haramu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frumence M Kyauke

    Njia za kujiepusha na mapenzi haramu

    Mapenzi haramu ni jambo baya kiafya na hata kiimani. Tukifanya mapenzi kulingana na utaratibu uliowekwa wa kibinadamu basi kuna faida nyingi ikiwemo. Kupata watoto na kujenga familia jambo ambalo ni baraka. Zipo baadhi ya njia za kujiepusha na mapenzi haramu/mapenzi yanayofanyika pasipo...
  2. lee Vladimir cleef

    Moja ya Kazi za Bunge ni kuikosoa Serikali,Je wananchi kulikosoa Bunge ni haramu?

    Wabunge wawapo Bungeni huikisoa serikali vikali kwelikweli,huwabana mawaziri wa serikali kwa nguvu za hoja na hata kwa kejeli,huikosoa serikali Sana na mara nyingine hutoa maneno makali Sana.yes hiyo ndio Kazi ya wabunge na Bunge dhidi ya serikali. Je, ni makosa kwa wananchi kulikosoa Bunge...
  3. C

    SoC01 Uvuvi haramu, athari zake na wajibu wa wananchi katika kuzuia uvuvi haramu ziwa Victoria

    Nimeamua kuandika kuhusu swala la uvuvi haramu hapa nchini hasa nikiangazia ziwa Victoria Kwa sababu nina uzoefu mzuri kwenye shughuli za uvuvi. Nitaanza kwa kueleza maana uvuvi haramu na hali ya uvuvi haramu hapa nchini (hasa ziwa Victoria), athari zake na wajibu wa wananchi katika kuzuia uvuvi...
  4. M

    SoC01 Namna Bora ya kukabiliana na Uvuvi Haramu

    Utangulizi Kwa muda mrefu kumekuwapo na changamoto ya wananchi wengi waishio katika maeneo yanayozunguka bahari, maziwa na mito kufanya shughuli za uvuvi bila kufuata sheria na taratibu zinazowekwa na serikali na hivyo kufanya serikali kukosa mapato huku samaki na viumbe wengine waishio majini...
  5. Roving Journalist

    Leo tunaadhimisha Siku ya Kupinga Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu Duniani

    LEO Julai 30, 2021 Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na wadau wote ulimwenguni kuadhimisha Siku ya Kupinga Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu Duniani. Siku hii ilipitishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Novemba 15, 2000 kupitia Azimio Na. 55/25, na ilianza...
  6. Subira the princess

    Kama mikosanyiko ni haramu, mbona viongozi wa CCM hawakamatwi?

    Wasalaam. Nawakumbusha jeshi la policcm kuwa kama mikutano ya vyama vya siasa ni haramu ni vema sasa na ccm wasikusanyike. Inashangaza jeshi la police kufanya kazi bila weledi kwa kukamata ovyo watanzania wenzenu na kuwabambika kesi, haya ni mambo ya kijinga ipo cku mtaleta machafuko nchi hii.
  7. mirindimo

    Kwa hili la Obama Afrika inaweza kuwa sawa na kosa linalojumuisha Madawa ya Kulevya, Uhujumi Uchumi, Uhamiaji Haramu

    Obama alikuwa anatoa hotuba kuhusu Uhamiaji huko California 2013,vijana 2 wakaingilia hotuba yake na kuanza kupiga kelele kwa kukosoa.Watu wa usalama wakata kwenda kuwatoa lakini Obama akawazuia.Akawajibu kwa busara vijana hao na akawaalika kujadili naye zaidi.That’s Presidential
  8. Q

    Kuna Wabunge 37 ‘haramu’ bungeni ambao hawatambuliwi na Katiba

    Wabunge 19 wasio na chama na Wabunge 18 waliopita bila kupingwa. Ibara ya 66; Kutakuwa na aina zifuatazo za wabunge, 1. Wabunge wa kuchaguliwa majimboni. 2. Wabunge wanawake wa viti maalumu. 3. Wabunge wa kuteuliwa na rais. Hao wasio na vyama na waliopita bila kupingwa wameandikwa kwenye...
  9. Yoda

    Sigara Vs Bangi: Kwanini bangi haramu na sigara si haramu?

    Kwa nini serikali zote duniani zinaendesha vita dhidi ya matumizi ya bangi mpaka leo lakini zikiiacha sigara kuwa biashara halali wakati tafiti za kutosha zinaonyesha sigara ni chanzo cha matatizo mengi sana makubwa ya kiafya kwa binadamu tofauti na bangi? Tafiti zimeonyesha sigara ni...
  10. B

    Biashara haramu zenye kufadhiliwa na Mamlaka za Serikali

    Mabibi na mabwana sasa hii nikiwa mjini kurejea maskani tokea hija - kanda pendwa. Safarini vituko ni vingi tokea kwenye operation kukusanya 30,000/= @ gari hadi biashara haramu chini ya mamlaka za serikali alimradi kazi inaendelea. Operation kusanya pesa nilileta uzi kamili...
  11. Analogia Malenga

    Serikali yakamata Wahamiaji haramu zaidi ya 1000 katika kipindi cha miezi 3

    Serikali imesema katika kipindi cha miezi mitatu imefanikiwa kukamata wahamiaji haramu zaidi ya elfu moja katika maeneo mbalimbali nchini. Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh.George Simbachawene amesema hayo bungeni mkoani Dodoma. Amesema kwa sasa kuna operesheni maalum ambayo imeanza tarehe...
  12. Nigrastratatract nerve

    Samaki wapungua kwa sababu ya kushamiri uvuvi haramu, wawekezaji walalamika

    Wawekezaji wa viwanda vya kuchakata minofu ya samaki mkoani Mwanza wamelalamikia uhaba wa malighafi unaochangia kupungua kwa uzalishaji unaodaiwa kusababishwa na shughuli za uvuvi haramu. wazalishaji hao wamesema uzalishaji umepungua kwa kasi kutoka tani 200 kwa siku mpaka tani 14 kwa sasa na...
  13. I

    Wote wanaotumia na wanaopokea ruzuku ya haramu ni haramu

    Kama hawa wabunge wanaoitwa COVID -19 ni haramu ni kwa nini Chama kinapokea (kama kinapokea) ruzuku inayotokana na watu haramu wanaovunja ibara ya 78(e) ya Katiba ya JMT inayotabanaisha kuwa ili mtu awe mbunge ni lazima atokane na chama cha siasa? Bila shaka hii ni danadana tu ilihali akina...
  14. R

    Pombe haramu ya gongo inaweza kufanyiwa processing kitaalamu ikawa pombe halali?

    Habari wakuu, Hili swali nimekuwa najiuliza kitambo. Pombe ya gongo ni haramu na inawaangamiza raia wengi kiafya. Pamoja na kupigwa marufuku lakini bado inatengenezwa na kuuzwa kwa kificho. Hakuna mchakato wa kitaalamu wa kuipitisha pombe hii kwenye mitambo ya kisasa ya distillation na kupata...
Back
Top Bottom