Habari za majukumu wakuu,poleni na majukumu ya kila siku.
Wakuu nina changamoto ya kukosa hamu ya kula ,ingawa nina hisi njaa lakini ninakula chakula kidogo sana, nashiba.
Hili limekua tatizo la miaka na miaka lakini kadri siku zinavyoenda hali inazidi tete kiasi nakosa amani,Nitumie nini ili...