Hello bosses...
Em tutafakari kidogo.
Binadamu tunajiumiza sana pasipo na sababu za msingi, miili yetu haijaumbwa/haijaumbika kwa ajili ya mazingira ya sasa hasa kwenye hii karne ya 21 na ndio maana kuna milipuko ya magonjwa ya ajabu kama vile kansa.
Tunalazimisha miili yetu yenye physiology...
Habari za majukumu ni muda sasa nimekuwa nikijihusisha na maswala ya ufundi simu ila upande wa software pekee sasa nahitaji kuingia rasmi kwenye maswala ya hardware nahitaji kujua ni vifaa vipi napaswa kuwa navyo na vinapatikana wapi na kwa bei zipi kuna baadhi nimepewa majina yake ila sijajua...
Niko Arusha
Nauza Ram 4GB DDR3 (Samsung planet first,Made in philippines) kwa ajili ya Laptop iko poa kabisa katika hali nzuri na ifanya kazi poa kabisa bei ni Tsh.37000 maongezi yapo nicheki zaidi kwa biashara kwa namba 0767142928 call,SMS au WhatsApp.
Karibu tufanye biashara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.