harakati za siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nini kimesababisha mchango wa Waislamu katika harakati za siasa za mapambano Tanzania kuwa ukipungua ?

    Kuanzia uhuru mpaka leo hii mchango wa Waislamu katika harakati za mapambano umeenda ukipungua sana. Wakati wa uhuru Waislamu walikuwa active sana mstari wa mbele katika harakati za uhuru pamoja na Nyerere. Watu wengine kama Mohamed Said wanafikia mbali hata kusema Waislamu ndio walikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Idadi ya wanawake wanaharakati kuongezeka nchini ni dalili ya ukombozi wa kweli kijamii na kisiasa

    Mpo salama! 0. Wakati baadhi ya vijana kama kina Lucas wakijiingiza kwenye uchawa kwa sababu ya Woga na tabia za kujidhalilisha. Wanawake wengi sasa wanajiingiza kwenye mapigano ya haki(harakati) Ama kweli lile andiko linasolema Mungu ameumba jambo jipya. Mwanamke atamlinda mwanaume linaenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…