Harmonize amewatumia mtoto(paula) na mama(kajala) kutrend,haiwezekani msanii kama harmonize eti atume uchi wake mtandaoni akijua kua lolote laweza tokea picha hizo zikavuja.
Zilizovuja ni meseji za whatsapp ambazo ni rahisi sana kutengenezwa kwa kutumia namba mbili za simu kwasababu hapo huwezi...
Hatimaye nyota wa bongo fleva Harmonize almaarufu kama Konde Boy mnyama , ameibuka na kuelezea sintofahamu inayomuandama Kwa sasa kufuatia msanii mwenzake Rayvanny kuvujisha mawasiliano yake ya Faragha na mtoto wa aliyekuwa mpenz wake.
Rayvanny alivujisha mawasiliano hayo huku akimtuhumu...
Vita Kali Kati ya nyota wa Mziki wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Konde Gang Harmonize na Mkali wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Next level music Rayvanny au Vannboy mtu mbaya mtu mbadi imechukua Sura mpya.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram , Vannboy amemuwakia vibaya Harmonize Kwa...
Moja kati ya taarifa inayo-trend kwa sasa mitandaoni ni kuhusu msanii wa filamu Kajala Masanja na msanii wa muziki Harmonize ambao inasemekana penzi lao limefika mwisho kutokana na baadhi ya viashiria vya mazingira vilivyojitokeza.
Taarifa hiyo imekuja baada ya Kajala Masanja kufuta picha zote...
Huyu kijana sasa hiv naona ameanza kuvuka mipaka ya Kiki sio mbaya kufanya Kiki lakini fanya Kiki za maana kwa namna moja au nyingine zitakazoweza kusaidia kupush kazi zako lakini hii ya kujirecord unalimlilia marehemu Magufuli alafu unapost kwenye account yako ya social media unawakosea heshima...
Hamornize amethibitisha kuwa anaamini Kajala ni mwanamke sahihi kwenye maisha yake! Akijibu swali la Mwijaku amediriki kutamka kuwa usahihi wa Kajala kwenye mahusiano yake ni 1000%
Uzi tayari
Wakati akiweka pini kituo cha polisi, msanii Harmonize amekataa kukubali yaishe kweli uchungu wa mwana aujuaye mzazi.
Harmonize akishirikiana na mwanadada mtetezi wa haki za wanawake na watoto Rebeka Gyumi wameanza kutuma jumbe za kuwaalika watu muhimu katika na wananchi kwa ujumla kushiriki...
Mpaka sasa taarifa inayotambaa na kutrend mitandaoni ni inshu ya msanii wa kizazi kipya Don Nalimison maarufu kama Deo Kisandu kuachia album yake iliyopewa jina ANTIBIOTIC ALBAM.
Baada tu yakutangaza ujio wa albamu hiyo wachambuzi wakubwa wa muziki waliwaonea huruma wasanii kadhaa wa bongo...
VS
Wana jamvi Wasalaam
Mwaka 2020 umekuwa mwaka wa ushindani mkubwa sana kwenye tasnia ya muziki hasa bongo fleva hapa nchini nah ii imetokana na kuwa mwaka wenye kazi bora sana za muziki wa bongo fleva .
Miaka iliyopita kulikuwa na kilio cha wasanii na wadau kuhusu wasanii kutoa album...
Post ya Harmonize akimtakia heri ya mwaka mpya Diamond Platnumz inaweza kuwa ndiyo post yenye likes na comment nyingi zaidi bongo tangu kuanzishwa kwa Instagram.
Mpaka sasa post hiyo ina likes zaidi ya laki na ishirini ikiwa na comment zaidi ya elfu 20 ndani ya masaa 14 tangu ilipo postiwa huku...
Kupitia Instagram ya Harmonize, Harmonize ameanza mwaka mpya kupitia kuandika ujumbe wake mrefu aliomuandikia Diamond kutoa appreciation yake kwa alichomfanyia mpaka kufika hapo alipo.
NB: Kiukweli jamaa kafanya Jambo zuri kama alichokiandika kinatoka moyoni maana watu wa Mtwara hawaaminiki...
Wasalaam wana jamvi
Msanii Harmonize kupitia wimbo wake mpya wa "WAPO" AMEMTUMIA salamu za Mwaka mpya 2021
Harmonize amemkumbusha Diamond kuhusu umuhimu wa wazazi wote wawili hasa wakiwa hai kabisa.
namnukuu anasema
"Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia
Wapende wote
Sio wa kike anacheka wa...
Wimbo mpya wa kufungia mwaka, uliosheeni mashairi mazuri, maudhui ikipambwa na ladha tamu ya sauti iliyoendana vyema na ghunna!!
Harmonize wa enzi zile ndiye huyu sasa! Ni aache tu mitifuano mipasho pasho na kundi lile lake la zamani.
KAMA ulikuwa unadhani ile ishu ya Harmonize n Sarah juu ya kitendo cha nyota huyo wa muziki wa kizazi kipya kumposti mtoto akidai ni wake imeisha, pole.
Kwani wazi ni hatma ya ndoa ya wawili hao imeshikiliwa na uzi mwembamba baada ya Sarah kutangaza kubwaga manyanga na kutoa ruksa kwa Harmonize...
''Kukubali mtoto ambaye unajua kuwa siyo wako kisa huna uwezo wa kutunga mimba, Huo ni ''USHAMBA''
Msanii Harmonize kutoka Konde Gang siku ya jana alimtambulisha mwanaye wa kike ambaye anadai kumficha kwa takriban miezi 19. Harmonize amedai kuficha mtoto huyo ili kulinda mahusiano yake na...
Kwa akili ya kawaida mwanaume anaejielewa hawezi kufanya haya. Imefika wakati baada ya mazoea ya kusuka "twende kilioni" naona kaanza kuvaa na zile ''hereni kubwa" za akina mama.
Muda utaongea. Tuendelee kuwa watazamaji.
Simwelewi huyu mwamba wa Chitoholi, 2 years before he was the fastest rising singer in bongo fleva history , alikuwa fire Sana pale WCB, kichwa chake kilikuwa kimetulia na alitoa mawe Sana , uamuzi wa kutoka WCB ulipokelewa Kwa hsia tofaut na watu , wengi tulimwelewa pia na kumtakia Kila...
Mwanamziki nguli wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize ameshutumiwa na "wasanii wadogo" Lizu Dady na Phamo S kuiba idea ya wimbo wa wimbo wake mpya unaoitwa "huo ni ushamba".
Wasanii hao wanadai walitunga wimbo mapema wanaouita "upimbi", wimbo ambao unaendana wazo pamoja na kiitikio (Chorus)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.