hamas walipua shule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Waarabu wa Gaza wameanza kuamka Maandamano ya Kuwapinga Hamas yamepamba moto. Siku ya pili sasa Wataka Mateka waachiwe

    Mamia ya watu wameandamana Gaza katika maandamano makubwa zaidi ya kupinga Hamas tangu vita na Israel kuanza, wakidai kundi hilo liondoke madarakani. Wanaharakati waliosambaza video mitandaoni walionyesha waandamanaji wakipiga kelele "Hamas out" mitaani Beit Lahia. Hata hivyo, wanamgambo wa...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israeli yaachana maamuzi ya kusitisha mapigano Gaza, yaua zaidi ya watu 400

    🚨BREAKING: IDF imethibitisha rasmi kuwa imefanikiwa kuwaangamiza magaidi 6 wa Hamas leo ndani ya Ukanda wa Gaza. Mmoja wao alishiriki katika mauaji ya Oktoba 7, mmoja alikuwa amevaa kama mwandishi wa habari, na mmoja alikuwa amevaa kama mpiga picha.
  3. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio magaidi wa Hamas waliouawa kwenye shule huko Gaza

    Hiyo hapo juu ni orodha na picha ya Magaidi 19 ya Hamas na Islamic Jihad yaliouwawa na Airstrike ya Jeshi teule tukufu la IDF yakiwa yamejificha shuleni wakidhani yatakuwa salama. Pia soma: LIVE - Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS Inasemekana maisha ya kujificha kwenye...
Back
Top Bottom