Challenge: Kweli hatumdai mama na yeye ndio anatudai? Piga picha ya bango la mama mkoani kwako na useme kama humdai

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Nacheka kama mazuri lakini moyo unauma:KEKLaugh::BearLaugh:.

Viongozi wanapayuka kila siku mama hana deni lakini yeye ndio anawadai wananchi kwa kazi nzuri iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) aliyofanya! Kuna mabango kede kede huko mtaani kusema mama hana deni, mama anaupiga mwingi, mama anatosha katika kila mkoa nchini.

Kwa kusema hivyo inamaana mama amefanikiwa kwa 95% ya uongozi wake, hizo 5% tunaachia kwenye kasoro za kibinadamu, kuanzia kwenye suala la huduma za kijamii, hali ya maisha ya watu, ajira, uchumi na hata usalama tukiangazia kwenye matukio ya kutekwa na watu kuuliwa na/au kujeruhiwa.

Embu tufanye hii challenge tujue kama kweli hatumdai, maana inawezekana tunatoa povu hapa wakati wenzetu mnaishi kama mpo Newyoko😂😂😂

Kokote ulipo piga picha hilo bango wanalosema mama hana deni kisha tuambie ni kweli huko hamumdai mama lakini yeye ndio anawadai?

Tuchangamke Wakuu tunakimbizana na muda🌚🌚

====

Kwenye pitapita zangu nilikutana na hili, japokuwa hamna maandishi ya mama hana deni... ila naliweka wakazi wa Same watatuambia huduma hii ya maji na zinginezo zikoje? Wanaishi kama wapo Newyoko? Kweli hawana deni na mama?

20250501_133140.jpg

​
Kwa upande wa Daslam kwakweli mama una deni kuishinda hadi serikali🥲, barabara ya mtaa natamani redbull ingekuwa inatoa mabawa kweli nisipate adha ya kupita........ sasa hapo nimeanzia chini kabisaaa, hatujafika kwenye mambo nyeti. Mimi Cute Wife kwakweli mama nakudai! Tena si kitoto, na kulipa hilo deni sioni ukifanikiwa! Kama mwanamke ndio kabisa umenifelisha pakubwa mpaka nabubujikwa machozi ha huzuni kama Lucas Mwashambwa😭😭.

Wakuu twende kazi, muda mchache, semeni kweli mama hana deni?

Gen Z msiniangusha kwenye hii challenge, embu tuipaishe hadi kule tukuyu ndani ndani iwafikie, nchi nzima tujue ni kweli mama hana deni?
 
ngoja nikuwekee picha ya wale wazee waliovunjwa miguu walipoenda mahakamani
 
Siasa za siku hizi zinachosha hata wenye siasa.

Toka lini tumeanza kudaiana kwenye kazi zinazodai wajibu?
 
Una genye ww, katafute mwanaume we danga
Haiombwi hivyo Mkuu hata mama ako ndio maana anatafuta chawa wamsaidie kuomba, utakufa vibayaa wewee :BearLaugh::BearLaugh:

Afu wewe unalipwa af 3 za kutetea upuuzi na mimi nani awashwa? Epuka hizi aibu ndogo ndogo bana Mkuu🤣🌚
 
Wakuu,

Nacheka kama mazuri lakini moyo unauma:KEKLaugh::BearLaugh:.

Viongozi wanapayuka kila siku mama hana deni lakini yeye ndio anawadai wananchi kwa kazi nzuri iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) aliyofanya! Kuna mabango kede kede huko mtaani kusema mama hana deni, mama anaupiga mwingi, mama anatosha katika kila mkoa nchini.

Kwa kusema hivyo inamaana mama amefanikiwa kwa 95% ya uongozi wake, hizo 5% tunaachia kwenye kasoro za kibinadamu, kuanzia kwenye suala la huduma za kijamii, hali ya maisha ya watu, ajira, uchumi na hata usalama tukiangazia kwenye matukio ya kutekwa na watu kuuliwa na/au kujeruhiwa.

Embu tufanye hii challenge tujue kama kweli hatumdai, maana inawezekana tunatoa povu hapa wakati wenzetu mnaishi kama mpo Newyoko😂😂😂

Kokote ulipo piga picha hilo bango wanalosema mama hana deni kisha tuambie ni kweli huko hamumdai mama lakini yeye ndio anawadai?

Tuchangamke Wakuu tunakimbizana na muda🌚🌚

====

Kwenye pitapita zangu nilikutana na hili, japokuwa hamna maandishi ya mama hana deni... ila naliweka wakazi wa Same watatuambia huduma hii ya maji na zinginezo zikoje? Wanaishi kama wapo Newyoko? Kweli hawana deni na mama?

Kwa upande wa Daslam kwakweli mama una deni kuishinda hadi serikali🥲, barabara ya mtaa natamani redbull ingekuwa inatoa mabawa kweli nisipate adha ya kupita........ sasa hapo nimeanzia chini kabisaaa, hatujafika kwenye mambo nyeti. Mimi Cute Wife kwakweli mama nakudai! Tena si kitoto, na kulipa hilo deni sioni ukifanikiwa! Kama mwanamke ndio kabisa umenifelisha pakubwa mpaka nabubujikwa machozi ha huzuni kama Lucas Mwashambwa😭😭.

Wakuu twende kazi, muda mchache, semeni kweli mama hana deni?

Gen Z msiniangusha kwenye hii challenge, embu tuipaishe hadi kule tukuyu ndani ndani iwafikie, nchi nzima tujue ni kweli mama hana deni?
 
Attachments

  • IMG-20250501-WA0008.jpg
    IMG-20250501-WA0008.jpg
    54.7 KB · Views: 34

Napiga picha kutoka muhimbili na mloganzila. Bei ya KITANDA Kwa mtanzania wa kawaida ni shiling 50000/= hii ipo kwenye bango gani hapa nchini???? Mbona watu wanashindwa kuchhukua maiti
 
Wakuu,

Nacheka kama mazuri lakini moyo unauma:KEKLaugh::BearLaugh:.

Viongozi wanapayuka kila siku mama hana deni lakini yeye ndio anawadai wananchi kwa kazi nzuri iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) aliyofanya! Kuna mabango kede kede huko mtaani kusema mama hana deni, mama anaupiga mwingi, mama anatosha katika kila mkoa nchini.

Kwa kusema hivyo inamaana mama amefanikiwa kwa 95% ya uongozi wake, hizo 5% tunaachia kwenye kasoro za kibinadamu, kuanzia kwenye suala la huduma za kijamii, hali ya maisha ya watu, ajira, uchumi na hata usalama tukiangazia kwenye matukio ya kutekwa na watu kuuliwa na/au kujeruhiwa.

Embu tufanye hii challenge tujue kama kweli hatumdai, maana inawezekana tunatoa povu hapa wakati wenzetu mnaishi kama mpo Newyoko😂😂😂

Kokote ulipo piga picha hilo bango wanalosema mama hana deni kisha tuambie ni kweli huko hamumdai mama lakini yeye ndio anawadai?

Tuchangamke Wakuu tunakimbizana na muda🌚🌚

====

Kwenye pitapita zangu nilikutana na hili, japokuwa hamna maandishi ya mama hana deni... ila naliweka wakazi wa Same watatuambia huduma hii ya maji na zinginezo zikoje? Wanaishi kama wapo Newyoko? Kweli hawana deni na mama?

Kwa upande wa Daslam kwakweli mama una deni kuishinda hadi serikali🥲, barabara ya mtaa natamani redbull ingekuwa inatoa mabawa kweli nisipate adha ya kupita........ sasa hapo nimeanzia chini kabisaaa, hatujafika kwenye mambo nyeti. Mimi Cute Wife kwakweli mama nakudai! Tena si kitoto, na kulipa hilo deni sioni ukifanikiwa! Kama mwanamke ndio kabisa umenifelisha pakubwa mpaka nabubujikwa machozi ha huzuni kama Lucas Mwashambwa😭😭.

Wakuu twende kazi, muda mchache, semeni kweli mama hana deni?

Gen Z msiniangusha kwenye hii challenge, embu tuipaishe hadi kule tukuyu ndani ndani iwafikie, nchi nzima tujue ni kweli mama hana deni?
 
Attachments

  • 20250417_174958 (1).jpg
    20250417_174958 (1).jpg
    873.3 KB · Views: 33
  • 20250417_175228 (1).jpg
    20250417_175228 (1).jpg
    493.7 KB · Views: 39
  • 20250417_175137 (1).jpg
    20250417_175137 (1).jpg
    680.6 KB · Views: 29
Huu sio ujengaji wa hoja. Mimi nipo Jijini Mwanza. Leo nyumbani kwangu imepita gari inatangaza Mkutano wa Chadema kesho Igoma. Imepita kwenye barabara nzuri zilizojengwa na Serikali ya CCM chini Mama Samia!🤣🤣🤣🤣
Baambie hao :BearLaugh: :BearLaugh: .... ila Mkuu, kwahiyo barabara tu imekukosha kuona mama hadaiwi Mwanza?
 
Huu sio ujengaji wa hoja. Mimi nipo Jijini Mwanza. Leo nyumbani kwangu imepita gari inatangaza Mkutano wa Chadema kesho Igoma. Imepita kwenye barabara nzuri zilizojengwa na Serikali ya CCM chini Mama Samia!🤣🤣🤣🤣
Wee saangapi mkutano
 
Back
Top Bottom