hanang

Hanang District is one of the six districts of the Manyara Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Mbulu District and Babati Rural District, to the southeast by the Dodoma Region and to the southwest by the Singida Region. Mount Hanang is located within the boundaries of the district.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Hanang District was 205,133. According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Hanang District was 275,990.The District Commissioner of the Hanang District is Moses B. Sanga.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    CHADEMA HQ yaanzisha harambee kuchangia Hanang

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kwa vyombo vya habari inawaomba watu wote Duniani wajitokeze kuchangia wahanga wa Hanang, ili angalau waweze kurudi kwenye hali ya kawaida kama walivyokuwa awali, hata kama siyo kwa 100% Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba MKONO WA KUTOA UNA BARAKA NYINGI...
  2. Erythrocyte

    Freeman Mbowe kufanya ziara Hanang yenye lengo la kutoa Rambirambi kwa Wahanga

    Taarifa iliyotolewa na Chama Chake hii hapa .
  3. kavulata

    Vifo Katesh; Je, Tanzania kuna milima mingine kama mlima Hanang?. Serikali imechukua hadhari gani?

    Tunasubiri vifo ili turushe helkopta kuangalia kiwango cha uharibifu na idadi ya waliokufa badala ya kunusa mapema hatari na dalili vifo. Kwa kilichotokea Hanang ni matokeo ya mipango mibaya ya watanzania wenzetu tunaowalipa kwa kazi ya kutulinda na majanga. Kuna idadi kubwa ya watanzania ambao...
  4. B

    Nilitarajia Katibu Mwenezi Paul Makonda awe ameshafika Hanang na kutoa maelekezo. Uwezo wake uko kwenye nini hasa?

    Anajulikana kama mpenda watu na yeye watu wanampenda. Ndivyo tunavyoaminishwa. Kutokana na janga la kiasili lililowatokea wenzetu nilitarajia kuona ule uwezo wanaosema Katibu MMwenezi wa NEC anao uwe umeshaleta nafuu kwa wwahanga wa Mafuriko na janga la Mvua. Ccm kamachama Doka kina...
  5. Nyendo

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu

    Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu. Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
  6. KING MIDAS

    Miamba dhoofu chanzo cha maporomoko Hanang

    SERIKALI imesema kumeguka kwa sehemu ya Mlima Hanang ambao ilikuwa una miamba dhoofu iliyonyonya maji ndio chanzo cha maporomoko yaliyoleta maafa katika eneo hilo la Hanang mkoani Manyara. Maporomoko hayo ya matope yamesababisha vifo vya watu 65 na majeruhi zaidi ya 100 huku mamia ya wanachi...
  7. Erythrocyte

    Tungejipanga kwenye Majanga kama tulivyowekeza Polisi bila shaka tusingetumia mikono kuondoa tope Hanang

    Tukio hili la kusikitisha la Hanang linanikumbusha maporomoko kama haya yaliyotokea Uganda miaka kadhaa iliyopita , watu walizikwa na udongo , huku vifaa vya uokozi vikiwa Machepeo na Sululu , kiukweli baada ya jambo lile niliona aibu sana kuzaliwa Africa , na hasa Africa Mashariki , nilijiona...
  8. S

    Chawa wa mama: Namshukuru mama Samia kwa tope la Hanang

    Kuna msemo ya kiswahili usemao "kuchamba kwingi......" Sasa hata sifa zikizidi hupelekea dhihaka. Mwaka 2016 kitovu cha kupatwa kwa mwezi dunia nzima kilikuwa mkoani Njombe eneo la Wanging'ombe. Wageni mbalimbali toka pande zote za dunia walikwenda Njombe ili kuona tukio la kupatwa kwa jua na...
  9. tpaul

    Rais Samia amerejea kuomboleza msiba wa Hanang au amekuja kutuhamishia Burundi?

    Naingia kwenye mada moja kwa moja sitaki kuwachosha. Mnakumbuka vizuri madhila yaliyotupata watanzania mwaka jana wakati serikali ilipoongezeka tozo za miamala maradufu hivyo kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu maradufu. Kana kwamba hiyo haitoshi waziri wa fedha msomi, Mwigulu Nchemba...
  10. S

    Wakati nikiwa mchunga ng'ombe Hanang nilifanikiwa kujua kumbe mlima Hanang una kitambi

    Katika hatua za ukuaji wangu nikiwa mdogo zamani! Nilibahatika kupata kazi ya kuchunga ng'ombe huko wilaya ya Hanang! Nikiwa huko porini nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana yakiwemo mbinu za kulinda mifugo, madawa za mitishamba ya binadam, ishara ya mmea kuashilia matukio ya njaa au hatari...
  11. BARD AI

    Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
  12. Z

    Hakuna sababu ya kuomba michango ya mafuriko ya Hanang, Serikali isaidie wananchi kwa pesa zake

    Rais na umati mkubwa wa Watanzania wenzetu wako Dubai kwa raha zao na kwa matumizi makubwa ya pesa za umma. Je, pesa za safari ya umati wote huo imetoka wapi? Sasa kuna magari ya kifahari yanaelekea Hanang bila msaada ndani yake. Serikali inaendeshwa kifahari kwa magari ya bei kubwa bila kujali...
  13. ChoiceVariable

    Watumishi TFS Manyara walitakiwa wawe nyuma ya nondo. Waligundua hatari wakakaa kimya hadi maafa yametokea

    Ukimsikiliza huyu Jamaa unaona kabisa anakera na kutia hasira na Yuko comfortable kabisa kusimulia ujinga. Yaani watu waligundua kabisa tena baada ya kupewa taarifa na wenyeji kwamba kuna hatari ya Maporomoko ya udongo Toka mwaka Jana ila wakakausha Hadi Maafa yametokea halafu ndio anasimulia...
Back
Top Bottom