hamu

Hamu is a surname and given name. Notable people with the name include:

Ana Hamu, Māori woman
Bruna Hamú (born 1990), Brazilian actress and model
Hamu Kayondo (born 1990), Ugandan cricket player
Hamu Shiru (died 1932), Yezidi tribal leader

View More On Wikipedia.org
  1. Wajibu(responsible) au hamu(desire)

    Wapwa Bora hamu ya kua na mtu umpendae yaan akiumwa,akipata shida, upo Kwa ajili yake yaan hamu ya kua nae ni kubwa. Au wajibu unapata mtu anaekuelewa zaidi anakua na wajibu juu Yako anatimiza Kila haja Yako kuliko yule ambae unahamu nae so ni Bora kipi kati ya hamu na wajibu. Nipo njia panda🐼🐼🐼 .
  2. Ni myonge, sina kauli na sina hamu ya kwenda nyumbani tena nilipo zaliwa

    Assalama leko. Tumsifu Yesu Kristo. Wakuu maisha yamekuwa tofauti sana na nilivyokuwa kipindi cha nyuma nimekuwa mnyonge na nisiye na furaha tena kwa historia za wazee (mababu) nimekuwa chambo kwa hilo kila kitu kimebadilika sana Nyumbani nilipo zaliwa hapakaliki tena nikienda naibua story...
  3. K

    Nasubiria kwa hamu vita ya Ukraine iishe nikatafute kazi

    Binafsi sijui vita vya Ukraine itaisha lini, lakini naimani Kwamba Ile vita siku ikiisha tu, kutakuwa na ujenzi mkubwa sana wa miundombinu chini ya ufadhili wa nchi washirika wa Ukraine, ambao ni USA na mataifa ya EU, hivyo manpower kubwa sana itahijika na kazi zitakuwa nyingi sana za ujenzi...
  4. Hamu ya kula isiyozuilika

    Imeshawahi kukutokea umepata hamu ya kula chakula flani na huwezi kutulia mpaka ukipate? Imenitokea leo, usiku huu nimeanza kupika vitumbua vya nazi na iliki maana sijisikii kula kitu chochote zaidi ya hivi vitumbua. Vipi ulishawahi kupata hamu kama hii? na ulikula nini kuituliza? Njooni...
  5. T

    Hivi ushawahi kukosea kutuma Ujumbe wa simu? Mimi nilimtumia dada yangu kimakosa "Nimekumisi Baby nina hamu sana nawe"

    Nikamwomba msahama hakuelewa kikao kikakaliwa nikaomba msamaha nikasingizia kuwa siku hiyo nilitumia bangi. Wewe ilikuwaje?
  6. Hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke haitengenezwi kitandani. Ili mwanamke aridhike kitandani, ni muhimu kuhakikisha kuwa ana furaha wakati wote

    🏆🏆🏆 Hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke haitengenezwi kitandani. Ili mwanamke aridhike kitandani, ni muhimu kuhakikisha kuwa ana furaha wakati wote💜💜💜. Najua ni ngumu kwani kuna kausha damu, lakini mfanye atamani kukutana na wewe kwa kumuonyesha kwamba unamkumbuka❤️❤️❤️. Kwa mfano, uko kazini...
  7. Yemen ni mwendelezo mwingine wa ndoto ya jihad yoyote atakaye pata mamlaka ili aridhishe hamu yake ya kufanya maafa. Syria itafata subiri wapate pesa.

    Chezea mtu aliefunzwa kwa kuchochewa chuki na vurugu tangu utoto. Kwamba solution ya jambo lolote ni kuwa a rebel na haki ya kweli ni ile ya itikadi yao mahasusi. Basi tambua kuwa hawa watu hata waamie kwenda sayari venus, wataanza kupigana tena wao kwa wao kwa maana asili yao ni resistance...
  8. Tumesubilia kwa hamu hatimaye tumemuon mwenye Ina TV kwa ndani😂😂😂🤣😅😅🏌‍♂️

    Tumesubilia kwa hamu hatimaye tumemuon mwenye Ina TV kwa ndani😂😂😂🤣😅😅🏌‍♂️
  9. P

    Nimekua nikisumbuliwa na hamu kufanya mapenzi mara kwa mara hadi sasa idadi ya wanawake ni wengi nisaidieni jamani

    Habarini wakuu mimi kijana wa miaka 27 tu lakini nahisi mpaka sasa nimeshafanya mapenzi na wanawake idadi inakaribia 50 Najiuliza kwanini hii hali inanitokea siipendi naichukia yaan mwanzo wa mwaka huu hali ilikua shwari hadi mwezi wa tisa nilikua nimefanya mapenzi na wanawake wanne tu kwa...
  10. Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana

    Kwema wakuu, tukiwa katika kijiwe chetu cha kahawa, baada ya kuhoji masuala fulani kuhusu mtu fulani anaye heshimika sana kwenye dini, sikupata majibu ila watu walikasirika sana na wakaapa kuwa leo saa 10 watanisomea albadiri na sitaiona kesho. Kwakweli nilifurahi sana nikawaambia kama kuna...
  11. Israel haina hamu na mateka mpya waliyesema wamemuokoa

    Mateka wa Israel aliyetajwa kwa mbwembwe nyingi kwamba aliokolewa hapo juzi amekuwa kama yule bibi wa kifaransa aliyeachiliwa huru na wanamgambo wa Mali miaka miwili iliyopita.Bibi huyo alimfanya Macron afupishe muda wa kumpokea uwanjani pale alipowasifia wanamgambo wa Mali na kuahidi kurudi...
  12. Dawa ya hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke....

    Habari Na gfriend wangu tumetokea kupendana sana kusex sanaaa Baadae akafanikiwa pata mtoto Sasa n mwaka wa 3 Ila ile hamu ya tendoo la ndoaa sijui kaenda nayo mtoto ama lah Mkikutanaaaa yaaan inaweza chukua dk 15 kumchezea weee ndio unaona hamu inamuingia Kama kuna dawa ya hamu ya tendo la...
  13. Mechi ya Yanga vs kaiza chiefs, tiketi zote SOLD OUT, wa south wana hamu ya kuitazama Yanga

    Mechi ya Yanga na Kaizer chiefs imevunjwa record ya soccer la south Africa kuuzwa zote kabla ya siku mbili ya mchezo. Unaambiwa mtaani watu wa South Africa wanahamu sana kuitazama team kubwa Africa Young Africans Wanataka wamuone Aziz ki, Chama, mudathir n.k Hii team ya Young Africans...
  14. A

    Jinsi Mashabiki wa Simba tunavyosubiri kwa hamu 'Thank You' ya Murtazah Mangungu

    Kipindi hiki cha usajili ndio kipindi pekee ambacho wana Simba tunapataga furaha ya moyo. Jamaa alituletea Manzoki, tukalipuka kwa furaha ukumbini, tukampa kura kwa kishindo, leo hatumtaki lakini bado amekalia kiti. Ewe shabiki mwenzangu wa Simba unaisubiri Thank You ya Boss wetu Mangungu...
  15. Kwa wale ambao mnataka au mna hamu sana ya Kuvunja Ndoa zenu nzuri ili mje kuungana nasi 'TEAM NO KUOA DAIMA' chukua hii mbinu utakuja Kunishukuru

    HOW TO DESTROY A GOOD MARRIAGE IN JUST ONE MONTH To destroy a good marriage is very easy than you think, it does not cost anything. I listed here things you can do to destroy a great marriage by just doing them for a Month, no matter how strong the marriage is, it will be destroyed if you do...
  16. Waafrika tuna shida sana na ndizo zinazo wafanya irene uwoya na wenzio kutokupitwa na fursa ya kufaidika na hamu yetu ya kupata miujiza na faraja.

    Niliona uzi humu eti mtu anataka afarijiwe kuhusiana na yeye kupenda huduma mpy ya Irene Uwoya. Yalianza na jamaa aliekuwa Lugombas. Sasa ni irene uwoya kutumia ushawishi wake kupata kondoo. Simaanishi Mungu hawezi kuinua muhuni then akawa mtumishi wake ila tusikubali wahuni watuaminishe...
  17. Wakazi wa Gongo la Mboto kuelekea Chanika tunasubiri kwa hamu awamu mpya ya ujenzi wa mwendokasi

    Watanzania wenzangu ni matumani yangu mu buheri wa afya, mliopo na Matatizo mbali mbali muwe na subira na kutokata tamaa hata mnapohisi kushindwa. Leo katika pita pita zangu nikakutana na uzi wa dada Janeth Thomson Mwambije akiwa amekutana na mkuu wa wilaya ya ILALA mheshimiwa Edward Jonas...
  18. P

    Nilikuwa na hamu kubwa lakini ile najaribu tu ikawa utambi😭😭

    Nimekaa mda mrefu bila kufanya. Nikameita my wangu geto akaja. Nikafikiri itakua show show lakini asikuambie mtu mambo yakawa ndivyo sivyo. nikaanza romance kama kawaida jamaa akasimama strong. Nikachezea shaft hadi utelezi ukashuka. Nikavaa ndom ile napachika mara shwaaa yaan sekunde. Ikawa...
  19. Jambo gani ambalo uliwahi kulipania kwa hamu kubwa kulipata baadaye likakushinda?

    Natumaini hamjambo wana jukwaa na mnaendelea vyema Katika harakati za kimaisha kuna mambo mbalimbali ulipania kuyapata au kuyafanya ila baadae yakakushinda na ukaachana nalo kabisa ama ukapambana tu bila kukata tamaa lakini hola. Yapo mambo mengi kama vile, kupata ramani za kwenda abroad...
  20. Tutaje Mambo madogomadogo kuyafanya ila yanaongeza hamu ya kula.

    Kuna hii ishu ya kupoteza appetite ya kula inatukumba wengi hasa wanywa pombe ndo naona inawasumbua sana. Niliamua kufanya kautafiti kadogo ili nije na mbinu baadhi ambazo ukizitumia unaonja onja kidogo chakula. 1.kula Kwa uma na kisu. Vyakula kama mayai ya kienyeji ya kukaanga, matunda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…