haramu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gavana wa Benki Kuu: Shughuli zote za Upatu ni haramu, tunawaonya wanaowaibia Wananchi

    Serikali imetoa onyo kuhusu shughuli za upatu, ambapo Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Emmanuel Tutuba, amesema kwamba mtu yeyote anayeshiriki katika upatu kwa kukusanya fedha ili kuzigawa kwa wachache, huku akidai kuwa lengo ni kuvutia watu kuleta fedha zao bila kuwa na biashara halali ya...
  2. Inakuwaje imani fulani zika shikilia sana kuhusu pombe ni haramu sio vilevi vingine pamoja na ngono

    Waathirika wa madawa ya kulevya wengi ukiangalia sehemu kubwa ni mikoa yenye idadi kubwa waislamu. Mfano tanga,dar es salaam na nchi ya zanzibar. Kesi nyingi za ubakaji,ulawiti,ngono zembe,idadi kubwa ni upande huu.Ndio maana ikifika karibia na mfungo watu ufunga ndoa kwa madhumuni ya kujipatia...
  3. Wanaandamana kupinga kuondolewa kwa wahamiaji haramu Marekani huku wakipeperusha bendera za Mexico, Honduras, na nchi zinginezo

    Huu ni ujinga. Ni upumbavu wa hali ya juu. Hawa ni waandamanaji wanaopinga sera za Rais wa sasa wa Marekani za kukabiliana na suala na uhamiaji haramu. Wengi wa hawa waandamanaji ni Walatino. Hapa ni katika moja ya viunga vya mji wa Atlanta, GA. Wanaadamana kupigania istihaki [privilege] ya...
  4. Trump asaini executive order ya "Wahamiaji haramu kupelekwa Gereza la Guantanamo"

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ameagiza ujenzi wa kituo cha kuwashikilia wahamiaji katika Kituo cha Guantanamo Bay, ambacho alisema kitakuwa na uwezo wa kuhifadhi hadi watu 30,000. Alisema kituo hicho kilicho katika kambi ya Jeshi la Wanamaji la Marekani nchini Cuba, ambacho kitakuwa tofauti...
  5. U

    Maofisa uhamiaji Marekani sasa wapewa mamlaka kukamata wahamiaji haramu na wahalifu watakaojificha au kukimbilia makanisani, mashuleni na hospitalini

    Wadau hamjamboni nyote? Wahamiaji haramu hawana kinga tena wakijificha maeneo hayo kama ilivyokuwa zamani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Guardian staff and agencies Wed 22 Jan 2025 00.51 GMT Share US immigration authorities will be able to arrest migrants at schools, churches and...
  6. Donald Trump: Kuanzia sasa Serikali ya Marekani itatambua jinsia mbili pekee, Mwanaume na Mwanamke

    Rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump **** NIMEOKOLEWA NA MUNGU KUIFANYA TENA MAREKANI KUWA TAIFA KUBWA "Uhuru wetu na hatima tukufu ya taifa letu haitakataliwa tena, na tutarejesha mara moja uadilifu, umahiri na uaminifu wa serikali ya Marekani. Kwa muda wa miaka minane iliyopita, nimejaribiwa...
  7. Vietnam: Mmiliki wa Tovuti ya kusambaza Filamu haramu akamatwa

    Anayedaiwa kumiliki na kuendesha tovuti haramu ya kusambaza filamu maarufu ‘FMovies’ mapema mwezi uliopita alitambulishwa baada ya kukamatwa na Polisi wa Mji wa Hanoi nchini Vietnam kufuatia uchunguzi wa muda mrefu. Phan Thanh Cong, 34, raia wa Vietnam aliyekamatwa na mshirika wake, Nguyen Tuan...
  8. Wachina 17 Washutumiwa Kuendesha Mgodi Haramu wa Dhahabu Congo

    Wanaume 17, raia wa China wamekamatwa kwa tuhuma za kuendesha mgodi haramu wa dhahabu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, mamlaka ilisema hapo Ijumaa, wakati serikali ikiendelea na msako mkali wa uchimbaji wa madini yake bila leseni. Wanaume hao waliletwa katika mkutano na waandishi wa...
  9. Wapinzani wa nchini Namibia walalamika juu ya wizi wa kura kwenye uchaguzi wa Namibia. Wasema ushindi wa SWAPO ni haramu

    Dkt. Panduleni Itula, mgombea urais wa chama cha Independent Patriots for Change (IPC), ametangaza kuwa chama chake hakitakubali matokeo ya uchaguzi mkuu unaoendelea, akidai kuwa kuna kasoro kubwa katika mchakato huo. Akihutubia mkutano na waandishi wa habari mchana huu, Dkt. Itula alieleza...
  10. Jeshi la Polisi latoa Elimu ya usafirishaji haramu wa binadamu kwa Watumiaji vyombo vya majini

    Ikiwa ni mwendelezo wa utoaji elimu kwa makundi mabalimbali katika jamii kikosi cha wanamaji dawati la jinsia na watoto limewafikia watumiaji wa vyombo vya majini na kuwapa elimu ya ukatili ikiwa ni pamoja elimu ya usafirishaji haramu wa binadamu. Akiongea wakati wa utoaji elimu hiyo...
  11. Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

    wapendwa mwenye kujua haki za watoto wa nje ya ndoa tupeane madodosoo hapa kwa dini zotee maana watoto wa nje ya ndoa wanaongezeka kila iitwapo leo vyema nao wakajua wazazi wakifa nn maslahi yao kufwatana na dini za wazazi wao kazi kwenu wapendwa... Operation okoa mtoto wa nje ya ndoa
  12. VIDEO: Mtanzania akimkimbia traffic police Zimbabwe katika harakati za kuingia South Africa

    Watanzania tunatia huruma Sana ukiiona video hii ni aibu we mtu anakimbilia porini hata hajali huko porini atakutana na nini. JIANDAE KUKUTANA NA HAYA KAMA UTAHAMIA NCHI ZA WATU BILA PASIPOTI UTAISHI KAMA DIGI DIGI Papers ni za muhimu Sana kwenye nchi za watu tusihamie kienyeji sana Ona huyu
  13. Biashara haramu ndio biashara kubwa duniani

    Madawa ya kulevya yaweza kuwa yanaongoza Kisha inakuja ya kuuza silaha haramu Kusafirisha binafamu Bidhaa feki nazo ni top selling products.. Pombe zikiwa kinara Kwa Afrika wafanyabiashara mafia wanashirikiana na wanasiasa walioko madarakani Hawa wafanyabiashara wanatoa mitaji na nyenzo...
  14. Hivi kweli pombe ni haramu kama usemavyo uislam mbona kuna ahadi ya mito ya pombe peponi?

    Huwa inanichanganya. Inakuwaje pombe iwe haramu katika uislam na hapohapo watakaoingia peponi waahidiwe pombe. hebu msikilize shehe kipozeo akiwaahakikishia waislam peponi kuna pombe.https://www.youtube.com/watch?v=LW7e3PudD7k&t=14s
  15. Elon Musk ahofia kutimuliwa Marekani kama muhamiaji haramu

    Elon Musk aliingia Marekani kwa visa ya wanafunzi kwa ajali ya Masomo ya chuo kikuu, alipoingia tu chuo akaachana na masomo akaanza kufanya biashara zake mtaani bila kibali cha ukazi au cha kufanya kazi Marekani. Kwa sababu serikali ya Marekani ilikuwa haifuatilii sana wahamiaji haramu miaka ya...
  16. Naomba majibu rasmi ya maandishi kutoka BOT juu ya wao kupokea pesa haramu zilizopitwa na wakati, BOT inafanya biashara na maharamia?

    Benki kuu ya Tanzania (BOT) wanawajibu wa kutoa ufafanuzi juu ya kwanini wanapokea pesa haramu kutoka kwa maharamia? Nafafanua ni kwanini nasema hivi… Pesa ya zamani ikitaka kufutwa na kuletwa pesa mpya kwenye mzunguko, BOT hutoa tangazo rasmi juu ya muda wa kuanza kupokea pesa za zamani pamoja...
  17. Suala la utekaji kwa watoto wadogo ndani ya Tanzania ni dalili ya uwepo wa biashara haramu ya binadamu kwenye taifa letu

    Masuala ya utekaji yametokea kwa watu tofauti tofauti, ikiwemo wanasiasa wa upinzani na watoto zetu wadogo, bila shaka kwa uwepo wa hali hii kwenye taifa ni dalili tosha kwamba ndani ya taifa kwa sasa kuna biashara haramu ya binadamu kwa watoto. Kwanini mambo kama haya hayaja kuwepo katika...
  18. Pre GE2025 John Mnyika aeleza mikakati ya CHADEMA kukabiliana na Orodha Haramu ya Wapiga Kura Wasiokuwa Halali

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa chama hicho kimejipanga vema kukabiliana na kile alichokieleza kama dhamira ovu ya kuhamisha orodha haramu ya wapiga kura wasiokuwa halisi. Mnyika amedai kuwa mbinu hii inatekelezwa kupitia mtandao wa...
  19. Yani Syria imegeuka kuwa dampo la biashara na shughuri haramu za mataifa maana ni ngumu kuwa detected hapo.

    Iran ndipo anapompatia silaha hezbollah Iran na Russia ndipo waapopeana silaha na usaidizi mwingine USA ndipo anapopatumia ku-attack adui zake wa middle east ISIS ndipo wanapouzia artifacts za kiajemi walizoiba iraq na syria. Turkey ndipo anapo patumia kupaamabana na resistance ya wakurdi.
  20. Nini kiliwapata Zimbabwe mwaka 2008?

    In 2008, mfumuko wa bei ulifikia viwango vya juu sana, na kusababisha dola ya Zimbabwe kupoteza thamani yake na serikali kuiacha mnamo 2009. Tangu wakati huo, dola ya Marekani na sarafu nyingine za kigeni zimekuwa zikitumika sana katika uchumi. Juhudi walizofanya wakiamini wataweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…