Karen Hasara is a Republican member of the University of Illinois Board of Trustees and a past member of the Illinois General Assembly (1986-1995) as well as the Mayor of Springfield, Illinois for two terms from 1995-2003.
Huko mitaa ya kati kuna mama wa watoto wawili amejiwa na binamu yake kutoka USA. Binamu amerudi na zawadi za girlfriend wake lakini alighairi kumpa baada ya kusikia habari na matukio ya girl huyo mjini hapa.
Watoto wa huyu mama wakiume na wakike wote wanasoma India. Basi anko kutoka USA...
Kumezuka tabia ya watumishi wa umma kufukuzwa kazi kihuni na waajiri wao na kutokana na kutofuraishwa na kufukuzwa kwao , watumishi hao huwa wanaenda kufungua malalamiko huko CMA Commission for Mediation and Arbitration na mwishowe huwa maamuzi hufikiwa idara hiyo ya serikali hutakiwa kumlipa...
Wadau wapendao Utukufu kwa Mungu juu na AMAN dunian tuangalie mabadiliko ya kisiasa, kijamii na kiuchumi yatakayotokana na nchi kubwa yenye migogoro ya muda mrefu na siasa ngumu zenye mkono wa kuibiana, na dhulma za walioko nje ya nchi muhanga, itakapopata washirika wa africa masharik wenye...
WAHASIBU NA KIBARUA TPA, KIZIMBANI
WAHASIBU wanne wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kibarua mmoja, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye shtaka moja la kuisababishia Bandari hasara ya zaidi ya Sh. Milioni 600...
Ku approach ni kumfata mwanamke kwa lengo la la kuanzisha mahusiano ya mapenzi au urafiki.
Iwe ni enzi hizo shuleni, chuoni, sokoni, barabarani, n.k. huwa napenda kujitosa kwa mwanamke ambae yupo na rafiki zake / yake.
huwa nawasalimu kwa heshima wote kwa pamoja, kisha naweka wazi nimemfata...
Wazazi wengi tunatofautiana katika kuwa na idadi ya watoto; wapo wanaopenda kuwa na watoto wengi na pia wapo wanaopenda kuwa na watoto wachache.
Kwa jamii yetu ya kiafrika kwa walio wengi, mtoto anakuwa yuko tayari kujitegemea kwa mahitaji yake mwenyewe pale anapofikia miaka 30 na kuendelea...
Wana JF
Wasalaam. Nianze kwa kusikitika kwa kumkosa Warumi, ambaye alikuwa anatupa burudani motomoto za vibweka vya wauza nyago Dar, tumekosa vitimbi vingi safari hii.
Leo katika viwanja vya mastaa katika operation pitisha macho, nawaona mastaa wawili wanaooenda kupoteza kutokana na umaarufu...
Mahitaji ya umeme yataongezeka hadi kufikia megawatts 4,000 mwaka 2025 huku uwezo wa TANESCO ukiwa ni kuzalisha megwatts 1,600 kukiwa na tofauti ya Megawatts 2,400 ambayo ni Upungufu wa 60%.
WAkati huo mradi wa Mwalimu Nyerere uliotarajia kuzalisha Megawatts 2,115 ukiwa ni kizungumkuti kutokana...
Serikali lazima sasa itambue kuwa kna Bodi ilizoziunda ni kero na mzigo tu kwa Taifa.
Kuna NEMC, Bodi za Mabonde siujui ya mito Ruvu, Rufiji, Bodi la Ziwa Tanganyika, Bodi la Ziwa Victoria, Bodi ya Kaskazini. Ma Bodi mengi tu ya Wizara hasa ya Maji. Yoote ni hasara tupu.
Hawafanyi kazi yoyote...
Napingana na Engineer kuwa Utopolo inaendeshwa kwa hasara kwani Mo Dewji aliposema Simba inaendeshwa kwa hasara walimtukana wakiongozwa na Msukule wao .. Yanga pamoja na waandishi Mazuzu walimsema vibaya Sana Mo... kwamba anakula mpunga kijanjajanja pale Simba!
Hivyo Engineer sikubaliani nawewe...
Nianze na hasara sababu ni nyingi:
*Tofauti na kale ka dada, Mwijaku hajui mpira ni shabiki hoyahoya ukimuambia akuachambulie hata formation za mpira ni debe tupu.
*Ni lolopolopo haswa halijui kuchuja maneno hana tofauti na lile tambara tulilolitupa
*Akili yake ni kujikweza yeye na kutaka...
Mwaka 1970-1974 mchina alijenga reli ya Tazara ya kisasa kwa wakati huo na watanzania waliaminishwa makubwa Sana juu ya faida ya mradi husika. Miaka 25 tu baada ya mradi kukamilika reli ikachoka, ikakosa wateja, usimamizi mbovu. Zile hadithi na simulizi tamu za manufaa ya mradi huo...
Binafsi najua kwamba kuna chnagamoto ya Korona ila hata kabla ya hapo bado changamoto zilikuwepo.
Tuyashauri mashirika ya ndege likiwemo la kwetu hapa nyumbani
Ushauri wangu;
1. Natamani mashirika ya ndege kwanza yajenge imani Nyumbani. Namaanishe Yafanye kazi kwenye route zenye uhakika na...
Habari wadau...!
Habari wadau ebu leo tujadili kuhusu haya mambo ,naona siku hizi mbili yamekiki sana huku kwetu tunaohishi udayasporani baada ya muingereza mtanzania kuibuka na tuzo ya Nobel.
Karibuni tujadili.
Tuseme ukweli tu...
Hadi pale Serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama Mahakamani ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda. #kesi ya Mbowe ifutwe, #Serikali ile hasara.
Watu watacheka lakini wataheshimu..
Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje...
Ili kukabiliana na athari za kuondoka kwa Haji manara Simba walilazimika kuingia mifukoni ili kufanikisha Simba day. Manara effect iliwaandama na inazidi kuwaandama Simba. Kila wanachofanya wanafanya ili kuzifuta nyao za Manara lakini wanafanya hivyo kwa kutumia nguvu kubwa zaidi ili kumkaribia...
Kuna muda nakuwa nashindwa kuielewa hii serikali yangu.
Pengine labda ni kutokana na uelewa na ufahamu mdogo nilionao kuhusu uendeshaji wa shirika letu la ndege kwani kauli na kaguzi zinazotolewa na serikali kuhusu uendeshwaji wa shirika hili zinanichanganya sana.
Kwenye ripoti ya ukaguzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.