Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa...
Wazungu wanao huu msemo, "How you do one thing is how you do everything."
Na sisi makazini na majumbani tunauishi huo msemo. Ukichelewa intavyuu, mabosi wanahisi hata kazini utachelewa tu, na kazi zako zitachelewa pia. Ukidanganya sana kazini, hata kwenye mahusiano utachepuka sana.
Turudi...
Kuna kipindi nlitaka kufuga Kasuku Mimi nawapenda. But demu wangu wa kipindi hicho alinikataza kabisa. Akisema hawa ndege wana imani imani flani pia.
Tulikuwa tukibishana sana. Na anadai wangesababisha hata mimi na yeye tusioane. Hivyo hakutaka kabisa kusikia hizo habari. Kwa kipindi hicho...
Yanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city.
Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na Prison, Simba huyo kileleni, mark my words nimekaa pale.
Siku moja niliamua kuingia mtaani kushangaa shangaa uumbaji wa Mungu katika hii dunia.
Baada ya kuchoka kuzurura, nikaamua niingie kiwanja fulani kilichotulia ili niweze kutafakari yote niliyoweza kuyaona katika hii dunia.
Katika kuangaza angaza macho, ndipo nilipoweza kumuona mrembo mmoja...
Mnabariki uongo na dhulma kwa kumbambikizia mtu mtoto asiye wake kisa tu huyo mtu ana pesa. Sasa nyie serikali na huyo kahaba aliyebambikiza mtakuwa mna tofauti gani?
Eti kulinda maslahi ya mtoto mamlaka ya serikali inadanganya matokeo ya DNA na kumbambikiza mtoto kwa asiye baba yake kweli...
Hapa ni soko kubwa la Kilombero lililopo jijini Arusha.
Miaka nenda rudi wafanyabiashara sokoni hapa hulipia ushuru kila siku, lakini ushuru huo hauwasaidii wafanyabiashara hao kwa kuwekewa miundombinu sahihi ya Soko wala mfumo mzuri wa Maji safi na taka.
Bali Mfanyabiashara ambae ni...
Wewe ni Mvulana au Mwanaume.?
Kuna ukweli mchungu inapokuja kwenye kubadirika kutoka Mvulana kwenda Mwanaume na umri hauhusiani na hilo.
Ni ngumu katika kubadirika kutoka Mvulana na kuwa Mwanaume. Lakini pia jamii ya sasa inafanya hili kuwa ni ngumu zaidi.
Jamii ya sasa inajaribu...
Kuna mjadara unaendelea space kutoka kwa wataalam wa teknolojia bunifu ya akili bandia, nimejiunga kupata kitu na nimelegea kiakili zaidi baada ya kuona mambo yanayokuja.
Kwa mfano katika muundo unaokimbia sasa hivi ni Artificial Intelligence (AI) inaweza kufanya kitu unachowaza au kubuni kitu...
Habari ya jion wana JF,
Ni miezi kadhaa tangu niandike uzi wangu mara ya mwisho ndani ya jf, ni katika harakati za kuendelea kupambana na maisha ya mtaani hasa kwa sisi graduates.
Nikiwa nimekaa mahali napo patia ridhiki juzi nilipitiwa na dogo ambaye nilimuacha akiwa first year pale SUA akiwa...
Kutongoza sio kusifia tu au kujionesha kiasi gani unaweza kumtunza mwanamke.
Wengi huanza kuonesha kumjali mwanamke kwa pesa. Ubaya wake ni kwamba unamfundisha mwanamke ajali pesa yako tu. Na wanawake wengi skuizi wamezoeshwa hivi.
Wanawafundusha wanawake uchunaji.
Wengine wanakesha mtandaoni...
Kuna Mtu nimepishana nae akiwa katika Harrier matata sana huku akiwa na Mikogo yote (kama ya Watani zangu Wakubwa Wahaya) cha Kushangaza baada ya Nusu Saa nimekutana nae Ubungo anapakia Magunia ya Pumba za Kuku huku akiwa Kavua Shati kutokana na Joto Kali la Dar es Salaam sasa (ambalo TMA...
Wakuu habarini za Jpili,
Tutafakari sote kwa maslahi ya Taifa letu. Upinzani kama upinzani ingawa haujawa on right way ya kushika hatamu but umesaidia sana kuibua kashfa nyingi sana nchini za kifisadi, uhujumu uchumi, ubadhirifu na utendaji mmbovu. Sasa nna swali. Huo upinzani pamoja na...
Mama najuwa unaingia JF, wewe ni muungwana sana kwenye ziara yako South Africa umewaita viongozi wa TACOP kupitia balozi Milanzi kwa niaba ya Watanzania wote wanaoishi Afrika Kusini.
Lakini cha kusikitisha viongozi hawa waliowakilisha badala ya kuja kuwakilisha wamegeuka machawa hata suti zao...
Pamoja na kwamba taifa letu limewahi kuwa na viongozi katika ngazi ya Urais ambao wameishatangulia mbele ya haki! Kikatiba kumbukizi linalopelekea siku ya mapumziko ni kwa waasisi wa taifa letu (Nyerere & Karume).
Hata hivyo siku ya tarehe 17 March kila mwaka, ni siku ya majonzi kwa watanzania...
Wabantu walisambaa kutoka maeneo ya Cameroon na kuelekea kusini yote ya Africa kama miaka 3,000 iliyopita, yaani miaka 1000 kabla ya kuzaliwa Yesu. Lakini kabla ya wabantu kuja huku kusini, wakazi wa asili wa huku walikuwa nani?
Huku kulikaliwa na mbilikimo, wabushmen(San) kama wakhosa wa South...
NIlipata wasaa wa kumsikiliza Zitto kwenye mkutano wa hadhara kwanza wa ACT Wazalendo 2023 pale uwanja wa Zakhem Mbagala.
Niseme kwa kukiri kwamba, kiongozi huyu ambaye ameanzia na kukulia Upinzani ana viwango vyote sahihi vya kuitwa mwanasiasa mwenye hoja. Katika kuunda hoja na kuzijengea...
Tunazaliwa, tunakuta baba anatuita fulani, mama naye.
Kaka pia anatuita hivyo, na dada na ndugu zetu! Kiukweli jamii nzima tumekuta inatuita tu fulanii fulanii.
Wapi tulikaa kikao, ni lini tulikubaliana kwamba jina langu, kitu muhimu ninachomiliki na kunitambulisha popote liwe ni hili na sio...
Habar wadau hope wote mpo poa
Maisha magumu lakini elimu pia inasaidia ila yenyewe bila ujanja ni kazi bure ujanja muhimu pia ukiongezea na elimu basi ni full mteremko !!!! nije moja kwa moja kwenye mada naomba ijulikane wazi hapa tunazungumzia bei au thamani ya kiwanja na sio nyaraka utapeli...
Bonobo!
Canis Lupus Familiaris ndiyo jina la hii specie tunayoijua na kuipenda..Almaaruf kama Mbwa!!
Wengi mkiulizwa mbwa wametokea wapi kwa haraka haraka mtasema waliumbwa na Mungu.
Lakini kama maswali mengi kwenye hii dunia, majibu yake huwa sio rahisi kihivyo. Leo tuingie deep zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.