haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. Infinite_Kiumeni

    Kwanini ukimuambia/ Ukimpa mwanamke taarifa zako zote kwa haraka atakuacha?

    Wanawake ni viumbe wanaopenda kufanya udadisi hasa linapokuja suala la mahusiano. Hii ni kwasasabu wanawake hawaridhiki mpaka wapate kile wanachokitaka, kabla hawajakipata hicho kitu mawazo yao na hisia zao muda mwingi zinakua juu ya hicho kitu. Kumfanya mwanamke awe mtafiti kwako ni moja ya...
  2. Pang Fung Mi

    Mauaji Uvinza: Afisa Misitu na Askari wa Jeshi la Akiba wauawa wakiwa doria. Serikali ioneshe makucha haraka

    Hello JF Habari za kuaminika toka Uvinza Kigoma kuna mauaji hatari yametokea maafisa misitu na Askari wa jeshi la akiba wameuawa vibaya, wahusika hasa TFS, jeshi la Polisi, Mamlaka ya Wilaya ya Uvinza na Mkoa wa Kigoma tafadhari onesha nguvu ya Serikali. Ni hatari sana ni hatari sana...
  3. BARD AI

    Kwa kauli hii ya Rais Samia, Jaji Biswalo anapaswa kujiuzulu haraka

    Leo Januari 31, 2023 Rais Samia amezungumzia suala la Plea Bargain, utaratibu wa Makubaliano ya Kumaliza Kesi kwa Kulipa Fedha kwa Serikali ambao ulitumika wakati wa Utawala wa Hayati Rais Magufuli chini ya DPP Biswalo Mganga aliyeondolewa na kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu, huku akieleza...
  4. technically

    Ushauri: Serikali mrejesheni haraka mwalimu aliyesimamishwa kazi

    Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto. Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha? Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu. Shule ni amri kama ilivyo kwa...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas) itataleta maendeleo makubwa na ya haraka zaidi kwenye sekta ya mafuta na gesi

    Maoni yangu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano na Wizara ya Nishati Mimi nashauri tungeanzisha wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas). Wizara ya nishati igawanywe mara mbili kuwa wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas) na wizara ya nishati (Ministry of Energy). Wizara ya...
  6. Kilangi masanja

    Msaada wa haraka wadau

    Mdogo wangu amekwama stend ya magu (Mbezi)akitokea bukoba anakuja Nachingwea .Gari nyingi zimemuacha na hajui afanye nini kwani anauhitaji wa kufika kusini leo hii na ni mgeni sana anaogopa kwenda kijichi (mfukoni pia kabakiwa na 40k). Mbadala wake nimemwambia abeti kwa tashrif ya kutoka...
  7. Mdau jf

    Msaada wa haraka: Nimevimba korodani

    Amani iwe nanyi, Naomba msaada ndugu zangu, ni miezi miwili sasa korodani yangu moja upande wa kulia ina kauvimbe kadogo kagumu kasiko na maumivu. Hii hali inanifikirisha sana Doctors naombeni msaada wenu.
  8. DR SANTOS

    Msaada wa haraka unahitajika

    Nilishakuja na Uzi wiki ilopita kuhusu gari yangu kupiga kelele pindi niingizapo gear. Pia gia namba Moja na reverse zinaingia Kwa tabu sana. Leo nimekwenda garage wameshusha gear box nikaambiwa hicho kijamaa kwenye picha ndo changamoto inabidi kubadili. Naomba kujua bei zake Kwa wenye...
  9. Pang Fung Mi

    Heri Tanzania iombe kibali haraka tuwe Jimbo jipya la Marekani

    Malalamiko yamezidi sana kuhusu ugumu wa uchumi, mikopo, na mdororo wa viongozi wenye akili mufilisi, kama ccm wanaogopa katiba mpya na mihadhara ya kisiasa, ni wakati mzuri tutumia fursa ya Utawala Biden tuombe kibali Cha kuungana na Marekani tuwe Jimbo jipya la Marekani, tuutumie uzoefu huu wa...
  10. covid 19

    Mkopo wa haraka unahitajika ili kukamilishaoda za wateja.

    Wakuu habari zenu Nina uhitaji wa mkopo wa haraka ili niweze kufanikisha biashara yangu na nisipoteze watena hivyo ninahuitaji wa haraka wa mkopo kiasi cha milioni 1.4 au 1.5 (milioni moja na nusu) Muda wa kurejesha ni ndani ya siku 14 yaani nusu mwezi kitu cha kukaa kama dhamani ni pikipiki...
  11. Webabu

    Ukraine yatakiwa kuzingatia maonyo ya Urusi haraka kabla kipigo kijacho

    Katika hali inayoonesha vita vinaelekea kubaya zaidi Urusi imeitaka Ukraine kuzingatia maonyo yake haraka kabla awamu ijayo ya mashambulizi haijaanza. Onyo hilo limetolewa na waziri wa mambo ya nje wa Urusi mapema jana. Katika onyo hilo Sergei Lavrov ameitaka Ukraine kuyatambua majimbo mapya ya...
  12. britanicca

    Mlete haraka kuliko afungwe atatusaidia kwenye mambo yetu

    Mambo yetu ili yanyooke mtoeni jamaa nje alafu moja kwa moja aje nyumba mithili ya meli ! Pale wanapoingia kwa code maalumu na hawaitani majina wanaitana chifu pili ukienda ijumaa aga kabisa nyumbani wenda ukarudi jumatatu maana simu zinaachwa reception 🤕 Itatupunguzia haya Kitaifa tutatulia...
  13. E

    Watu wazuri hawafi haraka - ni blackmail kwa utawala

    Kila nikitafakari kauli ya "watu wazuri hawafi haraka" inanichanganya maana ninaiona kama blackmail kwa utawala
  14. Dr Akili

    Tatizo la umeme ndilo litakuwa janga kuu la kura za CCM 2025. Mabadiliko ya haraka ya sekta hii ni muhimu

    CCM imekamilisha kupanga timu ya kusaka kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Mabadiliko ya watendaji serikalini yanatarajiwa kufanyika hivi punde kwa lengo hilo hilo la kuvutia kura za wananchi. Katika harakati zao hizo ni vyema wakazingatia ushauri ufuatao: - Janga namba moja kuu...
  15. Sildenafil Citrate

    Mbinu za kuondoa tatizo la kutokupata usingizi wa kutosha

    Mwaka 2017, mtafiti wa mambo ya usingizi Dr. Tomath Roth aligundua kuwa tatizo la kukosa usingizi wa kutosha (Insomnia) linaweza kuathiri kiasi cha theluthi moja ya watu wote duniani katika muda fulani. Ni kweli kuwa baadhi ya watu huwa hawapati kabisa usingizi? Kutokana na kuugua tatizo la...
  16. Eleminator

    UZI MAALUM: Kwa wale wasafiri wa usiku [Mikoani] hivi ndivyo vituo unaweza kupata usafiri kwa haraka

    Habari ya muda huu wakuu wa JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna muda unaweza kupata safari ya ghafla ya usiku kuelekea mkoani, hivyo katika uzi huu tutajaribu kupeana maeneo ambayo utaweza kupata usafiri bila tatizo DAR- ES SALAAM[Mbezi-louis] kwa dar ukitoka tu pale stand ya...
  17. dvj nasmiletz

    Computer4Sale Laptop inauzwa laki 2 na nusu tu..nina uhitaji wa pesa haraka

    Toshiba Hdd- 128ssd Ram 4 Touch screen Nina shida na uhitaji wa pesa haraka sana.wakuu nimebanwa na shidaaa nahitaji 250000 tu. Ipo dar piga simu 0627474141
  18. chiembe

    Bashiru avuliwe ubunge, apewe ukatibu tawala wa wilaya. Ni wakati sasa watu wajue hii ni Awamu ya Sita

    Ni wazi kwamba watu wenye uroho wa madaraja, wanayataka hata kama eakimeaga damu, ambao walikuwa hawamtaki SSH, na Wana kundi lao dogo sana linaloongozwa na NDULI Bashiru (chasaka wa kisiasa, alikuwa CUF, mpaka leo ana kadi huko)na Mpina. Linazama majini kujificha pumzi ikikata linaibuka juu...
  19. Shujaa Nduna

    Tabia hii mbaya huyu mtumishi awajibishwe haraka

    Habari. Bila kupoteza muda ndg wanajamvi kwa masikitiko makubwa naandika kwanini serikali inalea baadhi ya watumishi wa afya wa kiume waliyopo kwenye kitengo cha upimaji wajawazito. Kule wilayani Ludewa mkoa wa Njombe kuna kijana namfahamu kwa jina moja Imma au jina la utani Mapulupulu...
  20. H

    Msaada wa haraka juu ya upotevu wa PC

    Wakuu za jioni, nilikua nasafiri kutoka kigoma kuja Dodoma na bus la AN Classic. Nilikua na kibeg cha mgongoni Ndani kuna PC aina ya HP kulikua kwenye carrier. Kushuka stand naangalia kwenye beg, PC siioni ila zip imefunguliwa, nimetafta kwenye bus lote sjaona kitu, Msaada wakuu kwenye hali...
Back
Top Bottom