Jana nilikuwa Tanga na ile Ziara ya Raisi Samia Tanga ina sio chini ya V8 300, Bado hujazungumzia Nisan Patroo, bado Toyoto landcruser hardtop na magari mengine. Hapo jirani tu Hospitali ya Bombo ukifikankuna wagonjwa walisha jijatia tamaa make ndugu hawana uwezo wa pesa za vipimo.
Hii ni nchi...
Kocha Erik ten Hag ametoa kauli ambayo inaonesha kuna uwezekano wa kutorejea kwenye mchezo wa Soka badala yake akaelekeza nguvu kwenye kazi zake binafsi.
Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu alipositishiwa ajira yake Manchester United, miezi minne iliyopita amesema kwa sasa anajihusisha na...
Ndiyo!
Nakukumbusha wewe, ulipokuwa mdogo uliona kama baba yako anakunyima Hela😅😅
sasa ni zamu yako kuzitafuta, Unaionaje Hali?
Ukiombwa Hela Unaitoa Kirahisi?
Wazazi na ndugu wa Aziz Kiii hawakuhusika kwa lolote kuanzia 1. Posa , 2. Mahari, 3. Engagement hadi Ndoa. Yaani Wazazi na ndugu wa Aziz ni timu ya Yanga.
Kwa familia inayojitambua isingeruhusu hili jambo lifanyike bila uwepo au uhusika wa wazazi na ndugu wa bwana harusi. Wazazi wa Hamisa...
Sijui ni kwanini Wanaume wengi wa Afrika Magharibi ni Washamba mno wa Mbunye na sishangai ndiyo maana Wanaume wa Afrika Mashariki tunawazidi Ujanja na Akili.
Kwa Hamisa Mobeto ninayemjua Mimi ningekuwa Mimi ndiyo nataka Kumuoa ningetoa Mahari ya Shilingi Elfu Hamsini za Kitanzania na Kuku Jike...
Salaam alaikum,
Kijana wa chuo,kijana wa kiume ambaye familia yake ilitegemea apate elimu Kisha kupitia elimu hiyo ukombozi wa kiuchumi upatikane kwa wanaomtegemea,ameamua ajirushe gorofani kisa chipsi alizomnunulia mpenzi wake.
Iko hivi, jamaa ana mpenzi wake chuoni na kwa alivyokuwa anaona...
Habari za wakati huu ndugu wana Jamiiforums,
Nimepokea kesi nyingi sana kutoka kwa vijana wakiume january hii, wengi wao malalamiko yako ni kuwa Wanawake/wake wanaoishi nao wanataka watoto wakasome shule za gharama (wengi ada ni 2.5M+), ilihali wao uwezo wao kiuchumi ni wastani na wakijikamua...
Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya viongozi wa Afrika dhidi ya kutegemea sana misaada ya kigeni kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha msaada wa shirikisho duniani kote.
Akizungumza wakati wa Mkutano wa Usalama wa Afya wa Kanda ya Afrika Mashariki 2025...
Habari za muda huu waungwana wa hapa jamvini......
Kwenye ulimwengu wa sasa uliojaa changamoto za ulaghai na uaminifu imekuwa ni changamoto kubwa sana kukutana na mwenza mwenye moyo wa dhati wa kujenga maisha na wewe......
Limekuwa jambo la kubahatisha kwa kuwa wakati mwingine waongo na wa...
Wanawake wanapaswa kuwa na ufahamu wa kutambua ni mwanaume gani yuko tayari kwa ndoa na ni nani ambaye hana malengo ya ndoa .Hii itawawezesha kuwa na uamuzi bora kuhusu uhusiano wao na kuepuka kuumizwa.
Mwanaume Aliye Tayari kwa Ndoa:
1. Anaonyesha nia ya dhati: Mwanaume ambaye yuko tayari...
Unakuta mtu anakushauri oya usioe mpaka ufike 30's yeye wakati ana Zaidi ya 30 hajaoa na maisha magumu vibaya
Wakuu hakuna uhusiano wowte wa mafanikio na ndoa kama utapata mtu Sahihi
"....Lazima tujiulize, tumewakosea wapi WANANCHI hadi kupelekea hawaiamini tena Chadema?"
"....mfano, imefikia M/kiti akiitisha maandamo anaye jitokeza ni binti yake na yeye peke yake-kwanini?!"
"....watu waliokuwa tayari kutufia, sasa wana kiona Chadema kama rafiki kipenzi wa CCM."
Tundu.
Leo Mukwala alipoingia tu kule Tunisia nilimchukia sana kocha Fahdu, sikuona sababu za kumtoa Ateba ambaye aliwashika sana waarabu.Kwani ni lazima ufanye sub? Hata Mpanzu alipotoka akaingia Mavambo niliona kabisa kocha anatuingiza shimoni.
Anyway, Yanga wanakaribia kutemana na Baleke...
Usimwanike mtoto wako mtandaoni. Usimwanike mwenzi wako mtandaoni.
Usianike mali zako mtandaoni. Usianike bata zako mtandaoni.
Kuna siku utatamani kufuta itakuwa too late wenzako wameshadownload na kushare.
Kuna siku utahitaji msaada post zako mtandaoni zitakuhukumu.
Kuna siku utahitaji kazi...
Nilimkuta hana kitu, tukafungua biashara ikafikia Milioni 100, akanifukuza!
**** Sasa Hivi Nina Biashara Yangu Ananiheshimu!
“Huna akili mjinga wewe mwanamke gani matako yako mgongoni, sijui hat aukinya inakuaje, hembu angalia, mimi wanawake wananipenda, nina akili na usidhani haya mafanikio...
Kuna Hawa vijana wa hovyo kabisa wanajiita kataaa ndoa.
Kwanza anakuambia tafuta hela usioe yeye ana miaka 30 na zaidi hela Hana na kuoa hajaoa!
Sasa inakuwaje kama kuchelewa kuoa ndio kufanikiwa basi wote wenye 30's wawe wanaendesha V8
Vijana wenzangu epukeni zinaaa fanyeni muoa maisha ndio...
Yericko alizaliwa huko Iringa miaka ya 1984 akiwa ni mtoto pacha na mwenzake.
Yericko ni miongoni mwa watoto 7 wa mzee MKANA kutoka huko kwao.Kijijini Maduma Iringa!
Baada ya kumaliza shule ya msingi huko maduma alijiunga na secondary (jina kapuni) huko mtwara!
Baada ya kumaliza secondary na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.