mama hana deni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sisi watumishi, wakulima na wafanyabiashara hatukudai kitu tulikotoka kulikuwa kugumu kwelikweli

    Toka Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kwakweli tumeona mabadiliko makubwa sana kwenye masilahi ya kiutumishi, amekuwa akipandisha madaraja analipa arrears anapandisha mishahara ameongeza kima cha mshahara serikalini na kwenye private sectors. Niseme tu, Mh. Rais Dr Samia...
  2. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Walisema Mama hana deni, leo wameshindwa kunadi sera zao kuhusu miradi isiyokamilika

    Nilijua tu kauli ya mama hana deni itakuja kuwatafuna watu fulani fulani, Sera hazinadiki tena Wanaulizwa maswali wasiyoweza kuyajibu? Wengine wanaahidi kuleta barabara katika maeneo yao ilihali walituaminisha barabara zipo za kutosha. Mwingine kaahidi zahanati watu wakamuachia ukumbi. Mambo...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Challenge: Kweli hatumdai mama na yeye ndio anatudai? Piga picha ya bango la mama mkoani kwako na useme kama humdai

    Wakuu, Nacheka kama mazuri lakini moyo unauma:KEKLaugh::BearLaugh:. Viongozi wanapayuka kila siku mama hana deni lakini yeye ndio anawadai wananchi kwa kazi nzuri iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) aliyofanya! Kuna mabango kede kede huko mtaani kusema mama hana deni, mama anaupiga mwingi...
  4. Sumbaye

    JamiiForums Tanzania Je, Ni kweli Mama hana Deni au hatumjui mdeni wetu?

    Kila nikipota mtaani nakutana na Mabango ya mama hana deni. Nikipita mitandaoni nakutana hashtags kwamba "Mama hana deni", "Mama ametenda" au Mama yuko kazini". Wabunge tuliowatuma kwenda bungeni nao wanaimba wimbo ule ule Mama hana deni. Tufafakari pamoja, ni kweli hana deni au sisi hatumjui...
  5. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baba Levo na kampeni ya mama hana deni, Bilioni 56 zatolewa kukamilisha mradi wa umwagiliaji Iringa

    Kampeni ya Mama Hana Deni inayoongozwa na Msanii na Mtangazaji Baba levo imefika kwenye mradi mkubwa na wa kisasa wa Umwagiliaji Mkoani Iringa na kushuhudia namna ambavyo maji yanasafilishwa kwa zaidi ya kilometa 20 kuyafuata mashamba ya mpunga ya Wananchi wakulima Mkoani humo. Zamani wakulima...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Online TVs zimekuwa compromised na CCM? Anachofanya Baba Levo kuhusu ''Mama Hana Deni'' ni kampeni kwa Rais Samia na CCM kuelekea uchaguzi mkuu

    Hii kampeni feki kabla ya Uchaguzi iliyopewa jina la ''Mama Hana Deni'' imekaa kimkakati kuisaidia CCM ambayo ndio inaongoza Serikali kuweza kuonesha miradi mbalimbali ambayo inatekelezwa kwa kodi za wananchi. Sasa hii naona Baba Levo kaamua kuichukua akishirikiana na Online TVs nchini...
Back
Top Bottom