Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetoa msimamo wake kuhusu masuala ya uraia pacha nchini baada ya hivi karibuni kuwa na mijadala mbalimbali ya uraia pacha.
Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Agnesta Kaiza leo Bungeni Jijini Dodoma, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad...