Harmonize Ni msanii mzuri aliyekosa focus ajui kipi Cha kusimamia na kipi cha kusimamia leo atakuja na hili kesho yake atakuja na lingine ataacha la mwanzo.Alivyotoka wasafi alianzisha bus la mgahawa wakutoa chakula bure lakini imeishia njiani sasa sijajua alikuwa ana Nia ya dhati au alikuwa...
Nimeisikiliza hii nyimbo ya Harmonize na watu kibaoo matusi matupu yamejaa ni aibu hata kusikiliza na mtoto au mtu mnaeheshimiana.
Kwanini wasanii siku hizi wanaimba matusi namna hii? Wakifungiwa wanalalamikia BASATA lakini makosa ni yao wenyewe.
Mfano yani Rosaree anataja neno FUCKEN...
Ukifuatilia kwa makini utagundua tu hili. Tazama mashairi ya wimbo kama I miss u wa Diamond unauona kabisa uandishi wa Harmo. Cheki na nyimbo zingine kabla ya harmo kuondoka! Leo unakuja kuimbiwa wimbo kama gere melody mbaya, mashairi ya kawaida sana na ndio maana ulidumu kwa Sikh tatu tu...
By Sangu Joseph
.
Ninawaza kuwaambia watu nimeiona video ya Bedroom ya Harmonize_tz na hasa nikikumbuka Mzee wangu Jakaya Kikwete alipoteza muda wake kushuhudia uzinduzi wa hii Audio, nadhani kama angejua Video Ingekua hivi ambayo Mimi nimeiona angeagiza usiimbwe pale Mlimani.
Afroeast ya...
Hisia zangu zinaniambia Harmonize bado yuko mikononi mwa Diamond ila Umma tunaaminishwa katoka ni game well played ila kuwin kibiashara.
Hebu tuone hili, hapo awali Harmonize alipokuwa anatoka Wasafi maneno mengi yalizungumzwa na mameneja wa Diamond, Babu Tale na Sallam SK, Ila Diamond hakuwa...
Pamoja na Jina la Harmonize kuwa kubwa ila inaonekana RayVanny kamzidi mkali huyo kwenye mapato. Kupitia Dizzim online jana Rayvany amefunguka vitu vingi juu ya beef la Harmonize na WCB Wasafi.
Amefunguka kwa kusema mwanzo alijua mwenye kosa ni Uongozi wa Wcb Wasafi akawa anawalaumu management...
Katika pitapita zangu nmekutana na kionjo cha one of the song in #afroeast album. Aisee a new big artist in Africa and the world is introduced tarehe 14 mwezi Wa 3. Kondeboy anaenda Ku trend kama Burnaboy mwaka jana.
Download it
Mimesoma kwenye Instagram ya Harmonize ameandika show yake iliyokuwa ifanyike usiku huu imezuiwa.
Show hiyo ilikuwa na kibali cha mpaka 6.00 lakini polisi wameizuia.
Ameandika bado hajabahatika kujua sababu ni nini!
Sikiliza hii clip pia Harmonize akipewa taarifa.
Mapokezi makubwa aliyoyapokea mbeya... Yamemshtua sana kijana wetu anaepambana kuukuza mziki Wa bongo fleva. Mji wa mbeya umezizima siyo kawaida... Na hapo unaambiwa ni maandalizi ya kuupokea album. Ya afroeast . 2009 diamondplatinumz alianza hivihivi. Kama matani. Mwishowe akaubeba ufalme....
Kwa kawaida msanii anapoondoka kwenye label iliyomkuza, basi lable hiyo hutamani apotee ili iwe funzo kwa waliobaki.
Mapesa yote hayo wamempiga, bila hiyana kawalipa lakina kila kukicha wanamshambulia na kumuita msaliti. Kama watanzania wakiamua hakuna kitakachoshindikana.
We need more...
Nimefatilia kwa undani mikiki anayopitia Konde Boy toka ajiengue WCB. Kiukweli hajashuka Kama tunavyolazimishwa tuamini. Kwanza official songs katoa UNO na KUSHOTO KULIA na zote zimefanya vyema you tube. Hainshtui na Hujanikomoa ni bonus track wakati anajiandaa kuachia album yake...
Jana nimemsikia presenta mmoja wa radio maarufu akidai kwamba "wasanii wa Nigeria wanaendelea sababu wana UMOJA, hawana ma-bifu". Hata wasanii wanaoheshimika bongo wamekua wakitoa hii hoja.
Je, ni kweli wasanii wa Nigeria wana UMOJA? (kwa kuangalia mfano wa Davido na Wizkid).Je, bifu zina faida...
Harmonize anapambana ili aweze kuachana kabisa na WCB. Alitakiwa kulipa shs milioni 500 ili aweze kuwa msanii huria na kufanya kazi zake kama yeye mwenyewe. Jambo ambalo linamaanisha kwamba kama msanii huria, fedha yote atakayoipata katika kazi zake za sanaa itakuwa ni yake.
Alivyokuwa chini ya...
Ndg zangu amani iwe kwenu!
Kwanza sipendi sana kuzungumzia mambo ya wasanii sana maana kwangu mimi mziki ninaoufagilia ni miziki ya zamani. Na wimbo wangu bora kabisa ni wa mzee marehemu Moses fan fan unaoitwa Papa lolo. Lakini kama mtanzania naomba niwape vijana wenzangu hawa tahadhari kwa...
HABARI ZA KAZI WAKUU,
Napenda kutumia muda huu kujadili kuhusu muziki wetu kwa sasa, mahali ulipotoka na unapoelekea... Awli ya yote tuwapongeze wasanii wetu baadhi wanaopeperusha bendera kimataifa.
Wengi najua tunajua habari kubwa zilizotikisa kiburudani katika kufunga mwaka ni kuhusu tamasha...
Wana JF Heri ya mwaka mpya.
Usiku wa kuamkia mwaka mpya 2020 msanii Harmonize alikuwa na show kubwa katika mkoa wa Mtwara pale Tandahimba.
Pamoja na kupiga show kali iliyojaza watu wengi msanii huyo alisikika akisema Mwakani atafungua radio station "Tandahimba FM".
Atakuwa mwenyekiti wa timu...
Producer wa Kenya aliyeibiwa beat na Harmonize amtaka Harmonize aombe msamaha la sivyo atafuta hata audio ya Uno baada ya video kufutwa, pia ataenda mahakamani kudai haki yake.
Habari zenu
Ili nijukwaa la celebrities Leo nimeamua nije na hii hoja kwenu.kati ya wasanii ninaowakubali Tanzania kimziki kiba ni mmoja wapo lakini nje ya mziki wake simkubali.Leo wakati nikisikiliza interview ya kiba times fm alinishangaza kiba Kama kawaida yake kwenye interview nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.