Msomaji wa Vitabu anafahamu jinsi Vitabu vilivyo na umuhimu mkubwa sana katika maisha ya kila siku. Vilikuwa muhimu tokea zamani, lakini katika zama hizi, umuhimu umeongezeka mara nyingi sana.
Pamoja na umuhimu huo, kungali kuna idadi kubwa ya Waafrika, Watanzania wakiwemo, ambao hawaupi vitabu...