Kiufupi ni hamna kitu pale zaidi ya kelele nyingi wala huelewi mtu huyu anasema nini. Amejitahidi kiasi chake kufanya hii remix ya wimbo wa Awilo wa miaka mingi ya zamani ila asikate tamaa akazane atafika.
Kuna video Ina trend hivi sasa ikimuonyeeha dada mmoja akililia penzi la Harmonize.
Hi imekuja baada ya siku kadhaa nyuma kulipovuja mtandaoni video zikiuonyesha Mushobozi wa Taifa unaomilikiwa na Harmonize.
Dada amesemaa Yuko tayari kwa lolote lakini sharti ampate Konde Boy.
Aisee katika watu wanavita Kali na haijawah kuwepo ni Harmonize. Fikiria anapambana na fanbase aliehusika pia kuwatengeneza. This is a total war. And trust me a hero have never died in the middle of the movie.
Harmonize is going to win this battle . Just soon ...very soon. Diamond silaha...
Ndani ya masaa 24 tu waah ilipata views 4.2 Milioni
Video hii mpya ya attitude ilitoka juzi mda 20:15, leo muda huu inakamilisha masaa 48 kwa views milioni 3.8
DENI LA VIEWS MILIONI 4.2 YA VIEWS ZA DIAMOND ALIZOFIKISHA NDANI YA MASAA 24 HATIMAE LIMEKAMILIKA BAADA YA HARMONIZE KUFIJISHA...
Wimbo wa attitude wa Harmonize yafikisha views million 3 ndani ya masaa 27 you tube. Hii ni record ya aina yake inawekwa na Harmonize. Kama anatania vile lakini ndio anachukua kijiti Cha king of bongofleva kwasasa. Tumsuport jeshi ili tupate kuongeza international artist from Tanzania.
Mtandao wa YouTube wenye makao makuu yake Marekani. Umefuta baadhi ya viewers kwenye wimbo wa ATTITUDE wa msanii Harmonize aliyo mshirikisha Msanii wa Zamani H. Baba pamoja na msanii wa Lumba kutoka nchini Congo Awilo Longomba.
Utaratibu wa kufuta Viewers hua upo katika mtandao wa YouTube...
Baba ana watoto wawili mmoja bado yuko nyumbani(Ray vanny) anapata support ya familia kwa kila kitu na mwingine(HARMONIZE) ameamua kwenda kujitegemea kimaisha anajitegemea kwa kila kitu(jeshi).
Kuwafananisha hawa watoto sio sawa kwa vyovyote Yule anayejitegemea kimaisha ndio mwenye akili...
Ukiangalia mikakati ya Harmonize baada ya kutoka WCB ...
Utagundua alipunguza Sana Kwanza safari na collaboration za nje. Sababu ilikuwa kutengeneza fanbase bongo Kwanza. Pia kuhakikisha kondegang inatambulika bongo vizuri. Kwakweli kwa hilo kafanikiwa. Kwa Sasa ukipita mitaani hakuna...
Habari za jioni wanajamii. Bila Shaka safari ya Harmonize kwenye muziki nje ya WCB imepamba Moto. Hype iliyoonekana kwenye wimbo wake wa attitude bila Shaka imeonyesha nguvu yake kwa hapa bongo. Hype za namna hii kiukweli alikuwa anaweza kuzitengeneza diamond tu. Kwa Sasa Harmonize amefuzu na...
Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania, Kajala na mwanaye Paula wamehojiwa kwa saa kadhaa polisi na kuachiwa kwa dhamana wakidaiwa kusambaza picha za utupu zinazodaiwa kuwa za msanii wa Bongofleva, Rajab Abdul maarufu Harmonize.
Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumanne Aprili 20, 2021 Kamanda...
WCB bado wanaendeleza tabia yao mbaya ya kuiba mahadhi ya nyimbo za wasanii wengine ndani na nje ya nchi na hivyo kuvunja sheria mbalimbali zinazohusu inshu za hati miliki katika sekta ya Music.
Hivi karibuni mfanyakazi/mwanamuziki wa CEO Diamond platnum ajulikanaye kwa jina la Mbosso, ametoa...
Nawasalimu kwa jina La JMT, Harmonize kiswahili ni lugha tajiri sana hususani kwa watu wenye mahusiano ya kunanihii, mmeshaelewa kila wimbo Harmonize lazima kumuita mpenzi wake baby, kila nyimbo baby baby baby.. Inabore sana.
Hii inaua ubunifu wako mbona mpenzi lina majina mengi kama...
Msanii Baba levo anefunguka leo akiwa kwenye press conference yakutangazwa kuwa balozi mpya wa Soka bet amesema baada ya kushinda hii kesi aliyoshitakiwa na Harmonize atamfungulia mashitaka harmonize ya kuchafua brand yake.
Akafunguka zaidi kuwa Harmonize amekurupuka kumshitaki bila kutumia...
Habari za hasubuhi wanajamii. It's very clear kwamba kwasasa Vita ya muziki Kati ya wasafi na kondegang imepamba Moto. Ukifatlia kwa umakini utagundua wasafi wanapambana kadri wawezavyo kumsusha Kondeboy of which haitowezekana sababu njia zote za kufanikiwa kimuziki Harmonize anazijua. Anaijua...
Kitu kimoja kuhusu pesa nyingi: Hufunua undani wa mtu katika uhalisia wake....!!! Hata wewe ukizipata leo tutakujua tuu.. Waswahel wanasema pata pesa tujue tabia yako....
Shule ni muhimu sana sana kile kitendo cha kukaa darasani miaka kibao hutufunza mengi hata tusipofaulu mitihani..japo baadhi...
Rayvanny ameitwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central Police) akishtakiwa na Harmonize kuwa amemdhalilisha mitandaoni.
Nitawapa updates soon
Rayvanny na baba Levo wakitoka kituo cha polisi cha central kufuatia kushitakiwa na Harmonize.
Akiwa katika live interview na radio namba moja kwa sasa WASAFI FM, Ray amefunguka yafuatayo
" Wakati ananikandamiza (Hamonaizi) na kuchochea kwa kusema nimekosea sikuwa najua Chuki yake inatoka wapi . Lakini imekuja kunishangaza sana kuja kuona kumbe yeye ndio anafanya mabaya zaidi ya aliyokua...
Jana na juzi na hata sasa , mji umezima ghafla, Rekodi inaonesha vifurushi vya internet vimenunuliwa Kwa wingi Sana siku ya juzi na hasa Jana
Vijana wawili wa Diamond Platnumz wameusimamisha mji, huku Baba Yao akiwa sehemu flani ametulia akiongeza Popcorn 😂
Bifu hili la Harmonize na Rayvanny...
Katika hali ya kustaajabisha recorded video call na picha za sehemu za Siri za msanii harmonize zavujishwa;
Inasemekana aliyekuwa girlfriend wake (bongo movie) akishirikina na maasimu wa msanii Huyu wavujisha picha hizo. Inasemekana msanii Huyu alikuwa anampigia video call Paula (step daughter...
Kwa mapenzi mema namshauri Konde boy aache kutumia poda, ajifunze kwa kaka zake waliopotea kwa kuendekeza poda.
Management yake msimuogope boss wenu msaidieni kabla gari haijawaka, ikiwaka hakuna sober house itayomsaidia. Haya mengine mengi mnayoyasikia ni matokeo ya stress na kuchanganywa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.