Utawala wa nchi yetu na nchi zote za kidemokrasia ni utawala wa sheria. Na sheria hizo tunazitunga wenyewe wananchi kupitia wawakilishi wetu kwenye bunge letu. Sisi ndiyo tunaoamua nchi yetu tuiendeshe namna gani kupitia sheria tutakazozitunga au kuzibadilisha kupitia wawakilishi wetu (wabunge)...
Kanuni ya 26(3) ya Kanuni za Uchaguzi zinataka Fomu ya KUTEKELEZA MAADILI kujazwa mbele ya Msimamizi wa Uchaguzi. Ndugu yangu wa CCM KAWE alijaza tarehe 20/8/2020 NYUMBANI kwake. Na BADO MSIMAMIZI wa UCHAGUZI Kinondoni AKAMTEUA! HUYU Mgombea HANA SIFA-Halima Mdee on twitter.
Sina kumbukumbu kama dunia imewahi kuwa na Mtawala baradhuli ambaye mwisho wake ulikuwa mwema, Labda CCM mtusaidie
Kiwango cha Ufedhuli katika Miaka yake mitano kinavuka fikra timamu ya kibinadamu
Na Mungu hadi sasa amemwacha lakini bado hasomi tu alama za nyakati.
Unakwendaje kwenye Uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.