Maandamano ya Kupinga vitendo vya Utekaji yaliyoitishwa na Wanaharakati wa Haki za Binadamu na Ndugu na Jamaa wa watu walioripotiwa kutoweka katika mazingira yenye utata, yameanza leo nchini humo licha ya Jeshi la Polisi kuyaita ni haramu.
Hatua hiyo inafuatia kupita Saa 48 za wito wa kuachiwa...
Barabara ya ‘Mnara wa Vodacom’ inayochepuka kutoka barabara mpya iendayo Butiama-Nyamuswa-Ukerewe imekuwa kero kwa wakazi wa Ligamba mtaa wa Ligamba ‘A’—Wilaya ya Bunda, Mara.
Barabara hii, licha ya kuelekea kwenye minara ya Vodacom na ofisi za TBC pamoja na minara ya TBC, haijawahi kufanyiwa...
Nimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia.
Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA.
Kwetu sisi tunaomfahami hasa maisha yake nje ya media, tunajua kuwa ni Muongo na mjanjamjanja sana...
Trump says Putin wants meeting to discuss Ukraine war
“President Putin said that he wants to meet with me as soon as possible,” says Trump during an address in Arizona
Servet Gunerigok |22.12.2024 - Update : 23.12.2024
WASHINGTON
US President-elect Donald Trump said on Sunday that Russian...
Rais Putin anasema anataka kukutana nami haraka iwezekanavyo," Trump alisema katika kongamano huko Arizona.
"Kwa hivyo itabidi tusubiri, lakini lazima tukomeshe vita hivi. Vita hivi vinatisha, vinatisha."
Trump, ambaye atarejea Ikulu ya White House mwezi Januari, awali alisema wakati wa...
Hellow!
Naona CHADEMA imeamua kutumia njia hii ya propaganda Ili kusababisha iteke tena mijadala yote kisiasa na vinywa vya watz baada ya kuepuka kifo Awamu ya Magu.
CHADEMA imefanikiwa Kwa wiki hizi chache kurudisha umaarufu wao haraka kuelekea uchaguzi.
Na propaganda hii inaenda...
Naomba mnisaidie, kwa miezi kadhaa kabisa nikinunua kifurushi cha mwezi cha internet kinaisha hata wiki hainaisha wakati Natuma jioni tu Tena kwa Kiasi kidogo kwani mchana huwa ni atumia WiFi ya ofisini.
Vipi nyie wenzangu?
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Z. Homera amekagua Ujenzi wa Shule Tarajali ya Sekondari iliyoko Kata ya Kawetele Halimashauri ya Wilaya ya Rungwe na kuwataka Wananchi kuwa Wasimamizi na Walinzi wa Vifaa vya Ujenzi na Kwa wale wasio waaminifu kuacha mara Moja tabia ya Wizi kwa kuwa kufanya Kwao...
Wadau hamjamboni nyote
Rais Asad amevunja ukimya na kusema hajakimbia Syria na kuwatelekeza watu wake ila warusi ndiyo waliomuhamishia nchini kwao baada ya kambi yao ya kijeshi kushambuliwa vibaya na waasi
Isingalikuwa warusi kumuondoa nchini Syria kwa nguvu basi angeliendelea kupambana hadi...
Nimepata dhalura Kesho ahsubui natakiwa kwenda kisiju na alienipia maelekezo hapajui
Ila nikifika bodaboda Toyote anapajua.
Sasa nani anajua nauli ya kutoka pale mkuranga mpaka kisiju anisaidie
Ni issue muhimu sana
Nimefanikiwa
Wanaosema kuolewa ni bahati huwa wanajifariji tu!
Ukweli ni kwamba kuwa mke wa mtu ni vigezo na sifa maalum ambavyo siyo kila mwanamke anavyo!
Kutokuwa malaya haina maana unasifa moja kwa moja kuwa mke wa mtu bali hii ni tabia njema ingawa siyo tiketi ya kuolewa!
Mwanamke mwenye sifa ya...
Gharama za maisha katika Jiji la Dodoma zimekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa jiji hili, hasa baada ya kutangazwa kwa uhamisho wa serikali kuu kwenda hapa. Hali hii imepelekea mabadiliko makubwa katika uchumi wa jiji, ambapo wenyeji wa zamani wa Dodoma walijikuta wakifurahia faida za muda...
Nadhani rais Samia huko aliko anajuta kunrudisha makonda mjini.
Enzi za hayati Magufuli kuna mama mmoja bosi wa kituo cha uwejezaji nchini,alitumbuliwa kwa kosa la kutotumia mshahara wake
Mama huyo alikuwa akifanya kazi inayomlipa sana nje ya nchi,Kikwete akamuomba aje kujenganchi japo...
Ndama huyu wa ng'ombe amezaliwa kwenye shamba (ranch) ya rafiki yangu mwenye Asili ya Ujerumani.
Nimejiuliza maswali mengi sana nimekosa majibu makini.
Je akizaliwa kwako utamtunza?
Au utamuua fasta isije ukaonekana ulikula mzigo?
Je hali hii husababishwa Na nini?
Kama Mtanzania na niseyependa mtu apogee au apoteze wengine naomba hili lifanyike.
Makonda amesikika kama kawaida yake kuropoka maneno yenye utata kuwa Rais Samia anaongoza hapa nchini kwa kurogwa sana na pia karudia tabia ile ya kulialia hovyo hadharani kwa kivuli cha kufanya maombi na...
Huko Georgia kwa wiki moja sasa raia wanaandamana na kupambana na polisi baada ya chama tawala kusitisha kwa muda mpango wa nchi yao kujiunga na umoja wa Ulaya(EU). Kura mbalimbali za maoni za Georgia zimekuwa zikionyesha 80% ya raia wa Georgia wanataka kujiunga na umoja wa Ulaya na kuwa...
Shirika la ndege Tanzania- ATC Anzisheni haraka safari za kutoka Dar/Kilimanjaro kwenda JFk New York USA, sababu Kuna abiria wengi sana Toka USA kuja Tanzania. Changamkeni
Katika zama hizi, kuna mijadala mingi kuhusu muda unaohitajika kabla ya watu wawili kuamua kufunga ndoa. Wengine wanaamini kwamba muda wa uchumba wa miaka kadhaa ni muhimu ili kufahamu tabia halisi za mwenza wako na kuona kama mnaweza kuishi pamoja kwa maisha ya ndoa. Lakini pia, kuna wale...
Wallah hili lilikuwa ni moja ya jaribu zito maishani mwangu. Baada ya kukata ile simu nlikuwa kama nimemwagiwa maji ya baridi. Nlinywea.... Nakumbuka mshenga na mjomba wangu walikuwa wa kwanza kuniuliza "Yusuf umepatwa na nini ?"
Nlianza kuwaza ina maana sasa yule binti nitamwoa au inakuaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.