Walisema Mama hana deni, leo wameshindwa kunadi sera zao kuhusu miradi isiyokamilika

Walisema Mama hana deni, leo wameshindwa kunadi sera zao kuhusu miradi isiyokamilika

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,477
Reaction score
5,096
Nilijua tu kauli ya mama hana deni itakuja kuwatafuna watu fulani fulani, Sera hazinadiki tena

Wanaulizwa maswali wasiyoweza kuyajibu?

Wengine wanaahidi kuleta barabara katika maeneo yao ilihali walituaminisha barabara zipo za kutosha.

Mwingine kaahidi zahanati watu wakamuachia ukumbi.
Mambo ni mengi aisee

Watanzania tuache unafiki na ubinafsi
 
Back
Top Bottom