hanang

Hanang District is one of the six districts of the Manyara Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Mbulu District and Babati Rural District, to the southeast by the Dodoma Region and to the southwest by the Singida Region. Mount Hanang is located within the boundaries of the district.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Hanang District was 205,133. According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Hanang District was 275,990.The District Commissioner of the Hanang District is Moses B. Sanga.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali yakabidhi nyumba 109 kwa waathirika wa maafa Hanang

    Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imekamilisha na kukabidhi rasmi nyumba 109 kwa familia zilizoathirika na maporomoko ya tope yaliyotokea mwezi Desemba mwaka 2023, wilayani Hanang, mkoani Manyara. Makabidhiano hayo yalifanyika tarehe 20 Desemba 2024, ikiwa ni hitimisho la juhudi za mwaka...
  2. Haya ndiyo maajabu niliyojionea mlima wa Hanang Katesh Manyara

    Tanzania ni Nchi yetu sote hivyo ni wajibu wa kujivunia vivutio vilivyomo. Mlima Hanang uliopo Katesh manyara ni mlima wa Saba Kwa urefu hapa Tanzania Nikiwa viunga vya huko niliona Nami nisiishie tu kuuona bila kupanda. Nikiwa na rafiki yangu mmsai tuliazimia kupanda kihuni (Bila kibali)...
  3. Uhalisia wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi kwa Waathirika wa Maporomoko, Hanang, Manyara

    Uhalisia wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi kwa Waathirika wa Maporomoko, Hanang, Manyara Uhalisia wa hali ya ujenzi wa nyumba za makazi kwa waathirika wa maporomoko yaliyotokea katika Wilaya Hanang, Mkoa wa Manyara. Kumekua na wimbi la waandishi uchwara na wapotosha taarifa bila kuchukua muda...
  4. J

    Mtumishi wa Halmashauri wilaya ya Hanang atupwa Jela miaka ishirini kwa ubadhirifu

    Mahakama ya Wilaya ya Hanang imemhukumu aliyekuwa Mkusanya Mapato kwa kutumia mashine ya POS wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang Bw. PETRO MICHAEL MURAY. Mshitakiwa ametiwa hatiani kwa kosa la ubadhirifu kosa ambalo ni kinyume na kifungu cha 28(1) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
  5. Hivi kilichotokea mlima Hanang na Kawetele hayawezi kutokea Mwanza?

    Hivi kilichotokea mlima Hanang na Kawetele hayawezi kutokea Mwanza? Itakuwaje na ile milima ya mawe? Pia soma Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133 Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa
  6. B

    Qatar Charity yatoa msaada wa tani 90 kwa wananchi wa Hanan’g

    Ubalozi wa Qatar Tanzania kwa kushirikiana na Tasisi ya Qatar Charity, kwa niaba ya Serikali ya Qatar, imewasilisha misaada muhimu ya kibinadamu kwa waathirika wa Maporomoko ya Udongo yaliyotokea Hanang mkoani Manyara. Shehena ya misaada hiyo iliyotolewa leo tarehe 18 Februari 2024 kwa kutumia...
  7. Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha

    Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mheshimiwa Jenista Mhagama amehimiza ujenzi wa nyumba za waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope, miti na...
  8. R

    Ushauri: Serikali iwahamishe wakazi wote eneo la mlima Hanang Manyara

    Salaam, Shalom!!! Baada ya Kutokea maporomoko na maafa mlima Hanang, zimefanyika jitiada kadhaa kurudisha maisha ya Wahanga yarudi kama zamani. Tumeshuhudia pia mamlaka Jana zikireport tetemeko la ukubwa wa 4.7 , hizi zote ni dalili za kuja Kutokea mlipuko wa volcano halisi. Ninaiomba...
  9. Maafisa Elimu Watoa Milioni 20 kwa Waathirika wa Mafuriko ya Hanang

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amekabidhi Sh.Milioni 20 kwa Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe.Jenista Mhagama kutoka kwa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mkoa na Halmashauri zote nchini kwa ajili ya waathirika wa...
  10. Waziri Jenista Mhagama Awashukuru PPRA kwa Misaada ya Washiriki wa Maafa Hanang'

    WAZIRI Jenista Mhagama AWASHUKURU PPRA KWA MISAADA YA WASHIRIKI WA MAAFA HANANG' Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama ameupongeza Uongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Mamlaka ya Ununuzi na Udhubuti wa Umma (PPRA) kwa kutambua na kuungana na Serikali...
  11. Umoja wa Mabalozi wa Afrika wakabidhi msaada wa mifuko 1,000 ya saruji kwa waathirika wa mafuriko ya Hanang

    Umoja wa Mabalozi wa Nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania wamekabidhi msaada wa mifuko 1,000 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa nyumba kwa wananchi waliokumbwa na mafuruko na maporomoko ya udongo katika eneo la Katesh Wilayani Hanang mkoa wa Manyara. Akikabidhi msaada huo...
  12. A

    DOKEZO Malipo ya watumishi wa afya Hanang kwa waliosaidia wahanga kuna upigaji mkubwa

    Watumishi wa afya Hanang tumesainishwa karatasi za malipo ambazo hazioneshi kiasi tutakacholipwa matokeo yake wengine wamelipwa half per diem na wengine wamelipwa kwa extra duties na wengine mkurugenzi amegoma kutulipa lakini wote tumesaini karatasi za malipo kwa kazi hiyo moja ila malipo...
  13. Msemaji wa Serikali: Thamani misaada ya maafa ya Hanang imefikia Tsh. Bilioni 7.7

    Serikali ya Tanzania imesema thamani ya misaada iliyotolewa na wahisani mbalimbali kwenye maafa ya Hanang imefikia Sh7.7 bilioni. Kiwango hicho kinajumuisha misaada ya chakula na mahitaji muhimu ya kibinadamu ambavyo thamani yake ni Sh2.5 bilioni huku fedha taslimu zikifikia Sh5.2 bilioni...
  14. Taarifa za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi Zasaidia Zoezi la Uhakiki wa Waathirika wa Maafa Hanang

    Taarifa za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi Zasaidia Zoezi la Uhakiki wa Waathirika wa Maafa Hanang SERIKALI imetumia taarifa za matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika mwaka 2022 kuthibitisha taarifa za makazi na kaya katika maeneo yaliyoathirika na maafa ya Maporomoko ya tope na...
  15. Waziri Mhagama Afika Hanang, Wananchi wa Halmashauri ya Hanag Wameishukuru Serikali kwa Misaada ya Kibinadamu

    Wananchi wa halmashauri ya wilaya ya Hanang wameishukuru Serikali kutokana na juhudi kubwa iliyozifanya katika urejeshaji wa hali na misaada ya kibinadamu iliyotolewa kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope na mawe kutoka mlima Hanang. Wananchi hao wamezungumza kwa nyakati tofauti wakati...
  16. Waziri Mhagama awapongeza Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari nchini kwa kuwatia moyo waathirika wa Hanang

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akipokea mchango wa Walimu Wakuu wa shule za Sekondari nchini kwaajili ya waathirika wa maafa ya maporomoko ya matope na mawe kutoka mlima Hanang uliowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed...
  17. Wenza wa Viongozi wawashika mkono Waathirika wa mafuriko Hanang

    Umoja wa Wenza wa viongozi "New Millenium Women Group" wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna ilivyokabiliana mafuriko yaliyosabisha maporomoko ya tope kutoka Mlima Hanang, Mkoani Manyara. Akizungumza na waathirika katika kambi iliyopo...
  18. MISAADA INAYOTOLEWA HANANG NA MOROGORO ITUMIKE KWA WAAATHIRIKA TU.....

    SI VIBAYA KUKUMBUSHANA KKUMEKUWANA BAADHI YA MALALAMIKO HUKO NYUMA MADHARA YANAPOTOKEA WAATHIRIKA KUTOPATA MISAADA WANAYOPEWA VYEM.A TUKIELEKEA CHRISTMAS TUKAMKUMBUKA MUNGU NA KUWA NA HOFU NAE TUNAAMINI WANAOHUSIKA KUPOKEA WATAPELEKA MISSADA SEHEMU HUSIKA YA WAATHIRIWA BILA KUWA NA UPENDELEOO...
  19. Wakati wa kupanda miti kwenye milima ni huu ambapo mvua zinanyesha

    Baada ya janga lililotokea Hanang inaelekea tumelichukulia kuwa limekwisha, ninapenda kuwashauri viongozi wote nchini kuwa vilima byote ambako mvua zinanyesha huu ndio wakati wa kupanda miti. Viongozi wetu wamekuwa na mtindo wa kiweka siku ya kupanda miti hasa wakati hakuna mvua na matokea...
  20. Mbunge wa Hanang, Eng. Hayuma alilia Serikali athari za mafuriko ya Hanang

    MBUNGE WA HANANG, ENG. HAYUMA AILILIA SERIKALI, ATHARI ZA MAFURIKO YA HANANG Mbunge wa Jimbo la Hanang, mkoani Manyara, Eng. Samwel Hayuma ameingukia serikali akiiomba kuwatazama kwa jicho la pili wafanyabiashara ambao wamepoteza mali zao kutokana na mafuriko ya maporomoko ya tope yaliyotokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…