hasara

Karen Hasara is a Republican member of the University of Illinois Board of Trustees and a past member of the Illinois General Assembly (1986-1995) as well as the Mayor of Springfield, Illinois for two terms from 1995-2003.

View More On Wikipedia.org
  1. Mo Dewji: Kuwekeza Simba ni hasara, nimeshatoa Bilioni 45

    Ndugu mwanamichezo, una maoni gani kuhusu kauli ya Mo Dewji aliyoitoa leo alipotembelea kikosi cha Simba, Bunju Complex
  2. Kabla hujakaribisha wageni nyumbani tathmini faida na hasara

    Huko mitaa ya kati kuna mama wa watoto wawili amejiwa na binamu yake kutoka USA. Binamu amerudi na zawadi za girlfriend wake lakini alighairi kumpa baada ya kusikia habari na matukio ya girl huyo mjini hapa. Watoto wa huyu mama wakiume na wakike wote wanasoma India. Basi anko kutoka USA...
  3. M

    Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Wana JF naombeni ushauri wenu zikiwemo changamoto zake. WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUELEWA BIASHARA HII MICHANGO YA WADAU KUHUSU BIASHARA HII
  4. Serikali inawachukulia hatua gani waajiri wanaoipatishia hasara serikali kwa kufukuza kazi watumishi kihuni?

    Kumezuka tabia ya watumishi wa umma kufukuzwa kazi kihuni na waajiri wao na kutokana na kutofuraishwa na kufukuzwa kwao , watumishi hao huwa wanaenda kufungua malalamiko huko CMA Commission for Mediation and Arbitration na mwishowe huwa maamuzi hufikiwa idara hiyo ya serikali hutakiwa kumlipa...
  5. Faida na Hasara za DRC kujiunga EAC

    Wadau wapendao Utukufu kwa Mungu juu na AMAN dunian tuangalie mabadiliko ya kisiasa, kijamii na kiuchumi yatakayotokana na nchi kubwa yenye migogoro ya muda mrefu na siasa ngumu zenye mkono wa kuibiana, na dhulma za walioko nje ya nchi muhanga, itakapopata washirika wa africa masharik wenye...
  6. Wahasibu na Kibarua TPA kizimbani kwa kuisababishia TPA hasara ya mil 600

    WAHASIBU NA KIBARUA TPA, KIZIMBANI WAHASIBU wanne wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kibarua mmoja, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye shtaka moja la kuisababishia Bandari hasara ya zaidi ya Sh. Milioni 600...
  7. Napenda kumtongoza Mwanamke anapokuwa na wenzake

    Ku approach ni kumfata mwanamke kwa lengo la la kuanzisha mahusiano ya mapenzi au urafiki. Iwe ni enzi hizo shuleni, chuoni, sokoni, barabarani, n.k. huwa napenda kujitosa kwa mwanamke ambae yupo na rafiki zake / yake. huwa nawasalimu kwa heshima wote kwa pamoja, kisha naweka wazi nimemfata...
  8. Kuwa na watoto wengi, kuna faida ama ni hasara?

    Wazazi wengi tunatofautiana katika kuwa na idadi ya watoto; wapo wanaopenda kuwa na watoto wengi na pia wapo wanaopenda kuwa na watoto wachache. Kwa jamii yetu ya kiafrika kwa walio wengi, mtoto anakuwa yuko tayari kujitegemea kwa mahitaji yake mwenyewe pale anapofikia miaka 30 na kuendelea...
  9. Kati ya Mabinti wazuri waliopata umaarufu na wakapata hasara uwezi kumkosa Tunda na Wema

    Wana JF Wasalaam. Nianze kwa kusikitika kwa kumkosa Warumi, ambaye alikuwa anatupa burudani motomoto za vibweka vya wauza nyago Dar, tumekosa vitimbi vingi safari hii. Leo katika viwanja vya mastaa katika operation pitisha macho, nawaona mastaa wawili wanaooenda kupoteza kutokana na umaarufu...
  10. TANESCO wamejipanga kupata hasara ya Tsh. Trilioni 13.34 kwa miaka mitano ijayo

    Mahitaji ya umeme yataongezeka hadi kufikia megawatts 4,000 mwaka 2025 huku uwezo wa TANESCO ukiwa ni kuzalisha megwatts 1,600 kukiwa na tofauti ya Megawatts 2,400 ambayo ni Upungufu wa 60%. WAkati huo mradi wa Mwalimu Nyerere uliotarajia kuzalisha Megawatts 2,115 ukiwa ni kizungumkuti kutokana...
  11. Serikali ina Bodi nyingi, mengine hasara tu

    Serikali lazima sasa itambue kuwa kna Bodi ilizoziunda ni kero na mzigo tu kwa Taifa. Kuna NEMC, Bodi za Mabonde siujui ya mito Ruvu, Rufiji, Bodi la Ziwa Tanganyika, Bodi la Ziwa Victoria, Bodi ya Kaskazini. Ma Bodi mengi tu ya Wizara hasa ya Maji. Yoote ni hasara tupu. Hawafanyi kazi yoyote...
  12. Simba inaendeshwa kwa hasara kuliko Utopolo

    Napingana na Engineer kuwa Utopolo inaendeshwa kwa hasara kwani Mo Dewji aliposema Simba inaendeshwa kwa hasara walimtukana wakiongozwa na Msukule wao .. Yanga pamoja na waandishi Mazuzu walimsema vibaya Sana Mo... kwamba anakula mpunga kijanjajanja pale Simba! Hivyo Engineer sikubaliani nawewe...
  13. C

    Faida na hasara za uhamasishaji wa Mwijaku Simba

    Nianze na hasara sababu ni nyingi: *Tofauti na kale ka dada, Mwijaku hajui mpira ni shabiki hoyahoya ukimuambia akuachambulie hata formation za mpira ni debe tupu. *Ni lolopolopo haswa halijui kuchuja maneno hana tofauti na lile tambara tulilolitupa *Akili yake ni kujikweza yeye na kutaka...
  14. Mradi wa SGR umeendeshwa vibaya na utalitia Taifa hasara kizazi hadi kizazi

    Mwaka 1970-1974 mchina alijenga reli ya Tazara ya kisasa kwa wakati huo na watanzania waliaminishwa makubwa Sana juu ya faida ya mradi husika. Miaka 25 tu baada ya mradi kukamilika reli ikachoka, ikakosa wateja, usimamizi mbovu. Zile hadithi na simulizi tamu za manufaa ya mradi huo...
  15. Mashirika Mengi ya ndege Afrika yanapata hasara - ushauri wako ni upi?

    Binafsi najua kwamba kuna chnagamoto ya Korona ila hata kabla ya hapo bado changamoto zilikuwepo. Tuyashauri mashirika ya ndege likiwemo la kwetu hapa nyumbani Ushauri wangu; 1. Natamani mashirika ya ndege kwanza yajenge imani Nyumbani. Namaanishe Yafanye kazi kwenye route zenye uhakika na...
  16. Kuna hasara gani kama Taifa tunazipata kwa kutokuwa na sera ya uraia pacha au "Special Status" inaweza kuwa mbadala?

    Habari wadau...! Habari wadau ebu leo tujadili kuhusu haya mambo ,naona siku hizi mbili yamekiki sana huku kwetu tunaohishi udayasporani baada ya muingereza mtanzania kuibuka na tuzo ya Nobel. Karibuni tujadili.
  17. Wazo Fyatu: Serikali Ikubali kula Hasara

    Tuseme ukweli tu... Hadi pale Serikali itakuwa na mfumo na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza a kuleta mashtaka yenye kuweza kusimama Mahakamani ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda. #kesi ya Mbowe ifutwe, #Serikali ile hasara. Watu watacheka lakini wataheshimu..
  18. K

    Nani kulipa hasara hii ya WhatsApp?

    Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje...
  19. Bila kukusudia Haji Manara ameitia hasara kubwa Simba, Inaugua ugonjwa wa Manara Syndrome

    Ili kukabiliana na athari za kuondoka kwa Haji manara Simba walilazimika kuingia mifukoni ili kufanikisha Simba day. Manara effect iliwaandama na inazidi kuwaandama Simba. Kila wanachofanya wanafanya ili kuzifuta nyao za Manara lakini wanafanya hivyo kwa kutumia nguvu kubwa zaidi ili kumkaribia...
  20. Je, serikali ilitudanganya kwamba shirika la ndege ATCL linajiendesha kwa hasara?

    Kuna muda nakuwa nashindwa kuielewa hii serikali yangu. Pengine labda ni kutokana na uelewa na ufahamu mdogo nilionao kuhusu uendeshaji wa shirika letu la ndege kwani kauli na kaguzi zinazotolewa na serikali kuhusu uendeshwaji wa shirika hili zinanichanganya sana. Kwenye ripoti ya ukaguzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…