Wakuu, kila mtu atasalimiwa kwake,
Wakuu, nataraji kuanzisha hio biashara tajwa kwa mtaji huo hapo juu (13M) hadi kodi ipo humo humo,
Kwa kuanzia nataka nianze na vitu vidogo vidogo sana sana electricals na vitu vikubwa vya sample tu,
Eneo la biashara ni kibaha, nataka niiweke hio biashara...