Karen Hasara is a Republican member of the University of Illinois Board of Trustees and a past member of the Illinois General Assembly (1986-1995) as well as the Mayor of Springfield, Illinois for two terms from 1995-2003.
Habari wadau, ngoja niende moja kwa moja kwenye mada.
IP Adress (Internet Protocol) ni anwani ambayo device mfano simu au computer inakua nayo pindi inapokua imeunganishwa na intaneti hivyo mtu mwingine kuweza kujua mmiliki wa hiko kifaa ni nani.
VPN (Virtual Private Network) ni simulator...
Wadau natakunguliza shukrani kwenu kwa majibu ntakayopata naamini ntakuwa nimejifunza jambo, mfano;
TDS 40,
CALCIUM 4,
MAGNESIUM 12,
SULPHATE, CLORIDE na nyinginezo.
Naomba kujua kwanini zipo zinawekwa kwenye maji, na zina faida au hasara gani? na zinatengenezwa na nini?
Kwenye chupa za maji...
Serikali ya Uingereza imetangaza kuwa kuanzia tarehe 31 Desemba mwaka huu, kununua vifaa vya teknolojia ya 5G kutapigwa marufuku, na vifaa vyote vya kampuni ya Huawei vya teknolojia ya 5G vitaondolewa nchini Uingereza kabla ya mwisho wa mwaka 2027. Hatua hii inaonyesha kuwa Uingereza imesujudu...
Naongea kama mwananchi na kushauri kuwa kumwendekeza huyu mwarabu wa Egypt's ni hasara kwa taifa na uharibifu wa mradi na uasili wake wa stiegler's gorge unapotea kwa sababu zifuatazo.
1. Hawa waarabu wa Misri kutoka Elsewedy electric na Arab contractors kutoka Misri hawana utaalamu wowote wa...
Ndugu wana JF naomba kiwasilisha.
Naomba tujikite kujadili kwa kina faida na hasara za kuungana na kuwa jumuiya ya Afrika mashariki.
Kwa historian muungano huu uliwahi kuwepo na ukavunjika kwa sababu kadha wa kadha.
Je, zile sababu zilizosababisha kuvunjika kwa Afrika mashariki ya zamani...
Wana JF,
Katika serikali makini TBS na TCRA wametuangusha sana kwa kuruhusu wizi wa kichina.
Anavyokuwa: watu ambao hawana fani yeyote ya ufundi, wamevamia mitaa na kulaghai watumiaji wa smart phone kuwa wanatengeneza kioo cha simu kwa kuweka liquid ambayo inakifanya kiwe imara, kwamba...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Temeke Jijini Dar es salaam imefanya uchunguzi dhidi ya mhasibu wa zahanati ya Tambukareli iliyopo katika kata ya Azimio, kwa makosa yafuatayo:
(1) Kuisababishia hasara serikali kinyume na kifungu namba 284 cha sheria ya kanuni ya adhabu sura...
Kwa wale wanaojua masuala ya uhandisi wa ndege pamoja na kuzitunza, wataelewa kwamba hakuna kitu chenye gharama kubwa kama kupaki ndege bila kuitumia. Unapokuwa na ndege ni lazima itumike karibu kila wakati. Gharama za kuitunza ndege iliyopaki ni kubwa sana.
Tulikuwa na shamrashamra za kununua...
Kila jambo lina pande mbili, upande wa uzuri na upande wa ubaya, lakini katika kufanya maamuzi basi ni vyema kuegemea upande wenye mazuri zaidi kuliko mabaya.
Kuchepuka ni aina nyingine ya usaliti anaoufanya mtu kwa mpenzi wake, japo wahenga walinena acha michepuko baki njia kuu, michupeku...
JE WAJUA? UBOVU WA MFUMO WA ELIMU UMECHANGIA UMASKINI WAKO
Mfumo wa elimu Africa na *chui wa makatasi* ( sehemu ya 1)
Na Mikael Aweda
Naanza kwa kuuliza swali la kushtua kidogo. Je, wajua kuwa mfumo wa shule zetu nyingi Afrika unachangia wewe kuwa maskini?? Bila shaka hilo hi swali la...
Wakuu Mimi ni muajiriwa Nina miaka 8 kazini,
Wakati naanza kazi wazazi wangu hawakuwa na makazi bora hivyo nimekaa muda nikaamua kuwajengea nyumba bora japo Mimi sijajenga ya kwangu bado,, najibana hivyo hivyo kama mnavyoijua mishahara ya waajiriwa wa ktz ni kidogo kwa kada nyingi, Ndugu zangu...
Kampuni ya huduma za ndege ya Boeing inarajia kupunguza waajiriwa kwa 10% ambayo ni takribani waajiriwa 16,000 wataguswa na zoezi hilo
Hii imekuja baada ya kampuni hiyo kupata hasara kutokana na janga la #CoronaVirus. Uhitaji wa huduma za ndege umepungua kwa kiasi kikubwa
Boeing imepata hasara...
Habari wanajamvi,
Je, kwa hali inayoendelea mnahisi kwa wakulima wa ndani ambao wanalima mazao ya bustani wameathirika au wanaathirika vipi kwa kipindi hiki na je, ikitokea lockdown itaathiri vipi mazao yao kwa kuzingatia mambo yafuatayo:
1. Elimu ya matunzo ya mazao shamba bado dogo na bado...
Kila kitu hapa duniani kina faida na hasara yake hapa Duniani. Pamoja na madhara makubwa ya hili janga lakini pia kuna faida pia kuanzia ngazi ya Dunia nzima mpaka familia;
1. Binadamu sasa Tunamjua Mungu
2. At least Nidhamu inarudi na usawa,wote tunaongea lugha moja kwa sasa anaejaribu kujiona...
Mdau wa Jamiiforums ameandika, Waziri wa Kilimo Joseph Hasunga amesema viwanda vyote huwa vinasimamisha uzalishaji mwezi Mei ili kufanya ukarabati, mwaka vimesimamisha miezi miwili kwa sababu mashamba ya miwa yamejaa maji na ndio sababu ya sukari kupanda bei.
Kutokana na tabia ya kutodai risiti...
Wengi tukisikia solar energy tunajawa na hisia kwamba ni jambo la maana sana! Ni umeme mzuri kwa mwanakijiji anayetaka mwanga wa kufukuza wanyama watembeao gizani tu! Kwani nchi zetu hizi maskini hatuhitaji miradi mikubwa kiasi hicho kinacholengwa na Tanesco.
Ni uharibifu wa pesa kwa kujidai...
A bridge on the Morogoro-Dodoma highway near Dumila in Tanzania, which collapsed on Monday, March 2 due to heavy rain is likely to cause delays in the transportation of Rwanda’s goods, according to local traders.
The rain-damaged road is the only route for goods coming to Rwanda from Dar es...
Salam wana JF
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi la wananchi, wanasiasa, viongozi wa dini, taasisi mbalimbali pamoja na baadhi ya Viongozi wastaafu kutaka iundwe Tume Huru ya Uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu, 2020. Upande wa pili kumeibuka kundi linalopinga uwepo wa Tume Huru ya...
Ameangusha Laptop na kuua harddisk na kupoteza data zote. Nikaiweka mbali, amedandia na kukwea kabati na kuiangusha kupasua kioo slim laptop.
Amedumbukiza simu ya mama yake kwenye ndoo ya maji. Ameshapasua simu nyingine kama mbili (anavizia ukijisahau tu).
Amechana Macover ya vitabu vyangu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.