NYOTA wa Bongo Fleva, Harmonize a.k.a Konde Boy amemuomba msamaha Diamond Platnumz kwa tofauti zilizowahi kutokea kati yao, ikiwamo cha siku ya karibuni wakiwa visiwani Zanzibar.
Kupitia Insta Story yake, Harmonize ameandika kuwa anatumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuomba msamaha kwa yeyote...
Kuna tetesi nzito mitandaoni kuhusu ukaribu wa msanii Harmonize na Abby Chams. Watu wanajiuliza, je, hii ni collabo ya kimuziki au kuna kitu zaidi?
Baada ya Harmonize kuonekana akimposti Abby mara kwa mara, mashabiki wameanza kuhisi kama "kapata chombo cha kwenda". Wapo wanaosema ni upendo...
Mwanamuziki Harmonize ameweka wazi kumalizia Msikiti ulionzishwa kujengwa na Diamond Platnumz kijijini kwao Mtwara.
.
Harmonize anasema kuwa alipewa pesa na DiamondPlatnumz aka Simba ili kujenga msikiti huo lakini baada ya kugombana na ujenzi wa msikiti ulisimama. Sambamba na hilo Harmonize...
Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza kuwa atamalizia ujenzi wa msikiti ambao Diamond Platnumz aliuanzisha kijijini kwao Mtwara mwaka 2018. Kupitia Insta Story yake, Harmonize amesema kuwa msikiti huo ulianzishwa baada ya wao wawili kujadili umuhimu wa kusaidia jamii na kuwekeza mbele za...
Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, amemuomba msamaha Diamond Platnumz kwa tofauti zilizowahi kutokea kati yao. Kupitia Insta Story yake, Harmonize ameandika kuwa anatumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuomba msamaha kwa yeyote aliyemkosea, akisisitiza kuwa hana tena nafasi ya kutoelewana na mtu...
Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amesafirisha magari yake ya kifahari aina ya Rolls-Royce na Cadillac Escalade hadi Zanzibar. Magari hayo yanatarajiwa kutumika katika msimu huu wa Tuzo za Trace, zinazofanyika leo, Februari 26.
Harmonize adata na showbiz kutoka kwa Kaka yake na...
Nikiwa eneo moja la Mikocheni ghafra bin vuuu namwona Posh, alooo anapiga ngumu kumeza ahsee bia ya wazee ya bei nafuu ya Safari.
Kama mm tu kipato changu cha million Tatu kwa mwezi mshahara wa mwaka mzima wa mwalimu nakunywa Heineken na Windhoek lakini yule anakunywa safari what means? It...
Watangazaji wa kipindi cha Transformer cha E FM wamekosoa mtindo mpya wa nywele wa Harmonize, wakifananisha muonekano wake na ule wa msanii Harmo Rapa.
Hivi wakuu kunamsanii anaemzidi harmonize yaani Kila nikiangalia hata wale wazamani naona hamna kitu sizani hata kutakuja kutokea kama huyu mwamba konde boy bongofleva haimdai hata akifa leo yaani jamaa anajua mziki
Ule msimu wa funga mwaka uliokuwa ukisubiriwa umewadia.
Orodha ya Wasanii Bora Mwaka 2024:
1. Marioo
2. Diamond Platnumz
3. Harmonize
4. Alikiba
5. Zuchu
Orodha ya nyimbo zilizosikilizwa zaidi nchini Tanzania mwaka 2024
1. Hakuna Matata- Marioo
2. Mapoz - Diamond Patnumz ft Mr Blue...
Staa wa Bongo Fleva, Harmonize, amekanusha uvumi wa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Malaika Cute, akisema kuwa ni rafiki yake wa kawaida tu. Mbali na kukanusha hilo, Harmonize amewashauri wanawake kufikiria kufanya upasuaji wa urembo (Surgery) ili kupendeza zaidi, akidai kuwa dunia ya sasa...
Nyimbo ni kali sana lakinii Video ya kijima na kishamba sana. Ukiitazama utafikiri ni Video ya Msondo ngoma ile iliyomuonyesha Kingwendu pale kariakoo amesimama barabarani.
Hebu angalia Video ya wimbo wa Diamond na Jux unaoitwa Ololufe uone wenzako walivyo serious na kazi.
Kama mlikosa hela...
Nimesoma baadhi ya coments kwenye video kuna comments zijazielewa .
Kwani huko Misikitini na Makanisani tunafundishwa nini ?
https://youtube.com/shorts/rshL-5gKQWA?si=sxfJ-ai-adqRFYtt
https://youtu.be/CcsuxHwzHnM?si=PGHKECduCsGHNkvG
Wakuu,
Rajab Abdul Kahali maarufu Harmonize amepanda Madhabahuni na kupigwa maombi na Pastor Tony Kapola
===
Harmonize afanyiwa maombi na Pastor Tony Kapola sikuche baada kuonyesha kuvutiwa na mtazamo wa mtumishi huyo wa Mungu na kuandika, "Nataka nione kile ambacho Mungu ataniambia!!"...
Wakuu
Huu sasa ni uamuzi wa kipuuzi kaufanya Harmonize, kusitisha wimbo eti kisa mnakereka na kipigo hiyo haipunguzi maumivu kwa mashabiki. acha goma lilie, piga hela za views Yanga wajipange upya kwani ligi bado ni mbichi hii.
=====
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize amepiga marufuku...
Tundaman kwanza nani alikudanganya wewe ni msanii wa muziki?
Ni kwamba hata kutoka kwako kwenye game ulitoka kwa sababu kaka zako akina Heri Mzozo wali wa persuade akina Chidy Benz wasaidie kukutoa lakini huna kipaji chochote cha kuimba muziki wewe.
Unaweza kuimba nyimbo za maombolezo...
Moja kwa Moja kwenye mada.
Msanii Harmonize kashuka kimuziki upande wa international (nje ya mipaka ya Tanzania) na kawa msanii wa ndani (bongo) pamoja na Africa mashariki
kipindi bado yupo WCB alikua akitaftiwa collabo na wasanii wa nje ya nchi hasa Nigeria ili ali wini soko hilo la nje...
Hadithi ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) inazidi kupamba moto, na sasa tumebakiza siku tisa tu hadi wasanii wetu wapate fursa ya kutunukiwa heshima kuu kwa kazi zao za ubunifu. Tuzo hizi hazina maana tu ya kusherehekea ushindi, bali zinawakilisha moyo wa kujituma, ubora na vipaji ambavyo...