harmonize

  1. The Watchman

    Harmonize amuomba msamaha Diamond Platnumz kwa tofauti zilizowahi kutokea kati yao, ikiwamo wakiwa visiwani Zanzibar

    NYOTA wa Bongo Fleva, Harmonize a.k.a Konde Boy amemuomba msamaha Diamond Platnumz kwa tofauti zilizowahi kutokea kati yao, ikiwamo cha siku ya karibuni wakiwa visiwani Zanzibar. Kupitia Insta Story yake, Harmonize ameandika kuwa anatumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuomba msamaha kwa yeyote...
  2. Davidmmarista

    Harmonize apata mdogo wake au mpenzi? Abby Chams anasemaje?

    Kuna tetesi nzito mitandaoni kuhusu ukaribu wa msanii Harmonize na Abby Chams. Watu wanajiuliza, je, hii ni collabo ya kimuziki au kuna kitu zaidi? Baada ya Harmonize kuonekana akimposti Abby mara kwa mara, mashabiki wameanza kuhisi kama "kapata chombo cha kwenda". Wapo wanaosema ni upendo...
  3. sinza pazuri

    Harmonize: Diamond Platnumz ni mtu muungwana, alinipa pesa ya kuwajengea kijijini kwetu msikiti

    Mwanamuziki Harmonize ameweka wazi kumalizia Msikiti ulionzishwa kujengwa na Diamond Platnumz kijijini kwao Mtwara. . Harmonize anasema kuwa alipewa pesa na DiamondPlatnumz aka Simba ili kujenga msikiti huo lakini baada ya kugombana na ujenzi wa msikiti ulisimama. Sambamba na hilo Harmonize...
  4. Waufukweni

    Harmonize kumalizia ujenzi wa Msikiti ulioanzishwa na Diamond mtwara mwaka 2018 na kuuita 'Masjid Naseeb'

    Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza kuwa atamalizia ujenzi wa msikiti ambao Diamond Platnumz aliuanzisha kijijini kwao Mtwara mwaka 2018. Kupitia Insta Story yake, Harmonize amesema kuwa msikiti huo ulianzishwa baada ya wao wawili kujadili umuhimu wa kusaidia jamii na kuwekeza mbele za...
  5. Waufukweni

    Harmonize atumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuomba msamaha kwa Diamond kwa bifu lao lililotokea, 'Am Sorry'

    Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, amemuomba msamaha Diamond Platnumz kwa tofauti zilizowahi kutokea kati yao. Kupitia Insta Story yake, Harmonize ameandika kuwa anatumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuomba msamaha kwa yeyote aliyemkosea, akisisitiza kuwa hana tena nafasi ya kutoelewana na mtu...
  6. Waufukweni

    Diamond asafirisha magari yake ya kifahari Rolls-Royce, Escalade Zanzibar kwa matumizi ya Tuzo za Trace. Harmonize adata na showbiz za Diamond

    Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amesafirisha magari yake ya kifahari aina ya Rolls-Royce na Cadillac Escalade hadi Zanzibar. Magari hayo yanatarajiwa kutumika katika msimu huu wa Tuzo za Trace, zinazofanyika leo, Februari 26. Harmonize adata na showbiz kutoka kwa Kaka yake na...
  7. Mpwayungu Village

    Nimemuona leo “Poshy Queen” wa Harmonize anakunywa safari. Kumbe wasanii hawana hela…?

    Nikiwa eneo moja la Mikocheni ghafra bin vuuu namwona Posh, alooo anapiga ngumu kumeza ahsee bia ya wazee ya bei nafuu ya Safari. Kama mm tu kipato changu cha million Tatu kwa mwezi mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu nakunywa Heineken na Windhoek lakini yule anakunywa safari what means? It...
  8. Waufukweni

    Watangazaji E FM waponda mtindo mpya wa nywele wa Harmonize, waufananisha na wa Harmo Rapa

    Watangazaji wa kipindi cha Transformer cha E FM wamekosoa mtindo mpya wa nywele wa Harmonize, wakifananisha muonekano wake na ule wa msanii Harmo Rapa.
  9. Shooter Again

    Hivi Kuna msanii Tanzania anaemzidi harmonize yaani Hadi wale wa zamani

    Hivi wakuu kunamsanii anaemzidi harmonize yaani Kila nikiangalia hata wale wazamani naona hamna kitu sizani hata kutakuja kutokea kama huyu mwamba konde boy bongofleva haimdai hata akifa leo yaani jamaa anajua mziki
  10. Juice world

    Nipo Uganda kuna ngoma ya Harmonize na Pallaso 'Only You' ni hatari

    Aisee sijajua kwanini harmonize hajaifanyia promo hii Collabo yake na huyu mganda ila kwangu naona ndio nyimbo yake Bora aliyoshirikishwa mwaka huu
  11. W

    Mario, Diamond Platnumz, na Harmonize waongoza orodha ya wasanii waliosikilizwa zaidi Tanzania 2024

    Ule msimu wa funga mwaka uliokuwa ukisubiriwa umewadia. Orodha ya Wasanii Bora Mwaka 2024: 1. Marioo 2. Diamond Platnumz 3. Harmonize 4. Alikiba 5. Zuchu Orodha ya nyimbo zilizosikilizwa zaidi nchini Tanzania mwaka 2024 1. Hakuna Matata- Marioo 2. Mapoz - Diamond Patnumz ft Mr Blue...
  12. Waufukweni

    Harmonize: Wanawake fanyeni Surgery mpendeze kama Ex wangu, sina mahusiano na Malaika

    Staa wa Bongo Fleva, Harmonize, amekanusha uvumi wa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Malaika Cute, akisema kuwa ni rafiki yake wa kawaida tu. Mbali na kukanusha hilo, Harmonize amewashauri wanawake kufikiria kufanya upasuaji wa urembo (Surgery) ili kupendeza zaidi, akidai kuwa dunia ya sasa...
  13. M

    Harmonize na Darasa Mmefeli sana kwenye Video ya Mazoea

    Nyimbo ni kali sana lakinii Video ya kijima na kishamba sana. Ukiitazama utafikiri ni Video ya Msondo ngoma ile iliyomuonyesha Kingwendu pale kariakoo amesimama barabarani. Hebu angalia Video ya wimbo wa Diamond na Jux unaoitwa Ololufe uone wenzako walivyo serious na kazi. Kama mlikosa hela...
  14. Nehemia Kilave

    Hapa harmonize kakosea nini ? ,Kwani huko Misikitini na Makanisani tunafundishwa nini ?

    Nimesoma baadhi ya coments kwenye video kuna comments zijazielewa . Kwani huko Misikitini na Makanisani tunafundishwa nini ? https://youtube.com/shorts/rshL-5gKQWA?si=sxfJ-ai-adqRFYtt https://youtu.be/CcsuxHwzHnM?si=PGHKECduCsGHNkvG
  15. Waufukweni

    Harmonize abadili dini na kuwa Mkristo? akutana na Pastor Tony Kapola nakufanyiwa maombi

    Wakuu, Rajab Abdul Kahali maarufu Harmonize amepanda Madhabahuni na kupigwa maombi na Pastor Tony Kapola === Harmonize afanyiwa maombi na Pastor Tony Kapola sikuche baada kuonyesha kuvutiwa na mtazamo wa mtumishi huyo wa Mungu na kuandika, "Nataka nione kile ambacho Mungu ataniambia!!"...
  16. Magical power

    Nandy kidogo ampasue Harmonize Kizazi

    Nandy kidogo ampasue Harmonize Kizazi😂😂
  17. Waufukweni

    Kwa hili Harmonize umekurupuka, eti amepiga marufuku wimbo wake 'Yanga Bingwa' kuchezwa popote kisa kipondo cha aibu na Tabora United

    Wakuu Huu sasa ni uamuzi wa kipuuzi kaufanya Harmonize, kusitisha wimbo eti kisa mnakereka na kipigo hiyo haipunguzi maumivu kwa mashabiki. acha goma lilie, piga hela za views Yanga wajipange upya kwani ligi bado ni mbichi hii. ===== Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize amepiga marufuku...
  18. LIKUD

    Harmonize mshitaki Tundaman kwa kukuharibia wimbo wako " Yanga hii inafungwaje"

    Tundaman kwanza nani alikudanganya wewe ni msanii wa muziki? Ni kwamba hata kutoka kwako kwenye game ulitoka kwa sababu kaka zako akina Heri Mzozo wali wa persuade akina Chidy Benz wasaidie kukutoa lakini huna kipaji chochote cha kuimba muziki wewe. Unaweza kuimba nyimbo za maombolezo...
  19. B M F ICONIC

    Harmonize kashuka kimuziki

    Moja kwa Moja kwenye mada. Msanii Harmonize kashuka kimuziki upande wa international (nje ya mipaka ya Tanzania) na kawa msanii wa ndani (bongo) pamoja na Africa mashariki kipindi bado yupo WCB alikua akitaftiwa collabo na wasanii wa nje ya nchi hasa Nigeria ili ali wini soko hilo la nje...
  20. Waufukweni

    Muonekano rasmi wa Tuzo za Muziki Tanzania 2024

    Hadithi ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) inazidi kupamba moto, na sasa tumebakiza siku tisa tu hadi wasanii wetu wapate fursa ya kutunukiwa heshima kuu kwa kazi zao za ubunifu. Tuzo hizi hazina maana tu ya kusherehekea ushindi, bali zinawakilisha moyo wa kujituma, ubora na vipaji ambavyo...
Back
Top Bottom