This is a list of nominated candidates for the New Democratic Party in the 40th Canadian federal election, which resulted in a Conservative minority government.
Wakuu,
Nacheka kama mazuri lakini moyo unauma:KEKLaugh::BearLaugh:.
Viongozi wanapayuka kila siku mama hana deni lakini yeye ndio anawadai wananchi kwa kazi nzuri iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) aliyofanya! Kuna mabango kede kede huko mtaani kusema mama hana deni, mama anaupiga mwingi...