Macho, pua, masikio, ulimi na Ngozi ya mwili huwa vina tabia ya kuchoshwa na kukinaishwa na kuona, kunusa, kusikia, kuonja na kugusa kitu cha aina moja tu kilekile kukiona, kukinusa, kukisikia, kukionja na kukigusa kila mara kwa muda mrefu.
Mfano, mtu huwa anaishangaa na kulipenda vazi jipya...