haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. peno hasegawa

    Watanganyika fanyeni utafiti watu wanaosema Mitano Tena! Wapuuzeni haraka 2030 mtalia na kusaga meno

    Wanapiga kelele na kusema mitano Tena Hawa hapa. Wapuuzeni na mwaepuke kama ukoma.
  2. GENTAMYCINE

    Nahisi ni baya mno na ndiyo maana Kakataa au Kakataa kwakuwa liko Vijijini kwa Washamba, ila lingekuwa liko Mjini angekubali haraka sana

    Rais Samia Suluhu Hassan amekataa daraja kuitwa jina lake, akisema ni vema liitwe Mama Maria, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, ikiwa ni sehemu ya zawadi ya kazi ya kupigania uhuru wa Tanzania. Awali, mbunge wa Kalambo, Josephat Kandege (CCM) alimuomba Rais Samia akubali daraja...
  3. britanicca

    Hatua za haraka zisipochukuliwa hapo Slovenia kunaweza kutokea jambo kubwa

    Wale wajuzi wa mambo ya intelligence Waanaweza angalia kwa jicho jingine Fuatilua ziara za wakuu wa mihimili na ulinzi wanaopaswa nimejiridhisha pasina Shka kuna uzembe mkubwa kuliko hata wa waliotangulia. Kuna jambo linapangwa Hapo Slovenia mnaweza anza mambo ya Nani ashike kwa muda Britanicca
  4. GENTAMYCINE

    Haraka sana nahitaji Mwanamke wa kwenda nae Kufunga Ndoa ya 'Kibwerere' Mkoani Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema Serikali itagharamia shughuli zote za harusi, ikiwemo kulipia ukumbi mkoani hapo lengo likiwa ni kuvutia zaidi wageni na watalii kufika Arusha na kuwa chachu ya kukuza uchumi. Makonda amesema masharti ya ndoa hizo ni pamoja na kati ya wawili hao...
  5. AARONI ULAYA

    Msaada: Utaalam wa kuandika 'Dissertation'

    Naomba msaada kwa mtu anayehusika na Utaalam wa Uandishi wa Dissertation.
  6. kocha Nabi

    Hii ratiba mpya ya SGR mbona kama treni ya haraka ndo inaenda polepole kuliko ya kawaida

    dkk 8 tu zimeachana uharaka wake upoje ama mimi ndo sijaelewa.
  7. GENTAMYCINE

    Tunachelewa nini kumalizana na huyu Elie Mpanzu ili asaini haraka Simba SC? Naomba ndani ya Siku Tatu zijazo muwe mmeshamalizana nae tafadhali

    GENTAMYCINE niliposema wenye Simba SC yetu sasa tumerudi Kundini na Kazini nilikuwa ninamaanisha. Kudadadeki.
  8. NALIA NGWENA

    Vyombo vya ulinzi na usalama barabarani , lichunguzeni haraka sana suala hili na kama ni kweli basi mfanye ufumbuzi ili kunusuru Maisha ya Watanzania

    Naandika kama mzalendo na mwenye upendo wa dhati na taifa langu Tanzania. kuna mazunumzo niliyasikia yanayohusu Teknolojia kutoka kwa watu nisiowafahamu maana nilikutana nao stendi ya basi wote tukiwa kama wasafiri tu wao walikua wawili walikua wakipiga story za hapa na pale kutokana na...
  9. Tajiri wa kusini

    Bado siku 26 tupate Mshahara wa mwezi july,maana mashahara WA June umeenda haraka sio Poa na kitaa Hali si hali

    Wakuu Mbona Mshahara wa mwezi June umeenda haraka hivi? Mpaka Sasa balance inasoma zero Wakuu na kitaa kigumu Sana na majukumu yamenizidia sijui nifanyeje sijui hapa kama Kuna mdau Wowote anaweza kunikopesha halafu zile tarehe zetu zikifika tutamalizana tu Wakuu Nakuambia mshahara ulipoingia...
  10. GENTAMYCINE

    Kumekucha: Wanawake wanaofanya Ngono mara Tano ( 5 ) kwa Wiki hawazeeki haraka kuliko wale wanaoibania 'Mbunye' na kuitoa kwa Uchoyo na Masharti

    Nendeni huko TimesFmTz ( katika Mtandao wao ) ili mkajiridhishe Wenyewe. Ukipinga basi uje na Tafiti yako nawe Ok? ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA...
  11. G

    Msaada haraka Chanjo ya manjano(yellow fever) nataka kusafiri nje ya nchi

    Habari wana jamii, samahani ndugu yenu nimepata safari nnje ya nchi sasa sijui chanjo ya manjano inachukua mda gani kudungwa dosi na kupata cheti chake maana safari ipo karibu sana. Naombeni msaada kwa wazoefu tafadhali
  12. A

    DOKEZO Serikali ichukue hatua haraka, miili inaokotwa mara kwa mara Pori la Vijibweni-Kigamboni, pia kuna matukio ya ubakaji

    Sisi Wananchi wa Kata ya vijibweni, Mtaa ya Kibene na nyingine zilizopo jirani na maeneo hayo (Dar es Salaam), kumekuwepo na matukio ya kuogofya na yanayotokea mfululizo ikiwemo kuokotwa kwa miili ya watu. Siku za hivi karibuni miili zaidi ya mitatu imekutwa kwenye eneo hilo kwa nyakati tofauti...
  13. M

    Ni nini hasa kinafanya mtu anabadilika mwili na sura haraka..?

    Wanabodi imekuwa ni jambo la kawaida kupotezana na mtu kwa kipindi cha miaka 5 hadi 10, lakini mnapo kutana baadhi wanakuwa wamebadikia sana muonekano wa sura na mwili kwa ujumla. Wengine wanakuwa na mvi nyingi, kipara, sura imeanza kuchoka mwili mkubwa ila mwingine anakuwa hana hivyo au vipo...
  14. GENTAMYCINE

    Haraka Simba SC itafute Msemaji mwenye kujua hasa nini maana ya Usemaji kuliko huyu 'Msemaji Comedian' ambaye haendani na Kasi ya Klabu na Mahitaji

    Simba SC ni Timu ya Wasomi kuliko ile nyingine ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala hivyo tunataka Mtu wa Kasi hiyo Oky?
  15. L

    Waliomuua yule mtoto albino wahasiwe haraka sana, hawana sifa ya kuitwa binadamu

    Huyu mtoto hadi mmekatisha uhai wake amewakosea nini jamani, hili jambo kila ninapofanya shughuli zangu linanijia, nimevaa uhusika kuwa yule ni binti yangu amefanyiwa unyama ule, niko katika hali gani. Kweli nyie mliofanya unyama na ukatili kiasi hicho mnastahili kuwepo duniani kweli? Huyu...
  16. ngara23

    CHADEMA mchukueni Luhaga Mpina haraka

    Luhaga Mpina ni mtu nondo kweli. Ni mbunge mjenga hoja na mwana mapinduzi kweli kweli Hata alivokuwa waziri wa uvuvi na mifugo alikuwa Nondo na alifanya vyema kuzidi huyu wa Sasa. Alikomesha uvuvi haramu, alikomesha uharamia ziwa Victoria ambapo wavuvi walikuwa sana na kuibiwa engine za boat ⛵...
  17. L

    Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Gari aina ya IST new model cc:1500,year of manufacture 2015, ipo vizuri sana Karibu wateja Wetu wa MR classic tuwasiliane kwa nambari 0695022051
  18. Simeone

    Nawezaje ku connect internet ya PC kwa kutumia hicho kifaa (router)

    Nawezaje ku connect internet ya PC kwa kutumia hicho kifaa (router)
  19. 90sgeneration

    Una kitu/kifaa chochote haukihitaji tena au umechoka kukitumia? Karibu nikusaidie kukiuza haraka🙏

    Wakuu i hope mko poa wote. Me nafanya business ya kuuza used (but still good) products. Nina platforms zangu na social pages zenye wafuatiliaji wengi wanaohitaji vitu vizuri yes, but dukani ni gharama sana , na wewe labda unacho na haukihitaji tena, na bado kiko vizuri, basi utasema price...
  20. X

    Chama cha Rais Macron na Chancellor Scholz vyapata matokeo mabaya uchaguzi wa Bunge la Ulaya

    Chama cha Marine LePen kimepata kupata karibu 30%, wakati upande wa chama cha Macron kimepata kura kwa karibu 15%. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuvunja bunge la kitaifa na kutoa wito wa uchaguzi wa haraka Juni 30 na Julai 7. Chama cha AfD cha Ujerumani kilipanda hadi nafasi ya...
Back
Top Bottom