Mtaarishaji wa muziki wa Kenya anayeitwa Magix Enga amemshutumu mwanamuziki wa Tanzania Harmonize kwa kumuibia biti alilolitumia katika wimbo wake mpya unaoitwa "Uno".
Katika posti yake ya Instagram Magix amemuonya Harmonize kwa kumsisitiza kuuondoa wimbo huo katika mitandao yote ndani ya wiki...
Katika kile kinachoonekana misimamo tofauti juu ya sakata la WCB na Harmonize,tayari wajuaji wameshaanza kumwaga upupu wao kwa WCB.
Yetu macho na masikio.
----
Mkataba wa Harmonize, WCB ulivunjika tangu 2016
Harmonize amethibitisha kilichonong’onwa muda mrefu kwamba menejimenti ya Wasafi...
Hili liko wazi kabisa, wala halihitaji ubishi. Kijana huyu ana cheche na moto haswaa wa kuweza kukamata siti iliyoachwa wazi na Harmonize.
Najua matarajio ya wengi ni kwamba Rayvany ndio ataziba hilo gap, lakini nionavyo mimi uwezo wake ndipo ulipoishia. Kama ni kumfikia Harmonize basi alipaswa...
Kwa niliyoyasikia juu ya hawa Watatu ni mengi ila kati yao makubwa matatu yanahusu nyanja za kisiasa hasa kwa Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2020, chuki yenye kisasi dhidi ya Vyombo Viwili vikubwa vya Habari nchini Tanzania vilivyopo hapa Mkoani Dar es Salaam Wilaya ya ‘Kitajiri‘ ya Kinondoni na la...
Akihojiwa na Clouds FM kwenye XXL amesema imemlazimu kulipa million 500 ili kuvunja mkaba na Kampuni ya Wasafi.
Amesema kampuni ya Wasafi walimzuia kutumia chochote kilichotokana na Wasafi ikiwemo jina la Harmonize, nyimbo zake, akaunti za mitandao ya kijamii na mengineyo.
Ili kuendelea...
“Harmonize ana nguo ameshanunua kwa gharama ya Tsh. Milioni 6-7 na zipo zimekaaa kabatini, kitu ambacho mimi katika maisha yangu yote sijawahi kukifanya na wala ujinga huo kwanza sina”
Hayo sio maneno yangu mimi ni maneno ya Diamond mwenyewe akimuongelea Harmonize
Unajifunza nini katika...
Hey Guys,
I Hope Mko Poa, Ryt?
Okay
Nimefuatilia hili sakata La Harmonize kujiondoa Hii lebo kubwa ya WCB halafu nikaangunisha na mwenendo wa Fiesta ulivyo kwa sasa nikagundua hapa kuna namna ya sisi mashabiki kuchezewa akili.
Ukiitazama Fiesta ilivyo mwenendo wake wa show za mwaka Jana...
Nyimbo bora 11 za bongo flava mwaka wa 2018 .Zilizofanya vizuri na ambazo ni bora kwa maoni yangu binafsi.
1.nibebe aslay
2.Harmonize ft Diamond Platnumz – Kwa Ngwaru
3.nedy music one and only
4.mvumo wa radi alikiba
5.ninogeshe nandy
6.Harmonize – Atarudi
7.mbwa koko Mr blue
8.Young Killer...
Aslay amefanya vizuri mwaka huu ndio maana ukisikiliza muziki wake mzuri kwenye YouTube utanielewa. Aslay yupo na sauti nzuri ya kuimba kama ya king kiba. Ukilinganisha na wasanii wafutao
Jux
Harmonize
Baraka da prince,
RayVanny
timbulo
neddy music
abdu kiba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.