Mamia ya watu wameandamana Gaza katika maandamano makubwa zaidi ya kupinga Hamas tangu vita na Israel kuanza, wakidai kundi hilo liondoke madarakani.
Wanaharakati waliosambaza video mitandaoni walionyesha waandamanaji wakipiga kelele "Hamas out" mitaani Beit Lahia. Hata hivyo, wanamgambo wa...
🚨BREAKING: IDF imethibitisha rasmi kuwa imefanikiwa kuwaangamiza magaidi 6 wa Hamas leo ndani ya Ukanda wa Gaza.
Mmoja wao alishiriki katika mauaji ya Oktoba 7, mmoja alikuwa amevaa kama mwandishi wa habari, na mmoja alikuwa amevaa kama mpiga picha.
Hiyo hapo juu ni orodha na picha ya Magaidi 19 ya Hamas na Islamic Jihad yaliouwawa na Airstrike ya Jeshi teule tukufu la IDF yakiwa yamejificha shuleni wakidhani yatakuwa salama.
Pia soma: LIVE - Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS
Inasemekana maisha ya kujificha kwenye...