halmashauri ya lushoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fundi wa fundi

    Wakazi wa kijiji cha Kifundai na vitongoji vyake tunakabiliwa na changamoto ya huduma mbovu za afya na mawasiliano

    Tunakabiliwa na shida ya mtandao wa mawasiliano, yaani ukitaka kupiga simu lazima uende kitongoji kingine mbali ya kwamba tuna zahanati ya kijiji, wananchi waliojiunga na bima hawana faida au hawafaidiki na bima hizo pindi wanapoenda kutibiwa tafadhali serikali inatusaidiaje katika hili. Tuna...
  2. BARD AI

    Mkuu wa Wilaya ya Ulanga na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Lushoto washtakiwa kwa Ukiukwaji wa Maadili

    Hatua hiyo inafuatia Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kupokea Malalamiko ya Ukiukwaji wa Maadili dhidi ya Julius Kenneth Ningu (Mkuu wa Wilaya ya Ulanga - #Morogoro) na Mathew P. Mbaruku (Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto - #Tanga) Viongozi hao watajadiliwa Septemba 5...
Back
Top Bottom