harmonize

  1. Dong Jin

    Zuchu amkimbiza vibaya mno Harmonize licha ya kutumia maroboti

    Zuchu na harmonize waliachia nyimbo zao siku moja huko youtube Lakini katika hali ya kushangaza views za Harmonize zilionekana kupaa ghafla kwa speed ya light 😅😅😅 mpaka watu tukawa tunashangaa imekuwaje? Sasa ni wiki nne kamili zimepita toka waachie nyimbo zao na kwa hali isiyo ya kawaida...
  2. Cannabis

    Harmonize aja na wimbo mpya, atangaza yeye ndio Mwalimu wa Amapiano

    Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Flava Harmonize ametoa wimbo unaoitwa Mang'dakiwe Remix ambao amesema ni Darasa la Amapiano kwa wasanii wengine. Darasa hili la amapiano linakuja wakati Diamond Platnumz amekuwa akitamba na Wimbo wa Amapiano unaoitwa "IYO".
  3. Its Pancho

    Harmonize hana haja ya kuwa na baunsa sasa...

    Jamaa amejazia kinoma utadhani umaga wa kwenye mieleka.. Hata sadala ataanza kumuogopa sasa. Anatisha mmakonde... Nawasilisha Nb. Hebu tuangalie upande wa pili wa samaki. Tumuone mwalimu wake na role model wake maana ndie aliyemfundisha.
  4. Suley2019

    Kilichomponza Nay wa Mitego kublokiwa na Harmonize

    Nay wa Mitego amesema yeye ni mtu ambaye hapindishipindishi maneno na kama ukikosea au ukimzingua atakuchana ukweli labda hiyo ndiyo sababu ya Harmonize kujishtukia na kumblock Instagram. "Mimi sina tatizo na Harmonize, nipo straight sana hata kama ni mshkaji wangu ukinizingua au ukinikosea...
  5. sky soldier

    WCB lebo ya Diamond imegeuka kuwa kiwanda cha kutoa mastaa katika levo za juu mno

    WCB lebo ya Diamond imegeuka kuwa kiwanda cha kutoa mastaa katika levo za juu mno, Kuna waliofata nyayo za kijana lakini hali hairidhishi, kuna lebo kama kings music ya alikiba na konde gang ya harmonize hizi lebo wasanii wake wamekuwa wakipata wakati mgumu kutoboa ikafika kipindi hadi wasanii...
  6. fatherhood

    Views za Harmonize YouTube kupanda ghafla zinatia shaka

    Njooni tujadili kupanda kwa viewers wa nyimbo zake , je ni kweli ananunua viewers. Nyimbo yake ya sandakalawe ilikuwa na viewers 400k baada ya masaa machache ikawa na viewers 1.5 m
  7. Cannabis

    Wimbo wa Harmonize wa Sandakalawe wazuiwa youtube, sababu wasema ni kuiuka hakimiliki za kampuni ya EMPIRE

    Wimbo wa msanii nguli wa bongo flava Harmonize unaoitwa sandakalawe, umezuiwa youtube kutokana na kile kinachosemwa kuwa ni kukiuka hakimiliki za kampuni ya usambazaji mziki ya EMPIRE. Mpaka sasa haijajulikana ni kipengele kipi cha hakimiliki kilichokiukwa lakini tetesi zinasema ni shutuma za...
  8. Cannabis

    Harmonize atoa wimbo mpya, asema yeye ndio mfalme hana haja ya kuongea tena, anauacha mitaa iongee

    Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya Harmonize, ametoa wimbo mpya unaoitwa Sandakalawe, wimbo huo unaonekana kukubalika na kupata views 100,000 ndani ya saa moja, hatua iliyomfanya Harmonize kusema yeye ndio mfalme wa muziki wa kizazi kipya na hatowakumbusha tena na kuacha mitaa iongee.
  9. Chinga One

    Back to Back ya Ali Kiba muathirika ni Harmonize

    Tukumbuke kwamba kwa sasa mziki wa bongo ni kama vile siasa za mpira wa Simba na Yanga,hata ije Azam au Gwambina fc au Namungo bado mashabiki wa hizi timu watakua ni wale wale tu watokanao na Simba au Yanga. Hii ni sawa kwa Muziki wetu umegawanyika kwa team Kiba vs team Diamond,hata wasanii...
  10. Slowly

    Nini kinamkwamisha Harmonize kufikia malengo anayoyatamani?

    Harmonize amekuwa akitamani kutawala soko la mziki Tanzania , amejitahdi Sana Kwa Kias chake ,media kubwa zinampigia chapuo , Baadh ya accont maarufu za wambea Instagram pia zipo nyuma yake. Na kuna watangazaji pia ambao richa ya kuonekana kama wehu eg mwijaku ,lakn hawajali ni kama wamejitoa...
  11. Mallia

    Harmonize ausome upepo mama sio mwendazake hapendi sifa

    Mdogo wangu Harmonize naona jana umeachia nyimbo ya kumsifu mama, ila sidhani kama umeshausoma upepo wa mama kwa sasa upoje, mdogo wangu mama sio kama mwendazake yaani hapendi kusifiwa sifiwa tena akijua ni zile sifa za kujipendekeza Mdogo wangu jikite kwenye kazi zako tu isipoteze pesa kabisa...
  12. Linguistic

    Tamasha La Harmonize Arusha, nimesikitika Sana

    Wakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwanini Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako. ..... Nimehudhuria matamasha mengi ya Diamond ukitoaa milioni Moja au Laki5 utapata hospitality ya kutosha. ..... Wakuu Jana nimehudhuria Tamasha La...
  13. Kigoma Independent

    Rayvanny amjibu Harmonize kuhusu BET

    Habari Wana Jf. Hili alilolifanya Rayvanny naona Yuko sahihi kabisa maana now days Harmonize hasikiki na ndio maana anaangaika mchana na usiku kutafuta Kiki ili aongelewe lakini wapi. Kiukweli Kama Harmonize ni mkubwa angekuwa na BET au tuzo kubwa yeyote Kama RAYVANNY CHUI. Pia lingine...
  14. data

    Hivi Harmonize ndio kapigwa chini na CRDB?

    Whoever knows. Is that the case? Ila poa tu, maana hili tangazo lao jipya la SimBanking ni tamu kinoma. Sasa sijui ni yale maskendo yake ya dudu la yeye au vipi? Awe makini? Au mnasemaje wadau?
  15. Slowly

    Licha ya ukimya wake kwa mda mrefu, Rayvanny azidi kumburuza Harmonize

    Katika Hali isiyotarajiwa na wengi, C.E.O wa Next Level Music Rayvanny aka vannyboy mtu mbaya amezid kumvuruta mmiliki wa label ya Konde gang Harmonize Mzee wa picha za utupu Rekodi mbali mbali zinaonyesha jinsi Rayvanny anavyomburuza konde boy kuanzia kwenye mziki mpak kumiliki watoto wa zuri...
  16. M

    Bifu lililokuwa la Rayvanny na Harmonize, limemshusha Rayvanny zaidi, nadhani

    Kwa upande wangu naona hili bifu limemuathiri zaidi Rayvanny, nimegundua baada ya kwenda you tube na kuangalia video ya keleb ya Rayvanny, nimesoma comments nikafamu Kuna watu wanetoa negative comments wengi Sana Hali hii haikuwa hapo mwanzoni. Kwani Rayvanny alikuwa na neutral fan base hata...
  17. herman joshua

    Kwani namba za Harmonize zimekaaje kwa upande huu?

    Tuachane na mambo ya tuzo, tumpe muda kwanza ila vp katka hz namba Au WASAFI nako huku wanahusika kwa namna flan kumshusha Mmakonde? Tusishau wimbo wa mwisho wa Diamond ni waah ila bado list zinakimbizwa na vijana wake. Swala la kumfananisha Harmo na Mond lipigwe marufuku
  18. M

    Msanii Hamornize ajichora tatoo ya Hayati Magufuli

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza. Msanii ambaye kwa sasa amekuwa akisumbua vichwa vya watanzania kwa habari tofauti ameamua kuchora tatoo ya Hayati Rais Magufuli katika mwili wake. Hii inaonyesha wazi Harmonize kaguswa sana na msiba wa JPM na kujaribu kumuenzi kwa stail hio ya tatoo...
  19. Z

    Harmonize ameenda Nigeria leo kukamilisha album yake. Wizkid na Burnaboy ni miongoni mwa wasanii walioshirikishwa humo

    Star wa Bongo Fleva anaetrend na attitude leo kaenda Nigeria kukamilisha shooting ya video ya nyimbo 2 alizoimba na Burnaboy na Wizkid. Safari ya International ndio kwanza imeanza. Tukae mkao wa kula.
Back
Top Bottom