Waislamu wengi kesho watafungua ila kuswali mpaka Jumamosi. Kesho ni Eid ya kwanza halali kabisa.
Kenya, Rwanda na Uganda, eid kesho halafu eti Tanzania ni Jumamosi.
Sijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni,
Quran 47:15 - Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya pombe yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa...
WanaJf, salaam tena!
Nimekuja kuuliza tena baada ya shangao kubwa linalotokana na ndimu mbili za chama kikongwe cha upinzani - CDM. Kimsingi sitegemei kuona CDM kikitoa misimamo inayoyumba na kuyumbisha taifa letu. REJEA
(a) Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 CHADEMA ilituma kwa Spika majina...
Tukiseme dini tumletewa ila kuna watu watakimbilia sijui kimeshushwa sijui kimeleta sayansi wataki hiko kitabu kimekuta sayansi teyari na mapiramidi yashajengwa.
Jambo lilonileta hapa kila mnyama aliyepo duniani anaishi kulingana na eneo la kijografia alipotoka tokea dunia kuanza ndio maana...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Taasisi ya Global Financial Integrity (GFI) na Washirika wake imeonesha bado Tanzania ina tatizo sugu la Utakatishaji Fedha unaotokana na Biashara Haramu kiasi cha kupoteza zaidi ya Tsh. Trilioni 3.5 kila mwaka.
Kati ya vitendo vinavyochangia tatizo hilo ni pamoja na...
Nachojua Mimi madiwani wa Mbeya ndio wamiliki wakubwa wa bajaji hapo mjini ,.nawafahamu na bajaji mnazomiliki nazifahamu mnataka kuwadhibiti raia wa kawaida wasimiliki bajaji ili biashara yenu isiwe na ushindani??
Biashara ni huria huwezi kuzuia watu wasiingize bajaji barabarani kwa sababu...
Kulitolewa wito kuwataka vyama kufanya siasa za kistaarabu.
Kama vile wametumwa yamezuka magenge ya chawa yenye rabsha na uzushi wa kila aina mitandaoni, kupalilia fitna zozote ndani ya vyama vingine.
Kwamba wenye chawa hawakemei hali hizi yawezekana ndiyo sera zao.
Torati ya Mussa...
Mar 6, 2019
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amefika katika Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi kusikiliza kero za wavuvi huku akisisitiza kuwa ikiwa ataruhusu uvuvi haramu uendelee kizazi kijacho kitamlaani
Tumeambiwa Sangara wamepungua kwa asilimia 50 na samaki wazazi wamebaki asilimia 0.4 Ziwa Victoria. Sasa kama ziwa Ziwa Victoria lina Samaki wazazi asilimia 0.4 maana yake Ziwa linaenda kuwa sawa na swimming pool-Luhaga Mpina
James Sengo Nestroy alikamatwa baada ya kubainika anajihusisha na Usafirishaji Haramu wa Watoto na Watu wenye Ulemavu ambapo aliamriwa na Mahakama, alipe faini ya Tsh. Milioni 563.8 au atumikie kifungo jela.
Baadhi ya Waathirika wa Biashara hiyo wengi wakiwa ni Wenye Ulemavu (Raia wa #Tanzania)...
Habari wakuu!! Leo kuna madhehebu na dini zinadanya watu kuhusu kubagua vyakula mfano nguruwe nk kuwa ukila ni dhambi! Naomba niwatoe hofu kuwa sio dhambi wewe kuleni tu chochote kile kiwekacho mbele yako labda uwe hautumii tu lakini sio kwa maana ya kwamba ukitumia ni dhambi!! Uthibitisho kuwa...
Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu.
Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu.
Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu.
Vijana fungeni ndoa mpunguze kizazi cha wana haramu
Mamlaka za serikali zimekuwa kero kubwa kwa wananchi. Uliza across the board labda kama wewe ni mlamba asali au familia zao.
Kuna hoi hoi na nderemo kuwa zakusanywa 2Tn/- Kwa mwezi. Humo zimo tozo batili zinazoambana na tozo za Mwigulu, faini za yanayoitwa makosa mbalimbali hata ambayo ni...
Jeshi la Polisi nchini limeteketeza silaha haramu 6,208 ambazo zilikusanywa wakati wa kampeni maalum ya wananchi kusalimisha silaha hizo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuongeza nguvu kudhibiti uingizaji silaha haramu ili kusaidia...
Double standard kwenye kuripoti matukio!
Waharifu wengine wanaanikwa picha zao hata kama uchunguzi unaendelea inakuwaje hawa picha hazijawekwa wazi?
Wakiwa wanaripoti Waharifu wengine huwaonesha kwa mbwembwe wakiwa wanawapigapiga mabegani watuhumiwa kuonesha msisitizo!
Lakini wakikosea wao...
Kamanda wa Polisi Mkoa Ruvuma ACP MARCO CHILYA akionesha baadhi ya silaha zilizosalimishwa na raia wema baada ya Notisi ya msamaha wa usalimishaji wa silaha kwa hiari zinazomilikiwa kinyume cha sheria.
Mkuu wa mkoa wa Tanga, Omari Mgumba ametoa kilio cha mlundikano wa wahamiaji haramu katika magereza yaliyopo katika mkoa huo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan hii leo.
Akizungumza mbele ya Rais Samia ambaye yupo mkoani humo kwa ziara ya siku mbili, mkuu huyo wa mkoa amesema kwamba mkoa huo una...
Mamlaka katika jimbo la Gauteng zimeongeza operesheni zao dhidi ya wachimba migodi haramu katika siku za hivi karibuni kufuatia ripoti za ubakaji wa wanawake wanane na genge la watu na kuwaibia wafanyakazi wa kutengeneza video wakiwa na silaha.
Kamishna wa Polisi wa Gauteng Luteni Jenerali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.