halmashauri ya lushoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya DED kuchunguza madai ya Walimu kukwepa majukumu ya kufundisha katika Shule ya Msingi Kishangazi (Tanga)

    TAARIFA KWA UMMA Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuari ya Wilaya ya Lushoto imeona taarifa iliyotolewa katika Mtandao wa kijamii wa JamiiForums ikieleza kwamba katika Shule ya Msingi Kishangazi, iliyopo Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shagayu ni Mwalimu Mmoja tu ndiyo anafika shuleni...
  2. Fundi wa fundi

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa kijiji cha Kifundai na vitongoji vyake tunakabiliwa na changamoto ya huduma mbovu za afya na mawasiliano

    Tunakabiliwa na shida ya mtandao wa mawasiliano, yaani ukitaka kupiga simu lazima uende kitongoji kingine mbali ya kwamba tuna zahanati ya kijiji, wananchi waliojiunga na bima hawana faida au hawafaidiki na bima hizo pindi wanapoenda kutibiwa tafadhali serikali inatusaidiaje katika hili. Tuna...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Ulanga na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Lushoto washtakiwa kwa Ukiukwaji wa Maadili

    Hatua hiyo inafuatia Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kupokea Malalamiko ya Ukiukwaji wa Maadili dhidi ya Julius Kenneth Ningu (Mkuu wa Wilaya ya Ulanga - #Morogoro) na Mathew P. Mbaruku (Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto - #Tanga) Viongozi hao watajadiliwa Septemba 5...
Back
Top Bottom