evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Saa nane mchana ila mimi sitahudhuria kwasababu tunajipanga na wana CCM wenzangu kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu ujao.Wee saangapi mkutano
Mimi ninamdai nataka mambo mawili na yote ajanilipa hata Moja la kwanza ni katiba mpya na la pili ni tume huru ya uchaguzi,Wakuu,
Nacheka kama mazuri lakini moyo unauma.
Viongozi wanapayuka kila siku mama hana deni lakini yeye ndio anawadai wananchi kwa kazi nzuri iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) aliyofanya! Kuna mabango kede kede huko mtaani kusema mama hana deni, mama anaupiga mwingi, mama anatosha katika kila mkoa nchini.
Kwa kusema hivyo inamaana mama amefanikiwa kwa 95% ya uongozi wake, hizo 5% tunaachia kwenye kasoro za kibinadamu, kuanzia kwenye suala la huduma za kijamii, hali ya maisha ya watu, ajira, uchumi na hata usalama tukiangazia kwenye matukio ya kutekwa na watu kuuliwa na/au kujeruhiwa.
Embu tufanye hii challenge tujue kama kweli hatumdai, maana inawezekana tunatoa povu hapa wakati wenzetu mnaishi kama mpo Newyoko😂😂😂
Kokote ulipo piga picha hilo bango wanalosema mama hana deni kisha tuambie ni kweli huko hamumdai mama lakini yeye ndio anawadai?
Tuchangamke Wakuu tunakimbizana na muda🌚🌚
====
Kwenye pitapita zangu nilikutana na hili, japokuwa hamna maandishi ya mama hana deni... ila naliweka wakazi wa Same watatuambia huduma hii ya maji na zinginezo zikoje? Wanaishi kama wapo Newyoko? Kweli hawana deni na mama?
Kwa upande wa Daslam kwakweli mama una deni kuishinda hadi serikali🥲, barabara ya mtaa natamani redbull ingekuwa inatoa mabawa kweli nisipate adha ya kupita........ sasa hapo nimeanzia chini kabisaaa, hatujafika kwenye mambo nyeti. Mimi Cute Wife kwakweli mama nakudai! Tena si kitoto, na kulipa hilo deni sioni ukifanikiwa! Kama mwanamke ndio kabisa umenifelisha pakubwa mpaka nabubujikwa machozi ha huzuni kama Lucas Mwashambwa😭😭.
Wakuu twende kazi, muda mchache, semeni kweli mama hana deni?
Gen Z msiniangusha kwenye hii challenge, embu tuipaishe hadi kule tukuyu ndani ndani iwafikie, nchi nzima tujue ni kweli mama hana deni?
Dr.Samia Suluhu Hana deni kwa waTanzania, na uthibitisho wa hilo upo wazi kabisa kwenye utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa mwaka 2020-2025.Wakuu,

Huu sio ujengaji wa hoja. Mimi nipo Jijini Mwanza. Leo nyumbani kwangu imepita gari inatangaza Mkutano wa Chadema kesho Igoma. Imepita kwenye barabara nzuri zilizojengwa na Serikali ya CCM chini Mama Samia!
Nakuonea Huruma WeweHaiombwi hivyo Mkuu hata mama ako ndio maana anatafuta chawa wamsaidie kuomba, utakufa vibayaa wewee
Afu wewe unalipwa af 3 za kutetea upuuzi na mimi nani awashwa? Epuka hizi aibu ndogo ndogo bana Mkuu🤣🌚
Who caresSaa nane mchana ila mimi sitahudhuria kwasababu tunajipanga na wana CCM wenzangu kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu ujao.