hamis mkotya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hamis Mkotya wa Channel 10, autaka ubunge Jimbo la Chemba, Dodoma

    Mwandishi na mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, Hamis Mkotya, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge Jimbo la Chemba. Mkotya (Kushoto), amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumatatu Juni 30, 2025 na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Chemba, Moza Abdallah.
Back
Top Bottom