Leo nimeenda kumtembelea jamaa yangu mmoja anaishi sehemu moja inaitwa Kilolo Mkoa wa Iringa.
Huyu ni mate wangu, nilisoma naye chuo kikuu anafanya kazi huku ni Afisa fulani.
Wazee hii baridi sio mchezo. Kesho nitaikimbia na kurudi kwangu Dar. Sijui wanaishije hawa watu. Yaani nimeingia jioni...