hamu

Hamu is a surname and given name. Notable people with the name include:

Ana Hamu, Māori woman
Bruna Hamú (born 1990), Brazilian actress and model
Hamu Kayondo (born 1990), Ugandan cricket player
Hamu Shiru (died 1932), Yezidi tribal leader

View More On Wikipedia.org
  1. Chance ndoto

    Nasubiri kwa hamu kuona pale Jangwani hali itakavyokuwa baada ya mvua kunyesha

    Yapata mwaka sasa kuna magreda yamekaa tu pale jangwani. Yakienda kushoto na kuhamia kulia. Mara kati kati. Nasubiri kuona je! Haka kamvua ka kawaida hakato payumbisha. Na pakiyumba nini itakuwa shida?
  2. D

    Natamani sana kwenda mahala kuogelea kwenye swimming lakini nikiwaza vikojozi hamu inakata kabisa

    NAPENDA sana kuogelea lakini Nikiwaza kwenda kuogelea maji ya baharini/Ziwani kuna mtihani mwingine huwa naogopa kuogelea maji ambayo sioni ndani yake kuna nini kwa kuhofia nyangumi, wanyama wa majini na mazingaombwe ya majini! Hivyo sehemu pekee ya kistaarabu ni Swimming pool lakini huku nako...
  3. Wildlifer

    Video: Tanzania Royal Tour

    Her Excellency! Impressive video!
  4. GRAMAA

    Mambo yaliyonikuta Rau Madukani sina hamu napo.

    Kweli Rau madukani acha paitwe Rau madukani. Ni hivi,juzi nilikutana na dada mmoja mrembo sana pale Rau madukani anaitwa Reah. Nikatupa ndoano akanasa fasta sana bila kusumbua hata kidogo. Tukapanga tukutane jioni kwenye dina ili tuzungumze kidogo. Sasa kipindi tunapata dina bidada akaanza...
  5. K

    Huyu jamaa angu hana hamu na UDSM kwa hiki alichokipata

    Kwema wasomi? Kuna jamaa angu ni in service wa halmashauri moja hapa Tanzania, mwaka 2019 alinifuata kuniomba ushauri wa program na chuo cha kusoma hapa Tanzania, kwa uelewa wangu kiasi niliokua nao kwa kipindi hicho, nikamahauri ni Bora atafute chuo cha private walau huko kunakua na unafuu na...
  6. Surya

    Sina hamu na mahusiano (wamenikata stimu)

    Eeh bhana maisha bado yana safar ndefu..tunaendelea kuishi na kitu pekee napenda maishani ni ubunifu wa jinsi ya kuishi vizur na kwa furaha na binadamu. Before 2018 nilikua mtu wa kukutana na mabinti wengi wanao nipenda baadhi nikapendana nao pia, hatukuweza kudumu kwa sababu mbalimbali...
  7. Lily Tony

    Tatizo la kukosa hamu ya kula

    Habari za majukumu wakuu,poleni na majukumu ya kila siku. Wakuu nina changamoto ya kukosa hamu ya kula ,ingawa nina hisi njaa lakini ninakula chakula kidogo sana, nashiba. Hili limekua tatizo la miaka na miaka lakini kadri siku zinavyoenda hali inazidi tete kiasi nakosa amani,Nitumie nini ili...
  8. Ramon Abbas

    Car4Sale Suzuki Cami Manual inakusubiri kwa hamu 3.6mil

    Get it now. This machine is manually operated. It has no any technical problems. Not repainted at all. located at kunduchi Dar es salaam. Priced at 3.6million Tshs come with your technician and get this drive. Hotline: 0625750755
  9. kunta93

    Nitumie mbinu gani kumuacha ila nikiwa na hamu awe ananipa?

    Habari zenu mabaharia, Kuna binti tuko kwenye mahusiano ila kichwani ni empty, ni spender na hana hata robo ya uwife material ila linapokuja swala la kitandani asee nashindwa hata kuelezea hapa, she is🔥🔥🔥🔥🔥 Nataka kumpiga chini coz nikiendelea kua nae ntajifunga, huko mbele sitoweza kumkimbia...
  10. Chizi Maarifa

    Nilichotendwa Tabora huku Ng'ambo sina hamu tena!

    Wadau mimi nmekuja Tabora mwezi sasa. Nimekuja kikazi shughuli zetu. So siku zote hizi nalipwa Per diem kama kawaida. Nikawa mara kadhaa napata burdan sehemu mbalimbali mpaka mwenyeji wangu akanileta Sehemu moja inatwa Oxygen. Siku hiyo nikapata lidada la Kiarabu. Mashallaah....lina tembea na...
  11. LIKUD

    ROSTAM VS NIKKI MBISHI " Beef iliyo subiriwa kwa hamu" je Nikki Mbishi atawaweza Rostam ?

    HII BEEF NI KAMA BEEF YA " THE GAME vs JADAKISS" beef ya the game na Jada ilisuburiwa kwa hamu sana lakini haikuwahi kutokea. Jada na Game wote ni lyricists wazuri sana. kwa hapa Tz hakuna waandishi wazuri kama ROSTAM na Nikki Mbishi.. Lets wait and...
  12. Handsome boy 1

    Kutendwa kumeniondolea hamu ya kuingia kwenye mahusiano

    Mimi ni kijana wa miaka 26 nilikuwa na mpenzi wangu tuliyedumu kwa miaka 2 nolimpenda sana ila yeye aliniektia. Tuliishi nikijua lengo la mahusiano yetu ni kuoana nilijitoa kwake kwa kiasi kikubwa sana lakini mwaka huu kwa masikitiko makubwa tukaachana maumivu niliyapata ofcourse mana...
Back
Top Bottom