanaume Family ipi ngoma kali

    Battle hili hapa la walio kuwa kundi moja na baadae kuvunjika na kuunda Tmk wanaume family na Tmk wanaume halisi. Makundi yote haya mawili yali bahatika kutoa mikwaju mikali way back naweka battle kati ya mikwaju yao maarufu miwili. Tatu bila ya Tmk wanaume halisi VS Dar mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…